kilimo

  1. athumanishapu

    JamiiForums Tanzania Kipi kati ya hivi kina nafasi kubwa kukutoa kimaisha?

    Habarini wana JF, Naomba kuuliza kati ya hivi vitu vitatu, kipi kina nafasi kibwa ya kukutoa kimaisha? (1) KUAJIRIWA (2) KILIMO (3) BIASHARA
  2. Jkitamoga

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kilimo Cha maharage Wilayani Kwimba

    Niko wilaya ya kwimba napenda kujua kama maharage yanaweza kusitawi vizuri kwenye udongo mweusi (mfinyanzi) maana ninaeneo la aina hiyo na liko karibu na chanzo Cha maji. Naomba ushauri wako.
  3. DustBin

    JamiiForums Tanzania SoC01 Vijana wenzangu tukalime kilimo kinalipa sana

    “Vijana wenzangu tukalime, kilimo kinalipa sana” haya yalikua maneno ya rafiki yangu mmoja ambae aliacha kazi yake ya kupiga picha (Camera Man) na kuhamia shambani kulima. Bwana Jenkeni ni rafiki yangu wa karibu sana, nilifahamiana nae mwaka 2014 alialikwa nyumbani Kimara kwenye sherehe ya...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha ndizi Brazil

  5. K

    JamiiForums Tanzania Ombi: Vyuo vya Ualimu Kilimo vya Serikali kwa Diploma 2021

    Jamani naomba link ya kuniunganisha kuomba online vyuo vya Diploma ya ualaimu kwa Chemia na Biology au Vyuo vya kilimo. Nimeangalia NACTE sioni Link pakuomba. Mwanafunzi ana CEE ya CBG. Asanteni Sana
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kwenye sekta ya kilimo kati ya China na Afrika, unaweza kuinua maisha ya wakulima wengi wa Afrika

    Ile zama ya vyama na serikali kuwa wadau pekee wa uhusiano kati ya China na Afrika sasa imepita. Mageuzi makubwa ya kiuchumi yamefanyika nchini China na maendeleo makubwa yamepatikana, hali hii imefanya serikali isiwe mdau pekee wa ushirikiano. Tangu China ianzishe ushirikiano wa kimkakati wa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Rais Samia anza na Kilimo kukuza uchumi

    Katika hotuba mbalimbali za Rais Samia Suluhu Hassan ameonyesha nia yake ya dhati kukuza uchumi wa taifa letu pamoja na kustawisha ustawi wa mtu na maendeleo yake. Haya ameyasisitiza katika hotuba zake wakati wa siku ya wafanyakazi na alipokutana na wazee wa Dar es Salaam. Katika hafla hizi...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kilimo bora chenye tija na maendeleo

    Asilimia zaidi ya 80 ya watanzania wote tunajishughulisha na kilimo ambacho ndio uti wa mgongo wa uchumi wetu, Ikiwa hivi ndivyo mbona hatuna maendeleo kuanzia kwa mkulima, jamii, wala taifa kwa ujumla?' Ni kwa sababu bado hatuna kilimo chenye tija na kutuletea maendeleo Sasa tunaenda kuona...
  9. Truth Bot AI

    JamiiForums Tanzania Njia ya kuongeza kipato: Kilimo cha pilipili kichaa kinavyoweza kumfaidisha kijana wa Kitanzania

    Habari wanajamvi wenzangu! Tatizo la ajira limekuwa sugu lakini nimekuja na suluhisho ambalo litaweza kuongeza kipato kwa sisi watu wa chini na hasa waliomaliza chuo na kukosa posts. Naeleza hiki kutokana na Experience yangu na jinsi nilivyofanikiwa kwa kilimo hiki cha pilipili kichaa (African...
  10. malunde_mc

    JamiiForums Tanzania Natafuta Ajira fani ya Kilimo

    Habari wana JF Nina Diploma in General Agriculture natafuta kazi katika fani hiyo.Mshahara maelewano.
  11. Livingson1

    JamiiForums Tanzania Aina za ujasiriamali zinazoweza kumtoa kijana kimaisha

    1. ufugaji wa kuku. Ufugaji wa kuku wa kienyeji ama kuku wa kisasa. Faida zake zinatokana na uuzaji wa mayai, nyama ya kuku, kuku wenyewe, vifaranga, mbolea n.k _ Ndege wengine wenye faida kama za kuku ni kanga, bata wa aina tofauti, njiwa, kware n.k 2. Ufugaji wa mbuzi. Mbuzi faida zake...
  12. malunde_mc

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kilimo ni nguzo mama kuelekea uchumi wa viwanda

    Kilimo ni uzalishaji wa mazao kwenye mashamba.Kilimo kina maana pana sana inayojumuisha uzalishaji wa mimea,ufugaji wa mifugo pamoja na uvuvi.Tanzania takribani 70% ya wakazi wake hujishughulisha na kilimo. Zifuatazo ni faida za kilimo. Kupatikana kwa chakula :-Kilimo kinawezesha kupatikana...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha alizeti (sunflower) sesemi (ufuta) and palm oil (michikichi)

    Habari wakuu, Nataraji mko wazima licha ya majukumu mengi ya ujenzi wa taifa. Zote tumeshudia bei ya juu sana ya mafuta ya kula, Na kwa wale hawajui mafuta ya kula inatokana na hizi bidhaa nimetaja hapo juu, alizeti, michikichi, na ufuta. Tuko na ardhi tele yenye rutuba, na yenye uwezo wa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kilimo cha Alizeti ni Utajiri

    PATA FAIDA KUBWA KUPITIA KILIMO CHA ALIZETI. KWA MTAJI WA LAKI MOJA NA AROBAINI (140,000) KWA HEKALI MOJA NA KUPATA ZAIDI YA MILLION MOJA NA LAKI NNE (1400,000/=) KWA SIKU TISINI (90). Ndugu Wapendwa hapana shaka ya kuwa mnaendelea vyema na ujenzi wa Taifa letu pendwa la Tanzania.Ikiwa ni...
  15. T

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kilimo chenye tija

    Kilimo ni moja ya sekta muhimu sana hasa kwa taifa ambalo bado ni changa na lina uhitaji wa kufanya mapinduzi ya viwanda na uchumi kwa ujumla. Kwa upande wa Tanzania kilimo kinatajwa kuwa uti wa mgongo na asilimia kubwa ya watanzania ni wakulima. Japokuwa kilimo kinatajwa kuwa uti wa mgongo...
  16. I

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tozo ya miamala ya simu: Uwanja umeinama, Tuangazie Kilimo kitatukomboa

    Na ,Ibrahim Rojala Kuanzia Julai 15 ya mwaka huu wanaotuma fedha kwa wakala wa simu za mikononi walianza kulipa kodi ya uzalendo ambayo waziri wa fedha Dkt.Mwigulu Nchemba aliielezea kuwa ni muhimu kulipwa. Kupitia makato mapya ya miamala ya simu kiasi cha chini cha kodi ya uzalendo ni...
  17. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tanzania, takriban asilimia themanini na tano (85%) ya watu wanajishughulisha na Kilimo

    KILIMO ni mchakato wa kulima mazao ya chakula na mazao biashara pamoja na kufuga wanyama.Hapo mwanzo ilifahamika tu kwamba kilimo kinahusisha ulimaji wa mazao pekee lakini kutokana na mabadiliko na maendeleo ambayo yamejitokeza hivi sasa, kilimo kinajumuisha Ulimaji wa mazao na Ufugaji wa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Uwezeshwaji wa vijana na wanawake kupitia kilimo mtandao (E- agriculture)

    Nitaanza na maana ya kilimo mtandao. KILIMO MTANDAO, hii ni huduma ya kilimo ambayo inatoa taarifa na kupokea taarifa kuhusu hali ya klimo, masoko ya mazao, hali ya hewa na mabadiliko ya nchi pamoja na matumizi mengine ya kiteknolojia kupitia mtandao. Hii inasaidia kurahisisha mawasiliano...
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mradi wa kilimo cha biashara unaojumuisha wasomi wa kada mbali mbali

    Kilimo cha biashara ni njia ya kujitoa katika umasikini. Mtaji katika kilimo hiki ni changamoto kubwa. Wazo lililopo ni kuunganisha nguvu na ujuzi wa watu mbali mbali. Wahitimu wa kilimo, uhandisi, HR, accounts, marketing nk waungane na kuunda kampuni. Eatafute eneo kuanzia heka 20, wa...
  20. Godlisten9

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mabara yaliyoendelea yanaichukulia bangi katika nafasi kubwa ya kuendeleza uchumi wa nchi zao

    Kilimo cha Bangi,kuweka tozo na kupunguza posho za watumishi wa Serikali katika kuongeza pato la Taifa mbadala wa tozo za simu, mafuta ya petroli, dizeli, mafuta ya taa, mafuta ya chakula na sukari. Habari nawasalimu wadau na wana JF wote, nina imani mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kila...
Back
Top Bottom