Kilimo na Masoko ya Ukwaju

moto nkali

JF-Expert Member
Aug 15, 2012
311
94
Waungwana...

Natumaini Mungu anazidi kutupigania kila siku, na maisha yanasonga.. Niende kwenye mada.. 👇

Ninaomba mwenye kufahamu anisaidie maarifa nitoe tongotongo... maana tunatofautiana uzoefu na access to information.

Biashara ya ukwaju ipoje? Masoko yake yakoje hapa kwetu? Na je taratibu za kupata masoko kama ni nchi za nje zinakuwaje?

Ninaongelea soko la kutoa malighafi shamba kuja mjini, na kama kuna uchakataji kuongeza thamani nifahamishwe pia..

Na taarifa zingine zenye kusaidia nitashukuru pia..

Nawasilisha
 
Waungwana,

Natumaini Mungu anazidi kutupigania kila siku, na maisha yanasonga. Niende kwenye mada👇

Ninaomba mwenye kufahamu anisaidie maarifa nitoe tongotongo, maana tunatofautiana uzoefu na access to information.

Biashara ya ukwaju ipoje? Masoko yake yakoje hapa kwetu? Na je, taratibu za kupata masoko kama ni nchi za nje zinakuwaje?

Ninaongelea soko la kutoa malighafi shamba kuja mjini, na kama kuna uchakataji kuongeza thamani nifahamishwe pia.

Na taarifa zingine zenye kusaidia nitashukuru pia.

Nawakilisha
 
Waungwana...

Natumaini Mungu anazidi kutupigania kila siku, na maisha yanasonga.. Niende kwenye mada.. 👇

Ninaomba mwenye kufahamu anisaidie maarifa nitoe tongotongo... maana tunatofautiana uzoefu na access to information.

Biashara ya ukwaju ipoje? Masoko yake yakoje hapa kwetu? Na je taratibu za kupata masoko kama ni nchi za nje zinakuwaje?

Ninaongelea soko la kutoa malighafi shamba kuja mjini, na kama kuna uchakataji kuongeza thamani nifahamishwe pia..

Na taarifa zingine zenye kusaidia nitashukuru pia..

Nawakilisha
Nadhani kwa sasa mnunuzi mkubwa wa ukwaju ni bakhresa, kwenye kiwanda chake cha mwandege pwani.
 
Fursa zote hujaziona mpaka ukalime ukwaju?
Ipo siku mtapanda na mibuyu.
Anyway mi nimekulia shy, ukwamaju ni miti pori kama ubuyu,ntarali,furu,mihama nk.
Tulikuwa tunaenda porini tunajichumia tani yetu tunarudi nyumban kukoroga jwisi na kuunga kwenye mboga.
Mkuu ukwaju unaota jangwani, chunya,dodoma,singida,shy, tabora nk. we tafuta jangwa panda usibiri miaka kumi uanze kuvuna.
Kibiashara tafuta watu wa huko wawe wnakukusanyia porini, haunaga bei mkuu.
Nilinunua soko la Mby ukwaju wa 2000 sado nzima mpaka umepata kuvu, je ukienda chunya au dodoma. Watz hawaupendi ukwaju, wanatumua sana limau.
Shy ulikuwa unatumika kwenye barafu, pamoja na ubuyu leo bakhresa kaiba ujuzi kaweka kwenye chupa.
 
Back
Top Bottom