kilimo

  1. _Angel

    JamiiForums Tanzania SoC01 Uwezeshaji Sera za kilimo kwa vijana

    Kilimo ni taaluma inayojulikana na pia ni mwajiri mkubwa wa wananchi wengi katika taifa hususani kwenye nchi zinazoendelea mfano; Tanzania. Japokua watu wengi wanaojishughulisha na kilimo Kama njia moja wapo ya maisha Mara nyingi ni watu wa makamo(aged) pamoja na wale wasio na elimu, ingawa...
  2. Akwinox_Nico

    JamiiForums Tanzania SoC01 Vituo vya kilimo atamizi (incubation centres): Njia ya kuongeza uzalishaji pamoja na kuinua kipato kwa vijana Tanzania

    Andiko langu linaanza kwa kusema Tanzania inaweza kuwa nchi nambari moja duniani katika ujenzi wa ajira nyingi kwa vijana na kila mtu akabaki akijiuliza imekuweje kwa muda mfupi namna hii?. Nchi ya Tanzania sio nchi ya kulia njaa kila siku, sio nchi ya kutembeza bakuli na kuomba misaada...
  3. Reen tz

    JamiiForums Tanzania Elimu kuhusu Kodi (Rent)

    Kodi(rent) (ushuru) malipo ya pesa, malipo yanayo kusanywa na serikali kwa mujibu wa sheria(KATIBA). Kushindwa kulipa, kodi(rent), ni kosa la jinai serikali itakushtaki uadhibiwe kwa kufuata sheria. Kodi iliwekwa kwaajiri ya makusanyo (mapato) kwa wafanya biashara na makampuni nk, lengo...
  4. TechTino

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kilimo mkakati na kujikomboa kupitia kilimo

    KILIMO - BIASHARA Sekta ya kilimo ni sekta inayotegemewa sana katika kukuza uchumi na kuendeleza maisha ya watanzania walio wengi. Hata hivyo sekta hii imeendelea kutawaliwa na wakulima wadogo wadogo ambao ni takribani asilimia 70 ya watanzania wote. Kwa upande mwingine kilimo kinachangia kati...
  5. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania SoC01 Vijana kutumia ardhi kubwa tuliyonayo kwa Kilimo

    Habari JF, Tanzania kama zilivyo nchi nyingine tatizo la ajira limekua sugu kwa vijana . Takwimu zinaonyesha kundi la vijana linaongezeka; kutakuwa na ongezeko la vijana kufikia million 15 kufikia mwaka 2030 tofauti na sasa ambapo idadi ni million 11. Hili ongezeko la vijana linaweza kuwa na...
  6. KIKOTI12

    JamiiForums Tanzania SoC01 Umuhimu wa Kilimo kwa Taifa Letu

    Kilimo kina umuhimu mkubwa sana kwa nchi yetu kwani kinatupatia Chakula Afya Ubora wa familia hupimwa kwa kujitosheleza kwa chakula. Asilimia 65% - 70% ya watu wanategemea kilimo. Moja Kati ya Sera za kilimo ambazo zilishawekwa na serikali hapo nyuma ni Kama vile 1. Chakula ni uhai 2...
  7. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Misingi na kanuni za kilimo bora

    Misingi na kanuni za kilimo bora. Neno Msingi lina maana ya mwanzo wa kufanya shughuli yeyote inayokusudiwa ili kuweza kufikia malengo. kwa hiyo katika kilimo ipo misingi muhimu ifuatayo: Kuwa na mipango thabiti inayotekelezeka kabla ya kuanza kufanya kazi yeyote ya maendeleo ni vyema, kuweka...
  8. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali isitishe zoezi la sensa mwakani 2022 ili pesa hizo zitumike kuboresha Sekta ya Kilimo

    Huu ni ushauri tu, Suala la sensa limetumika kipindi cha kale kuweza kupeleka huduma eneo husika. Mathalani nchi yetu haina mass internal migration ya watu na ongezeko la watu kwa nchi yetu linachangishwa na factors mbili tu ambazo ni birth rate factors and mutality rate factors tofauti na hapo...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tanzania yasema haina mpango wa kuruhusu kilimo cha Bangi

    Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini, Gerald Kusaya amesema Tanzania haina mpango wa kuanza kuruhusu kilimo cha bangi na badala yake amewataka wananchi kujikita katika kilimo cha mazao mengine yenye tija. Kamishna Jenerali Kusaya ameyasema hayo jijini...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mwinyi: Kilimo na Ubunifu havijapewa support ipasavyo kwenye Bajeti ya Serikali

    Mbunge Abdullah Mwinyi amesema Bajeti ya Serikali haijaunga mkono ipasavyo Sekta za Kilimo na Ubunifu ambazo zinategemea kuwapa Ajira nyingi kwa Watanzania. Akichangia majadiliano Bungeni amesema, "Lazima turuhusu Ubunifu ustawi na tuulee, sekta hiyo kwa Tanzania ukilinganisha na Afrika...
  11. emmarki

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu kilimo cha mbogamboga mkoa wa Lindi

    Habari, Naomba kufahamu kwa wazoefu wa mkoa wa lindi, ni wilaya gani ina maji ya kumwagilia. Na kilimo cha mbogamboga huko kinafaa kufanyika. Ufugaji, ni wanyama gani wa kufugwa na ndege wenye soko zuri. Naomba maelekezo kabla sijaenda huko kikazi
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania WAFUGAJI wa mazao ya baharini wametakiwa kujikita katika kilimo cha majongoo ya pwani ambacho mahitaji yake ni makubwa katika soko la nje la kimataifa

    Hayo yalisemwa na Waziri wa Uchumi wa Bluu na Uvuvi, Abdalla Hussein Kombo, wakati akiwasilisha makadirio, mapato na matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2021-2022 katika kikao cha Baraza la Wawakilishi. Alisema wizara tayari imeanza kuwashajihisha wafugaji wa mazao ya pwani ikiwamo...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa mambo haya kuhusu kilimo cha Numbu

    Wapwa kwema? Wakuu, naomba tupeane taarifa yoyote inayohusu hiki kilimo (niko interested nacho); Mfano: Wapi kinalimwa kwa wingi, Mtaji wa kuanzia Eneo lipi zuri la kulima Eneo la kuanzia (ukubwa) Soko lake linaweza kua wapi na zingine zote unazozijua wewe! Karibuni wapwa, tujenge safari ya...
  14. kabila01

    JamiiForums Tanzania Faida nilizozipatakwa kupanda migomba michache kuzunguka nyumba yangu

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri Mwaka jana mwezi wa kwanza nilipanda migomba kama 30 katikaeneo la nyumbani napoishi. Kabla ya kupanda niliwauliza wataalamu hasa watu wanaotokea maeneo ambayo wanalima sana ndizi kama Moshi, Bukoba na Tukuyu kujua aina za ndizi na matumizi yake na namna ya...
  15. Mangole Valles Michael

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Wafugaji

    Anaandika Dr Christopher Cyrilo Jana nilipata bahati ya kutembelea Malembo Farm na kukutana na rafiki yangu Lucas Malembo. Nimshukuru Malisa GJ kunileta kwenye darasa hili la kilimo na ufugaji. Nimejifunza mambo mengi sana kuhusu kilimo na ufugaji. Kuna mambo ya kufurahisha, na mengine ya...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania hakuna TV station ya kilimo?

    Hongera kwa majukumu popote ulipo! Uchumi wa Tz kwa kiasi kikubwa unategemea au umefungamana na kilimo. Kwa kumbukumbu zangu, niwie radhi kama nakosea, hakuna chaneli ya TV inayorusha matangazo /makala kuhusu kilimo pekee. Je, ni kwa nini hakuna chaneli ihusuyo kilimo tu kwa lugha ya...
  17. Mancobra

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha kutegemea mvua: Nini kifanyike?

    Mambo vipi wadau wa maendeleo, natumai wote Ni wazima wa afya Kama kati yetu kuna mgonjwa naomba Mungu akupe wepes Mambo yawe vizuri. I hope Kila mtu anajua kilimo ndo uti wa mgongo kwa uchumi wa waTz walio wengi(even me) na taifa kwa ujumla. Mazngira ya kilimo hapa bongo kwa wakulima wengi Ni...
  18. Chorter

    JamiiForums Tanzania Jifunze kuhusu kilimo cha tangawizi Rungwe

    Habari wana jf, napenda kuwajuza kuhusu kilimo kilicho chukua chat sana na kukua kwa kasi kwa miaka ya karibuni kwa maeneo ya rungwe MBEYA. Kilimo cha tangawizi kimesaidia sana kuboresha maisha ya watu wengi wa Rika tofauti uku kwetu rungwe, lengo la uzi huu ni kwamba saizi ni msimu was kuanza...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Neema ya Kijiografia, Tabia Nchi na Hali ya Hewa inaifanya Tanzania kutaka kila kitu kwenye Kilimo

    Tanzania imebarikiwa kuwa na mchanganyiko wa hali ya hewa inayoakisi karibu mabara yote duniani. Yapo maeneo yenye mvua hadi kero, maeneo yenye baridi, sehemu zenye mvua chache na kadhalika. Mbali na Bahari, maziwa, mabwawa, mito na vijito. Hali hii ikijumuisha na sifa mbalimbali za udongo...
  20. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Serikali kuruhusu Bangi nchini?

    Katika kuzurula mitandaoni nimegundua kuna taarifa toka nipashe ikisema serikali yaruhusu kilimo cha ndumu! Je, ni kweli kuwa hilo limeazimiwa rasmi? ====== Kaimu Kamishna wa Kitengo cha Huduma za Sheria, Christina Rwehabuza, aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam wakati wa mafunzo ya mpango...
Back
Top Bottom