Kiplayer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 1,000
- 1,571
Rai yangu kwa Watumishi wa Umma tunaoishi vijijini hasa maeneo yanayoruhusu shughuli za Kilimo, tujikite katika Kilimo kwa nguvu.
Faida ni nyingi;
1. Uhakika wa chakula
2. Ongezeko la kipato
3. Hautoutolea macho mshahara na manung'uniko yatapungua
4. Ni maandalizi mazuri ya kustaafu
5. Utaweza kufanya mambo mengine nje ya mahitaji ya msingi.