Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,595
- 215,272
Kwenda shambani inakua ni mateso kama mazingira ni mabovu. Weka kilimo mazingira mazuri ya shamba. Jiko la gesi, vyakula na maji. Saa ya kula unaandaa vizuri chakula mezani au kwenye mkeka. Mnaweza kuchemsha mihogo au viazi kutoka hapo shambani.
Watoto wakisaidia kazi vidogo vidogo. Hii ni kumbukumbu nzuri kwa watoto wakikua na wao wanaweza kuamua kuwa wakulima.
Ni kutokana na uwekezaji mdogo katika kilimo ndiyo maana vijana wengi wanakumbilia mijini na kuacha utajiri wa ardhi mikoani.