kilimo

  1. Black Thought

    JamiiForums Tanzania Ni sababu ipi hupelekea watu kujenga bila ramani au kwa ramani za kukopi kutoka kwa watu wengine?

    Habarini wakuu. Hivi ni kwanini watu hujenga kwa ramani za kufikirika tu zisizokuwa na mpangilio wa kitaalamu. Yaani umejibana kukusanya milioni zako flani, unamtafuta fundi na kumtajia idadi ya vyumba tu ajenge au unampa mfano wa ramani uliyoipata kwenye mtandao. Hebu fikiria umetumia milioni...
  2. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Wale wote tuliosoma kilimo kutoka SUA na colleges mbalimbali tukutane hapa tupeane Connection za kazi/ajira

    Kama ni muhitimu wa mafunzo ya kilimo kuanzia Diploma mpaka Degree basi njoo hapa tupeane updates za ajira/kazi hata temporary term iwe serikalini, Taasisi za kiserikali, kampuni binafsi, Mashamba mbalimbali makubwa n.k KARIBUNI SANA VIJANA.
  3. blogspot

    JamiiForums Tanzania Nafunga Drip Irrigation, Mulching paper kwenye matuta, Dam Liner, Hydroponic, Greenhouse, na Sprinkler

    Rejea kicha cha Uzi huu Mimi ni mwanafunzi wa SUA fani ya Uhandisi Wa Maji na Umwagiliaji. Nina uzoefu wa miaka minne kwenye Nyanja hizi: Kufunga mifumo ifuatayo 1.Drip irrigation 2.Sprinkler irrigation 3.Dam liner (Kwenye mabwawa ya samaki) 4.Greenhouse 5.Mulching paper 6.Hydroponics...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mfano wa vifaa vya kilimo vinavyoweza kutukomboa

    Jembe la kuchimba mashimo Mashine ya kuvunia http://www.youtube.com/shorts/gVkhovwIV-g
  5. Mashima Elias

    JamiiForums Tanzania Mambo ya Kuzingatia kwenye Kilimo cha Pamba

    MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KWENYE KILIMO CHA PAMBA Mwandishi: Mashima Elias Ili kuongeza tija na Ubora wa Pamba Mkulima hana budi kuweka Juhudi katika kupata maarifa zaidi kuhusu kilimo cha pamba, maarifa haya unaweza kuyapata kwa wataalamu wa kilimo (Maafisa Kilimo) au kutoka kwa wakulima...
  6. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akili kubwa kwenye kilimo biashara - Kenyan fresh produce nets Sh235m at Italian expo

    Thirty-six Kenyan vegetable and fruit companies sold Sh235.22 million worth of produce at this year’s Macfrut Digital Trade Fair in Rimini, Italy. The three-day event, which was in collaboration with the International Trade Centre, was postponed in May amid disruptions brought about by the...
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kilimo tengenezeni encyclopaedia ya kilimo bora cha mazao

    Encyclopaedia ni kitabu kinachotoa taarifa kwa alphabeti. Wataalamu wetu mkiwa na wazo la kutengeneza kitabu cha muongozo wa kilimo bora cha mazao mbali mbali utakua ni msaada mkubwa kwa jamii. Kukusanya taarifa na kuchapisha ni gharama. Lakini mkiuza kitabu kimoja kwa laki 2 italipa. Huku...
  8. YoungD

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya to the world: kilimo biashara

    The resilience of Kenyans is just on another level, sit back and enjoy the show... Kenyan flowers now in Ghana...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji Rwanda kwa sekta ya Kilimo inampa mtu matumaini sana kwa fursa hizi

    Fiscal incentives offered by Rwanda when you invest in Agriculture: Duty-free importation of all inputs Tax exemption for agriculture equipment 50% reduction in corporate income tax, if you are a registered investor exporting 50% of the turnover of products produced in Rwanda 7-year tax holiday...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Rwanda yaruhusu ukulima wa bangi

    Serikali ya #Rwanda imehalalisha kilimo cha Bangi ili kuuza nje ya nchi, matumizi ya kujifurahisha au kujitibu bado yanahesabiwa kuwa haramu kisheria Rwanda inatarajia kukuza mapato ya kusafirisha bidhaa nje na kufaidika na soko la bangi la dunia ambalo lina thamani ya dola bilioni 345 sawa na...
  11. kilimo matunda

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha maembe

    Aina za miti ya maembe Zipo aina nyingi za embe, hapa, tumeelezea chache tu, ambazo ni nzuri kibiashara. Apple: Aina hii ya maembe asili yake ni pwani ya Kenya. Ina rangi nzuri ya njano au rangi ya chungwa inapoiva, matunda haya ni ya kiwango cha kati na kubwa, yenye muonekano wa mviringo...
  12. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba: Serikali imeua viwanda vyote hapa Tanga, nikiwa Rais nitasimamia kwa makini sekta ya kilimo na maendeleo ya viwanda

    SERIKALI IMEUA VIWANDA VYOTE HAPA TANGA,NIKIWA RAIS NTASIMAMIA KWA MAKINI KATIKA SEKTA YA KILIMO NA MAENDELEO YA VIWANDA" PROF.LIPUMBA" TANGA Dira ya Mabadiliko ya CUF inakipa kilimo nafasi ya pekee katika mikakati ya kukuza uchumi na hivyo kuwaondolea umasikini wananchi wengi na hasa wa...
  13. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Same Mashariki: Nitaboresha kilimo cha tangawizi

    NITABORESHA KILIMO CHA TANGAWIZI "PROF. LIPUMBA" SAME MASHARIKI Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CUF, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba amesema endapo atachaguliwa kuwa rais atahakikisha kilimo cha tangawizi anakiboresha na wananchi wa same wananufaika na kilimo cha...
  14. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Mkazi wa Ruaha Mbuyuni tuwasiliane kuna Kilimo nahitaji kukifanya huko

    Nahitaji kufanya Kilimo Ruaha Mbuyuni mwenyeji wa pale naomba aje anisaidie kujua kuhusu gharama za kukodi shamba kwa heka 1.
  15. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Kigoma Kaskazini: Nitasimamia kwa makini katika Sekta ya Kilimo na Maendeleo ya Viwanda

    NITASIMAMIA KWA MAKINI KATIKA SEKTA YA KILIMO NA MAENDELEO YA VIWANDA" PROF.LIPUMBA" KIGOMA KASKAZINI. Dira ya Mabadiliko ya CUF inakipa kilimo nafasi ya pekee katika mikakati ya kukuza uchumi na hivyo kuwaondolea umasikini wananchi wengi na hasa wa vijijini, na kuhakikisha Taifa linakuwa na...
  16. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bi. Hamida Abdallah Huweishi mgombea mwenza Urais: Mkitupa ridhaa ya kuongoza nchi hii tutaboresha sekta muhimu za uchumi na kilimo

    MKITUPA RIDHAA YA KUONGOZA NCHI HII TUTABORESHA SEKTA MUHIMU ZA UCHUMI NA KILIMO. BUHIGWE, KIGOMA Historia ya maendeleo ya uchumi duniani inaonesha kuwa maendeleo ya viwanda hutanguliwa au kuambatana na mapinduzi ya kilimo. Ongezeko la uzalishaji na tija katika sekta ya kilimo huongeza...
  17. King Loto

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo maoni kuhusu kilimo cha nyanya

    Wakuu kwema nimejaribu kufanya kilimo cha nyanya kwa hii season mkoa wa Kilimanjaro nyanda za juu kimsingi huku wengi sio wakulima wa nyanya kama ilivyo kwa ukanda wa kusini wa Kilimanjaro. Nimejaribu kupanda quater acre ya F1 aina ya VICTORY f1 na Jarrah F1, nusu nusu acre ntapanda mbegu ya...
  18. Black Thought

    JamiiForums Tanzania Pata ramani ya nyumba aina yoyote kwa bei nafuu

    Habari wakuu, Ninatoa huduma ya michoro ya ramani za nyumba. Ramani zipo nyingi za aina na ukubwa tofauti, hivyo nitatoa kulingana na mahitaji ya mteja na kufanya marekebisho kidogo ili kukidhi hitaji husika. Utanipa 'details' zako kamili na maelezo ya kiwanja chako. Marekebisho ninayofanya ni...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Spika wa Bunge lijalo anaweza kuwa Stephen Masele na Ndugai kuwa Waziri wa Kilimo?

    Inaeleweka wazi kwamba Spika wa Bunge siyo lazima awe Mbunge, hivyo Stephen Massele na Andrew Chenge wanaweza kugombea uspika. Tetesi nilizopewa na kada mkongwe Mzee Mgaya ni kwamba kuna uwezekano mkubwa zamu hii Spika akatoka nje ya kundi la wabunge kama tulivyozoea. Na kwamba Spika wa sasa...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 SAU wazindua Kampeni na Ilani kwa vitendo. Watumia Trekta Kulima kuonesha dhamira ya Kumtoa Mtanzania kwenye Jembe la Mkono

    Salaam Wakuu, Chama cha sauti ya umma (SAU) Kimezindua Kampeni na Ilani kwa Vitendo, Baada ya Kutumia Trekta kama mfano wa Jinsi Watanzania Watakavyokuwa Wanalima Pindi Wakipewa Nafasi ya Kuongoza Nchi. Wamezindua kwa kuvuna Miwa na Viazi Shambani. Uzinduzi wa ilani umefanyika kivitendo katika...
Back
Top Bottom