Kwenye hili la pembejeo za kilimo, Rais kaongopewa na ni hatari kwa taifa

MPUNGA MMOJA

JF-Expert Member
May 30, 2015
273
500
Leo wakati Mhe. Rais Samia Suluhu wakati anaawaapisha Makatibu/Manaibu na viongozi wa Utumishi alihutubia na kuzungumzia changamoto za baadhi ya Wizara alizungumzia kwa ufupi sana Changamoto za KILIMO.

Amesema kuna changamoto ya Nzige kwa majirani hili si TATIZO la MKULIMA wa Tanzania.

Amesema kwa sasa malalamiko ya PEMBEJEO yamepungua HAKIKA Rais kadanganywa na ni FEDHEHA kubwa.

HALI YA PEMBEJEO NI HII;
~ Mbolea ya kupandia DAP ni sh 60k 70k na nyingi imechakachuliwa wakulima wameingia hasara na wameshindwa kumudu bei, Mbolea ya ruzuku imesambazwa nje ya uhitaji na hajawafikia hata 30% ya wahitaji.

~ Mbegu ni tatizo Wizara imeshindwa kuungana na Wataalam watafiti wa mbegu matokeo yake kwa Afrika Mashariki Tanzania inaongoza kwa kuzalisha MBEGU feki.

~ Madawa ni changamoto maduka yamejaa dawa feki na hakuna uthibiti wakulima wanaumizwa.

Nafahamu Rais hana ufahamu mpana wa KILIMO lakini Rais hawezi kujua kila kitu ila hua anashauriwa na Wataalam wa Wizara husika na kwenye hili la PEMBEJEO Rais KADANGANYWA naomba aite wadau wa kilimo azungumze nao atagundua KAONGOPEWA.
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
40,113
2,000
Mama amekiri kwamba huwa anapitia sana mitandao ya kijamii hakika ataliona na hili na kulifuatilia.
 
Biggs

JF-Expert Member
May 3, 2014
482
500
Kama wa
wa watumisiYaani nimeogopa
Kama wamendanganya inabidi wawajibishwe ili iwe fundisho.
Kilimo ni sekta nyeti kwa nchi. Ahitaji kufanyiwa mambo ya mzaa.
Imagine mkulima anawekeza hela huko halafu anapata hasara kutokana na uzembe au tamaa ya baadhi ya watumishi na wasimamizi wa sekta.
 
Mpandisha mishahara

JF-Expert Member
Mar 1, 2014
1,237
2,000
Mods hawakawii kuupeleka huu uzi kwenye uzi wa hafla ya kuapishwa makatibu wakuu ikulu. Ombi langu kwa mods wafungue uzi utaosema yale tu rais anayoonekana kupewa taarifa za uongo na watu wa mamlaka fulani.
 
Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
52,756
2,000
Leo wakati Mhe. Rais Samia Suluhu wakati anaawaapisha Makatibu/Manaibu na viongozi wa Utumishi alihutubia na kuzungumzia changamoto za baadhi ya Wizara alizungumzia kwa ufupi sana Changamoto za KILIMO.

Amesema kuna changamoto ya Nzige kwa majirani hili si TATIZO la MKULIMA wa Tanzania.

Amesema kwa sasa malalamiko ya PEMBEJEO yamepungua HAKIKA Rais kadanganywa na ni FEDHEHA kubwa.

HALI YA PEMBEJEO NI HII;
~ Mbolea ya kupandia DAP ni sh 60k 70k na nyingi imechakachuliwa wakulima wameingia hasara na wameshindwa kumudu bei, Mbolea ya ruzuku imesambazwa nje ya uhitaji na hajawafikia hata 30% ya wahitaji.

~ Mbegu ni tatizo Wizara imeshindwa kuungana na Wataalam watafiti wa mbegu matokeo yake kwa Afrika Mashariki Tanzania inaongoza kwa kuzalisha MBEGU feki.

~ Madawa ni changamoto maduka yamejaa dawa feki na hakuna uthibiti wakulima wanaumizwa.

Nafahamu Rais hana ufahamu mpana wa KILIMO lakini Rais hawezi kujua kila kitu ila hua anashauriwa na Wataalam wa Wizara husika na kwenye hili la PEMBEJEO Rais KADANGANYWA naomba aite wadau wa kilimo azungumze nao atagundua KAONGOPEWA.
Mkuu ujumbe umefika kwa sababu Rais anafuatilia sana na kusoma maoni ya mitandaoni
 
Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
11,640

Kumbe na nyie huwa mnajua kulalamika😂😂
 
MPUNGA MMOJA

JF-Expert Member
May 30, 2015
273
500
Kama wa

Kama wamendanganya inabidi wawajibishwe ili iwe fundisho.
Kilimo ni sekta nyeti kwa nchi. Ahitaji kufanyiwa mambo ya mzaa.
Imagine mkulima anawekeza hela huko halafu anapata hasara kutokana na uzembe au tamaa ya baadhi ya watumishi na wasimamizi wa sekta.
Hawajaanza leo hawa kuhujumu hii Wizara wanaumiza sana Wakulima
 
darubin ya mbao

JF-Expert Member
Aug 3, 2016
1,508
2,000
Hapo kwenye mbolea feki ni kweli kabisa kuna jamaa yangu kauziwa mbolea feki YARA MILLA CEREAL ameweka yani ni kama kaweka mchanga zero response mahind yanazidi kua ya njano tu hekari nane amekula hasara inaumiza sana wakulima hili.
 
Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
4,269
2,000
Kwenye kilimo inahitajika pembejeo na masoko.
Its so sad ! Yaani Malawi na Zambia zinazalisha pembejeo bora mara dufu ya Tanzania.
Walio pembezoni ni mashahidi, mbegu bora ya kuku, mahindi etc, pia mbegu zinazotoka jirani, tena nchi ndogo na duni.
Huku tunapambana kulinda viwanda vya ndani, ili hali wakulima wanauziwa magaka.
Mtu anapambana kupata mtaji kadiri awezavyo, kisha analazimishwa kununua matakataka.
Inauma sana !
 
dmketo

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
541
1,000
Kwa kweli bei ya mbolea inapanda kila siku huku ubora wa mbolea yenyewe ukiwa hafifu sana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom