kilimo

  1. MPUNGA MMOJA

    JamiiForums Tanzania Rais mama Samia Suluhu: Wizara ya kilimo hamjali wakulima wanateseka wanalima soko hakuna nendeni watafutieni masoko ya nje

    "Wizara ya kilimo kuna shida, Mkulima anazalisha mazao yake hana kwa kuuza, Nendeni watafutieni masoko Nje na mkipata masoko ya mazao msiwapangie WAKULIMA waacheni wakauze wenyewe"
  2. MPUNGA MMOJA

    JamiiForums Tanzania Tanzania nchi ya maajabu, 70% na zaidi inategemea kilimo na haina kiwanda cha mbolea,mbegu wala kutengeneza trekta

    Leo naandika ni mwezi wa 3 mwaka 2021 Nchi ya Tanzania haina kiwanda cha; ~Mbolea ~Mbegu ~Utengenezaji matrekta. Tunategemea kilimo kwa kiwango chote katika uzalishaji na fursa za kiuchumi. Hatuna chuo kikuu cha Tafiti za Mbegu na magonjwa ya mazao. Nchi imejaa UZEMBE SANA. 80% ya zao...
  3. MPUNGA MMOJA

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania tu kama mtu ni mara yako ya kwanza kuingia katika kilimo hukopesheki kwenye taasisi za fedha

    Hoja hii inaweza kuwa ngumu kueleweka lakini maana yake ni hii; Ili Mkulima ukopesheke kwenye taasisi za benki unapaswa ukidhi haya: ~ Uwe na taarifa za mauzo ya mazao yako ~ Uwe na hati ya umiliki/kukodi mashamba ~ Uwe unalima mazao biashara Kwa anaeanza kilimo hapa anakwama maana hayo...
  4. MPUNGA MMOJA

    JamiiForums Tanzania Powertiller (kubota) trekta ya matairi mawili iliyokuja kufanya mapinduzi ya kilimo cha mpunga Tanzania

    POWERTILER ni aina ya trekta ya tairi mbili, kina uwezo wa kulima eneo kubwa kwa muda mfupi. Ni kifaa cha kulimia kilirichorahisishwa zaidi kusaidia Mkulima wa chini na kati. Ni kilimishi kilichokuja kufanya mapinduzi ya kilimo hasa Mpunga ingawa kinatumika kulima mashamba ya Mahindi, Maharage...
  5. Erick_Otieno

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Wakuu salamu, Nataka kuanzisha kilimo cha umwagiliaji cha kitunguu. Naomba ushauri wenu ni maeneo gani yanayoofaa kwa kilimo cha kitunguu na hasa ambayo yanaweza kuwa na maji kwa ajili ya umwagiliaji. Nimenunua power tiller ambayo nategemea itanisaidia sana kwenye kilimo cha umwagiliaji...
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kilimo si adhabu. Ukiweka mazingira mazuri ya kilimo hata watoto watafurahia kwenda shambani

    Kwenda shambani inakua ni mateso kama mazingira ni mabovu. Weka kilimo mazingira mazuri ya shamba. Jiko la gesi, vyakula na maji. Saa ya kula unaandaa vizuri chakula mezani au kwenye mkeka. Mnaweza kuchemsha mihogo au viazi kutoka hapo shambani. Watoto wakisaidia kazi vidogo vidogo. Hii ni...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Malori 25 ya Mahindi yazuiliwa kuingia Kenya

    Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe akiwa na Mkurugenzi wa Shirika la Viwango Nchini (TBS) Yusufu Ngenya, pamoja na mkuu wa kitengo cha Afya ya mimea, katika mpaka wa Namanga, ambapo kwa pamoja wameonekana kushangazwa kwa kuzuiliwa kwa malori 25 ya shehena ya Mahindi kutoka Tanzania. Hata...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha parachichi Rungwe(Tukuyu) vs Njombe

    Nataka nifanye kilimo cha parachichi, nimeambiwa zinalimwa Njombe na mkoani Mbeya has a wilaya ya Rungwe, swali langu ni wapi rahisi kupata shamba kati ya sehemu hizo, changamoto za maeneo hayo ni zipi na wapi soko ni zuri kati ya maeneo hayo.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi katika Sekta ya Kilimo na Uvuvi

    Habari zenu ndugu, Mimi ni Kijana wa kiume umri miaka 24 na mhitimu wa Chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) katika shahada ya Sayansi Aqua na Uvuvi (Bachelor of science in Aquatic sciences and fisheries). Naishi Ubungo Dar es salaam kwa sasa. Ninatafuta kazi katika Rekta resmi na isiyo rasmi...
  10. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Tujaribu dhana ya kujiajiri kupitia kilimo kwa wahitimu wetu

    Hello JF, Msinicheke ila leo nimewaza kwa nini sisi wana JF tusijaribu hii nadharia inayosemwa kila siku watu wajiajiri kupitia kilimo? Najua JF tulishawahi kuwa na kitu kama hiki ila ilikua kwa baadhi ya watu, sijui ilipata changamoto gani? Graduates ni wengi sana. Arable land ni kubwa tu...
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kilimo kinahitaji uwekezeji mkubwa ili uone faida

    Kilimo kinahitaji uwekezeji mkubwa, nikiangalia wale settlers wa Zimbabwean na South Africa waliweka pesa nyingi kwenye kilimo na wanazalisha vyakula kwa wingi. Wakati wa British East Africa, wazungu waliopenda kulima walipewa ardhi lakini kwa masharti ya kuonyesha bank statement inayoonyesha...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kimei: Wizara za Kilimo na Viwanda kupewa 6% ya bajeti will never work. Ukusanyaji mapato ni mdogo, au huenda GDP ya Tanzania iko overstated

    Sikilizeni mchango wa Dr.Kimei bungeni. Kuna mambo hayako sawa katika mikakati yetu ya uchumi. === Tunapoangalia mipango hii mara nyingi huwa tunatumia cash budget sasa tukianza kuzungumza mpango kwa kianzia kwenye matumizi kwa kuorodhesha vitu gani tunataka vifanywe mimi naorodhesha kwanza...
  13. kilimobiznet

    JamiiForums Tanzania Pata Mbegu bora za Mbaazi, Choroko, Dengu na ushauri wa Kilimo Biashara

    Habari wadau, Salam kutoka Kilimo Business na Sekretarieti ya Chama cha wakulima wahitimu Tanzania (Tanzania Graduate Farmers Association www.graduatefarmers.co.tz). Kwa niaba ya sekretatiat ya TGFA na Kilimo Business tunapenda kuwatangazia kuwa Kilimo Business and Associates kwa Kushirikiana...
  14. Tutor B

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha matunda - passion fruits

    Kwa anayejua abc kuhusu kilimo cha mtunda damu - passion fruits, naomba tuweze kupanuana maarifa kwa yafuatayo:- 1. Ardhi inayofaa kilimo hiki au hata green house 2. Upatikanaji wa mbegu bora 3. Soko la matunda hayo 4. Miche / shamba litadumu kwa muda gani ... Nashukuru kwa mchango wakujenga...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kizuri kama kufanya biashara au kilimo kwenye makaratasi ukisaidiwa na calculator, lakini kiuhalisia inaweza isewe hivyo

    Nilipomaliza chuo sikutaka kuajiriwa. Nikaona nijiajiri ili niweze kupata utajiri wa haraka ndani ya miaka michache. Nikafanya biashara ya kwenye makaratasi nikaona nitapata faida kibao huku nikisaidiwa na calculator yangu. Nikaomba mtaji home, huyo nikaenda Songea kununua mahindi na kupeleka...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta mashamba kwa ajili ya kilimo katika mikoa ya Mbeya, Njombe na Songwe

    Mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya; nimeona bora nianze kujikita kwenye swala la kilimo kabla ubongo wangu hujagundua suala la ajira sio kitu cha kukitegemea. Hivyo napata shida kidogo kupata au kujua wapi naweza pata mashamba ya kununua kwa bei ya chini kutokana...
  17. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Kilimo, ninaomba hii ipite kwenye dawati lenu la maoni

    KWENYE PARETO BADO KUNA UKAKASI, PAMOJA NA MAJIBU YA MH BASHE..... Na Elius Ndabila. 0768239284 Mh Bashe Naibu Waziri wa Kilimo, pamoja na majibu mazuri kwa Mh Njeza Mbunge wa Mbeya vijijini ( Mh Rais atanisamehe kwa kuwa hapendi kielezi cha Vijijini) bado mimi kuna suala ambalo linanisumbua...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha miwa Kilombero na rushwa ni jipu kwa wakulima

    Habari wapendwa kumekuwa na sintofahamu ya uvunaji miwa Kilombero, bila rushwa hutoi miwa yako na hii ni kutokana na uongozi kutokuwa na usimamizi wa kutosha hasa inapofika kipindi cha uvunaji na nimegundua wanafanya hivyo makusudi ili kuweka mianya ya rushwa kwa wakulima. Mfano kama viongozi...
  19. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania India yafungia kwa muda akaunti za Twitter za wanaharakati wa mageuzi ya kilimo

    Mtandao wa kijamii wa Twitter umezifungia kwa muda akaunti za baadhi ya watu waliojihusisha na maandamano ya kutaka mabadiliko katika sekta ya kilimo, ikiwamo akaunti ya gazeti maarufu la Caravan linaloandika kuwatetea wakulima, mwanaharakati Hansraj Meena na mwigizaji Sushant Singh. Hatua...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua wilaya inayoongoza kwenye kilimo cha zao la mahindi katika mkoa wa Morogoro

    Wakuu naomba kujua wilaya gani ni nzuri zaidi kwenye kilimo cha zao la mahindi katika mkoa wa Morogoro?
Back
Top Bottom