kilimo

  1. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Serikali kuruhusu Bangi nchini?

    Katika kuzurula mitandaoni nimegundua kuna taarifa toka nipashe ikisema serikali yaruhusu kilimo cha ndumu! Je, ni kweli kuwa hilo limeazimiwa rasmi? ====== Kaimu Kamishna wa Kitengo cha Huduma za Sheria, Christina Rwehabuza, aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam wakati wa mafunzo ya mpango...
  2. mwagito25

    JamiiForums Tanzania Fursa ya mboga mboga na matunda Dodoma

    Habarini wana jamvi. Kutokana na kukua kwa kasi ya kuridhisha kwa jiji la Dodoma, kuna mahitaji yanayoongezeka kutokana na umuhimu wake kwa maisha ya binadamu ya kila siku. Uhitaji wa mboga mboga na matunda unakua kwa kasi kubwa. Uhitaji huu ni wa wote, yaani wauzaji na wazalishaji. Kwa wale...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Mbunge asema kilimo kinazungumzwa miaka nenda rudi lakini hakuna kinachotatuliwa

    Mbunge wa Bunda Vijijini, Boniface Getere, amesema haiwezekani kuzungumza habari ya Kilimo cha Pamba, Korosho na Alizeti miaka nenda rudi, lakini hakuna kinachotatuliwa. Akichangia majadiliano ya Bajeti ya Kilimo, Mbunge huyo amependekeza kuundwa Kamati itakayojumisha watu wachache, ili...
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Nusrat Hanje: Tanzania bado tunalima kama ilivyolimwa Eden

    Mbunge wa Viti Maalum, Nusrat Hanje amesema Taifa bado linalima kama Adam na Hawa walivyolima Eden. Ameeleza, "Tunalima Kilimo kinachotegemea Mvua na kudra za Mwenyezi Mungu katikati ya mabadiliko makubwa ya Sayansi na Teknolojia. Vilevile Mbunge huyo amesema kauli ya "Kilimo ni Uti wa Mgongo...
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tukiibadilisha Gesi Asilia (CH4) iliyopatikana Tanzania kuwa Mbolea za kilimo tutainua uchumi wa nchi

    MBOLEA zinazotumika Katika kilimo ni moja ya kemikali zinazozalishwa kwa kuibadilisha GESI ASILIA kuwa MBOLEA katika nchi zilizo endelea. Hivyo kilimo cha Tanzania kinaweza kufaidika sana kama tukianzisha kiwanda kikubwa cha kubadilisha GESI ASILIA kuwa MBOLEA. Kwa mujibu wa ripoti ya Benki...
  6. SIR.NOM

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu msimu wa bei nzuri ya Vitunguu Maji

    Wadau habarini, Naombaen ushaur kwa wazoefu wa kilimo cha VITUNGUU MAJI.Nimeshaanza mradi wa kulima hili zao,ndoto yangu ni kulima Ekari 3. Ila hofu yangu ni uhakika wa SOKO,kwa muda ntakaokuja kuvuna.Maana apa nategemea kuja kuvuna mwez wa 9 mwishoni hadi wa 10 hiv. Ombi langu,naomba kujua...
  7. mwagito25

    JamiiForums Tanzania Kilimo chenye viashiria vya faida kubwa

    Habarini wana jamvi, ninapenda kuwashirikisha jambo ambalo nililiona huko mkoani Iringa, wilaya ya Mufindi. Mwezi march mwaka huu 2021, nilienda kijijini kwetu huko mufindi, nikabahatika kumtembelea ndugu mmoja shambani kwake. Shamba lake la parachichi lenye ukubwa wa ekari 15, lakin sehemu...
  8. Ngamanya Kitangalala

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Wizara ya Kilimo na ukuu wa mkoa

    Kumbukumbu zangu zinaonyesha, mara kadhaa manaibu waziri wa wizara ya kilimo wanapata bahati ya kuteuliwa kuwa wakuu wa mikoa Nakumbuka mzee Stephen Masato Wassira, alikuwa naibu waziri wizara ya kilimo, baadaye hayati Mwalimu Nyerere akamteua kuwa mkuu wa mkoa wa Mara Mzee Njelu...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mamlaka tupieni jicho nafasi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Kilimo (TADB)

    Nampongeza Mheshimiwa Raisi Mama Samia kwa uteuzi wa ndugu Ishmael Andulile kuwa mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa TADB. Pamoja na pongezi hizo ninakuomba mheshimiwa Raisi utupie jicho nafasi ya Mkurugenzi Mtendaji kwani Ndugu Japhet Justine sio mtu sahihi kwa sababu zifuatazo:-...
  10. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Ili kuboresha Sekta za Kilimo na Mifugo nchini, Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Ma-DED watokane na Maafisa Mifugo au Kilimo

    Ni ukweli usiopingika kuwa Ili Uchumi wa Viwanda katika nchi yetu uimarike, ni lazima tutegemee Mali ghafi zaidi zinazotokana na Kilimo na Mifugo. Hivi sasa uzalishaji wa mazao ya Kilimo hasa yale ya biashara mfano kahawa,pamba, mkonge, na mengineyo umeshuka sana kipindi cha karibuni. Hali...
  11. buyoya419

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanza Kilimo cha Maharage

    Naona bora niingie shamba tu akili yangu ilipofikia. Nataka kuingia kwenye kilimo cha maharagwe Arusha. Je, ni njia zipi zitahitajika kupitia kilimo hiki? Faida, hasara! Angalizi. Mahitaji, Eneo, Na vinginevyo. Kabla sijaanzishaa. Naombeni mawazo yenu wapendwa
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Faida nzuri ya kilimo utaipata ukitoa bidhaa badala ya malighafi

    Nimeangalia documentary nyingi za kilimo kutoka Australia mpaka Brazil hata Italy, Ghana na South Africa. Kilimo kina faida baada ya uwekezaji mkubwa. Kwanza kilimo chenye faida kina anzia heka 20+. Kupata ukubwa huu wa shamba uweze kulima kwa trekta kutoka kwenye pori si kazi ya mwaka mmoja...
  13. Kiplayer

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma tunaoishi vijijini hasa maeneo yanayoruhusu kulima, tujikite kwenye Kilimo

    Rai yangu kwa Watumishi wa Umma tunaoishi vijijini hasa maeneo yanayoruhusu shughuli za Kilimo, tujikite katika Kilimo kwa nguvu. Faida ni nyingi; 1. Uhakika wa chakula 2. Ongezeko la kipato 3. Hautoutolea macho mshahara na manung'uniko yatapungua 4. Ni maandalizi mazuri ya kustaafu 5. Utaweza...
  14. moto nkali

    JamiiForums Tanzania Kilimo na Masoko ya Ukwaju

    Waungwana... Natumaini Mungu anazidi kutupigania kila siku, na maisha yanasonga.. Niende kwenye mada.. 👇 Ninaomba mwenye kufahamu anisaidie maarifa nitoe tongotongo... maana tunatofautiana uzoefu na access to information. Biashara ya ukwaju ipoje? Masoko yake yakoje hapa kwetu? Na je taratibu...
  15. Daisy Llilies

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Wazungu kutoka Zama za Kilimo kwenda Zama za Viwanda

    Wenye viwanda walitangaza kazi na watu kutoka vijijini walihamia katika miji yenye viwanda. Nyumba zilikua na umeme lakini vyoo na bomba la maji vilikua nje. Kulikua na mabafu ya kulipia na watu wengi wa hali ya chini walimudu kuoga mara moja kwa wiki. Hizi ni enzi za The Poor Law...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Ubora wa elimu unaotolewa SUA, UDOM na UDSM

    Habarini za muda wana jamvii kama kichwaa cha habari kinavo jieleza hapo juu kuna tofauti gani wa ubora wa Elimu unaotolewa chuo kikuu cha kilimo morogoro SUA na ile inayotolewa chuo kikuu cha Dodoma UDOM & UDSM hususan katika zile course za kilimo? Binafsi nina wanangu wanasoma course zinazo...
  17. Kibanga Ampiga Mkoloni

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa uzalishaji mazao kulingana na kanda za kilimo za kiikolojia juni 2017

    MUHTASARI Kulingana na Kituo cha Utafiti wa Udongo cha Mlingano cha mkoani Tanga chini ya Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi, Tanzania ina jumla ya Kanda Kuu saba (7) za Kiutafiti wa Kilimo. Ndani ya kanda hizo kuu saba, zipo Kanda ndogo 64 za kiikolojia zinazoonyesha aina ya mazao yanayoweza...
  18. S

    JamiiForums Tanzania WAZIRI wa KILIMO Zanzibar hili Lako, enhee Wadudu wanfurutu ada matunda hayaliki

    Kama Wazenji hapa wapo au humu wamo napenda wanifikishie Raisi wa Zanzibar Dr. Husein Bin Ali Bin Husein el Mwinyi ya kuwa sasa ni aibu kwa matunda ya Zanzibar, ulitafunalo lina ndudu aka funza. Hili sio la Raisi ni la Wizara ya Kilimo na waziri husika wa Zanzibar hapa Tanganyika sijawahi kula...
  19. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kinakwamisha ukuaji wa kilimo cha umwagiliaji Tanzania?

    Tanzania imebarikiwa kila kitu kinachofaa kwa kilimo cha umwagiliaji. Tuna ardhi ya kutosha kabisa. Nchi yetu ina eneo kubwa la kilomita za mraba 900,000+ . Wanasema tuna eneo la hekari milioni kama 30 zinazofaa kwa umwagiliaji lakini eneo linalomwagiliwa halifiki hata 1m. Maji, Tanzania ni...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Profesa Muhongo: Uchumi wa sasa duniani ni umeme wa gesi, umeme wa maji umepitwa na wakati

    Akichangia katika mpango wa maendeleo wa Serikali bungeni amesema anashangaa watu wanavyohangaika na umeme wa maji na huku dunia ya sasa ni umeme wa gesi Uchumi wa sasa duniani ni umeme wa gesi, umeme wa maji umepitwa na wakati. Mbunge wa Musoma Vijijini Profesa Sospeter Muhongo amesema...
Back
Top Bottom