Faida nzuri ya kilimo utaipata ukitoa bidhaa badala ya malighafi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
52,553
2,000
Nimeangalia documentary nyingi za kilimo kutoka Australia mpaka Brazil hata Italy, Ghana na South Africa. Kilimo kina faida baada ya uwekezaji mkubwa. Kwanza kilimo chenye faida kina anzia heka 20+. Kupata ukubwa huu wa shamba uweze kulima kwa trekta kutoka kwenye pori si kazi ya mwaka mmoja. Pia unapokata miti usikate yote, bakisha michache itakayoshikilia udongo mvua ikinyesha pia utaweza kuzuia upepo makali siku za kipupwe.

Ulimaji wa kiwanngo hiki hutegemea sana mashine. Kuanzia kulima, kupanda na kupalilia. Nafaka unaweza kuvuna kwa mashine lakini matunda yanahitaji nguvu kazi ya binadamu. Katka kuvuna matunda unawapa asubuhi matenga, kubarua amerudisha tenga lililojaa unampa pesa yake.

Wakulima wengi wa kiwango hiki utakuta baba yake alianzisha shamba, yeye aliongezea kiwanda pale pale shamba na sasa anazlisha sukari, wine, magunia nk

Licha ya kuwekeza kwa Fedha, kilimo ni kama biashara kinahitaji muda wa kuwekeza. Mafanikio mazuri utayaona ukianza kilimo ukiwa 30, mpaka ukifika 50 umeshapata uzoefu wa kutosha. Ukianza kilimo baada ya kustaafu kiwe cha bustani ya mboga.
 
MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
2,792
2,000
Inatagemeana kwa sababu kuna Biashara kubwa sana ya unfinished goods za kilimo.

Na ikisha kuwa finished tarajia vikwazo sana kwenye kuuza.
 
mwanadome

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
4,467
2,000
Nimeangalia documentary nyingi za kilimo kutoka Australia mpaka Brazil hata Italy, Ghana na South Africa. Kilimo kina faida baada ya uwekezaji mkubwa. Kwanza kilimo chenye faida kina anzia heka 20+. Kupata ukubwa huu wa shamba uweze kulima kwa trekta kutoka kwenye pori si kazi ya mwaka mmoja. Pia unapokata miti usikate yote, bakisha michache itakayoshikilia udongo mvua ikinyesha pia utaweza kuzuia upepo makali siku za kipupwe.

Ulimaji wa kiwanngo hiki hutegemea sana mashine. Kuanzia kulima, kupanda na kupalilia. Nafaka unaweza kuvuna kwa mashine lakini matunda yanahitaji nguvu kazi ya binadamu. Katka kuvuna matunda unawapa asubuhi matenga, kubarua amerudisha tenga lililojaa unampa pesa yake.

Wakulima wengi wa kiwango hiki utakuta baba yake alianzisha shamba, yeye aliongezea kiwanda pale pale shamba na sasa anazlisha sukari, wine, magunia nk

Licha ya kuwekeza kwa Fedha, kilimo ni kama biashara kinahitaji muda wa kuwekeza. Mafanikio mazuri utayaona ukianza kilimo ukiwa 30, mpaka ukifika 50 umeshapata uzoefu wa kutosha. Ukianza kilimo baada ya kustaafu kiwe cha bustani ya mboga.
Ukweli mchunguuu huuu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom