Rais mama Samia Suluhu: Wizara ya kilimo hamjali wakulima wanateseka wanalima soko hakuna nendeni watafutieni masoko ya nje

MPUNGA MMOJA

JF-Expert Member
May 30, 2015
304
401
"Wizara ya kilimo kuna shida, Mkulima anazalisha mazao yake hana kwa kuuza, Nendeni watafutieni masoko Nje na mkipata masoko ya mazao msiwapangie WAKULIMA waacheni wakauze wenyewe"
 
Nice move, ila tujiandae kwa mfumuko wa bei kwenye mazo mbalimbali kwa sisi walaji wa ndani.
 
Nice move, ila tujiandae kwa mfumuko wa bei kwenye mazo mbalimbali kwa sisi walaji wa ndani.
Hakuna mfumuko wa bei mkuu Huyo Majaliwa aliwai kutangaza soko la mhogo china ambalo hatuliwezi, matokeo yake kilichotokea unajua mwenyewe
 
Biashara nyingi zimeuliwa na serikali ya jiwe kuna jamaa zangu wako bagamoyo kiwangwa , imagine walikua wanalima mananasi kama hawana akili nzuri miaka ya nyuma na walikua wana masoko kenya hadu Sudan Kusini baada ya sera za hovyo za miaka hii ya karibuni mipaka imefungwa waliokuwa wanakuja kununua mananasi kwa mafuso na malori hawapo tena yaani kimsingi wakulima wanapata tabu sana
 
Safi Sana,
wakulima wa mbaazi, korosho, ufuta na mahindi wanaumia Sana kwa kukosa masoko.
Mkuu....una uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja with data...Sijasahau ID yako toka kwenye uzi wa Mugalu...Big up kiongozi...Mi shabiki wa coments zako sana.
 
Back
Top Bottom