kilimo

  1. T

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Kilimo cha Limao na Ndimu

    Je, maeneo gani nchi hii yanakubali zaidi hasa ndimu? Huchukua muda gani toka kupanda mapaka mavuno na garama zake ni kiasi gani kwa heka? Karibuni wadau.
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania World Bank Report: Transforming Agriculture | Realizing the Potential of Agriculture for Inclusive Growth and Poverty Reduction

    Benki ya Dunia inazindua sasisho la 13 la Uchumi wa Tanzania lenye jina la 'Mabadiliko katika Kilimo: Kutambua Uwezo wa Kilimo kwa Ukuaji wa Pamoja na Kupunguza Umasikini,' linalotoa udharura katika kuunga mkono sera za umma na kusaidia Umati wa Watu katika uwekezaji wa sekta binafsi na kuchukua...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Afrika kuongoza kwa kilimo cha bangi ya matibabu

    Kundi la wanasayansi, watafiti na wajasiriamali limesema bara la Afrika linaweza kufikia kuwa mzalishaji mkubwa wa bangi inayotumika kwa ajili ya matibabu. Jordan Curl; mtaalamu kutoka Kituo cha Uwekezaji na Utafiti wa Bangi cha nchini Israel amewaambia wajumbe wanaohudhuria mkutano wa...
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa umma kuhusu wakulima kutumia mvua za msimu zilizoanza kunyesha na za vuli kupanda mazao yanayokomaa kwa muda mfupi

    Waziri wa Kilimo Mheshimiwa Japhet Hasunga (Mb) anapenda kuwafahamisha wananchi wote hasa wakulima kutumia mvua za vuli zilizoanza kunyesha katika mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Mara, Simiyu, Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro ambayo hupata mvua mara mbili (bimodal) kwa mwaka...
  5. kaligopelelo

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha nyanya wakati wa masika

    Habari za weekend wanajamvi. Wakuu naombeni ushauri wa mbegu bora ya nyanya ya kisasa inayostahimili wakati wa masika na bei yake. Naomba kuzijua mbegu zinazozaa vizuri wakati huo na zinazovumilia magonjwa. Natumaini kuwa nitasaidiwa. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu.
  6. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Kilimo bila shaka umemsikia Rais Magufuli mkoani Morogoro, Je juu ya pareto?

    Na Elius Ndabila 0768239284 Mh Japhet Ngayilonga Hasunga Waziri wa Kilimo, nianze kwa kukupongeza kwa kazi kubwa unazofanya hasa upande wa Wizara nyeti inayobeba maisha ya Watanzania zaidi ya milioni 55. Wizara ya kilimo ndiyo wizara mama ambayo inabeba karibia Wizara zote za kisekita...
  7. MwanawaMUNGU41

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

    Habari wadau, Baada ya kuwa kwenye ajira kwa miaka 10 na kuona msoto uko pale pale,nimeamua kuingia kwenye kilimo kama njia ya kuongeza kipato cha ziada. Nimeanza kwa kukodi shamba Ruvu kwani mimi niko Dar na niko kamili kwa kuanza na heka 2. GHARAMA Nimekodi shamba laki 3(@150,000),nikafyeka...
  8. mult_talented_p

    JamiiForums Tanzania Msaada wa bei za pembejeo za kilimo pamoja na upatikanaji wake

    Mimi ni mwanafunzi wa shahada ya uzamili ya sayansi, na ninafanya utafiti wangu kwenye aina moja ya sumukuvu (Aflatoxins) inayopatikana sana kwenye mahindi, alizeti, na karanga. Ninahitaji kujua bei za pembejeo au dawa za kuzuia wadudu wanaoshambulia mahindi na kuzalisha sumukuvu ijulikanayo...
  9. kabila01

    JamiiForums Tanzania Pata fursa ya kilimo katika bonde la Kalenga mpaka Kiwele

    Nitumie nafasi hii kuwakaribisha wapambanaji wenzangu tusiokata tamaa katika kilimo. Bonde hili lipo KM 10 tu kutoka Iringa Mjini usafiri wa daladala na nauli ni sh 500 tu. Unaweza kukaa Iringa Mjini asubuhi unaenda shamba jioni unarudi. Ukiamua kukaa kule poa mazingira mazuri umeme upo na...
  10. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mara yatajwa kinara kilimo cha bangi

    MATUMIZI ya dawa za kulevya aina ya bangi, yametajwa bado ni tatizo nchini, huku mkoa wa Mara ukiwa ni kinara katika kulima cha zao hilo ikifuatiwa na Tanga. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Watu wenye Ulemavu), Jenista Mhagama, ndiye aliyebainisha hayo bungeni...
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Tuwekeze zaidi kwenye kilimo, tutumie ardhi yetu na izalishe ajira

    Enzi zile Zimbabwe inaitwa Rhodesia ilikuwa mzalishaji mkubwa wa mahindi, Rhodesia iliweza kuzalisha mahindi na kulisha Afrika yote hasa kukiwa na ukame. Waliweza kufanya vile kwakua walowezi walilima kwa kutumia mashine, walikuwa na mashamba ya biashara. Jembe la mkono haliwezi kumkomboa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kununuliwa kwa ndege, Reli na kuhamia Dodoma ni kilimo cha kurudisha Siasa za Wazee!?

    Tumekuwa tukishuhudia watu mbalimbali wakitumia MAISHA ya mazingira kuwafundisha watu MAISHA ya Siasa, uchumi, utamaduni, sanaa n.k Mambo makubwa yanayofanywa na Serikali ya awamu ya Tano ni ishara kubwa kuwa nyumba ya ikulu ilikuwa inanuka na maandalizi ya kufikia uchumi wa Kati Kwa...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aagiza Tsh. Bilioni 40 zitumike kulipa madeni ya Wakulima wa Korosho baada ya Serikali kununu Korosho hizo

    Rais Magufuli ameiagiza Wizara ya Fedha na Mipango kutoa Tsh. Bilioni 40 ili kumalizia madeni yote ya Wakulima wa Korosho yaliyobaki baada ya Serikali kununua korosho hao katika msimu wa mwaka 2018/19 Ametoa maagizo hayo leo alipokutana na viongozi wa Wizara, Mikoa, Wilaya na Taasisi za...
  14. Influenza

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kilimo, Bashe: Kama sio Mkulima asiongoze chama cha Ushirika

    Naibu Waziri wa Kilimo nchini Tanzania, Hussein Bashe amepiga marufuku watu wasiokuwa wakulima kuongoza vyama vya ushirika kwa maelezo kuwa hawana msaada wowote zaidi ya kugeuka madalali. Bashe ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Oktoba 31, 2019 mjini Dodoma katika mkutano wa kitaifa wa wakulima...
  15. Fursakibao

    JamiiForums Tanzania Changamoto nilizokutana nazo kwenye kilimo na jinsi nilivyozikabili

    Habari za mida wadau wenzangu wa kilimo. Niende moja kwa moja ni share safari yangu kwenye hii fani ya kilimo ili wale wanaotegemea kujiunga wapate ka uzeofu kadogo japo wapate pa kuanzia. Nimekuwa nikifanya shuguli za kilimo toka mwaka 2014 toka hapo nimekuwa nikipata na kukosa pia. Nilianza...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nitumie mbolea gani?

    Nitumie mbolea ya aina gani katika ardhi ya kichanga?
  17. Ngwanakilala

    JamiiForums Tanzania Tuna vyuo vya Kilimo lakini hatuna wakulima wakubwa, Tuna SIDO lakini hatuna viwanda vidogo

    Wakuu Hili suala nimekua nalifikiria mara kwa mara Tuna chuo Kikuu cha kilimo SUA lakini kwanini hakuna wanafunzi au walimu wanaotoka pale na kua wakulima wakubwa na bora. Wote wakimaliza pale wanaamini kwamba wanatakiwa waajiriwe maofisini. Ina maana hawa walienda chuo cha kilimo ili...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo ni kujipanga

    Katika jambo lolote unalotaka kulifanya, ni muhimu kuweka katika mpangilio unaoeleweka. Yaani ujue mwanzo na mwisho ili unapotoka hatua moja ujue unaenda mbele au nyuma. Hivyo hivyo kwenye kilimo, ni vyema kijipanga. Unaweza kuwa na eneo kubwa kwa ajili ya kilimo alafu mwisho wa siku ukashindwa...
  19. kabila01

    JamiiForums Tanzania Tulioingia kwenye kilimo tukaangukia pua tukutane hapa

    Naanza kwa kutoa experience yangu. Niliingia kwenye kilimo baada ya kushawishika na vipindi vya Clouds Media kuhusiana na fursa. Presenters walishawishi sana kuwa vijana hatujitumi na hatutumii brain zetu vizuri. Nikajitosa kwenye kilimo cha tikiti Migoli Iringa na milioni zangu 2. Nikaingia...
  20. Jaffari Yusuph

    JamiiForums Tanzania Nina heka 1,000 za shamba lenye mto usiokauka maji

    Habari wana JF.Nina hekari 2,000 za shamba maeneo ya mazinde wilaya ya korogwe mkoani Tanga. Ninatumia heka 1,000 tu.Zimebakia heka 1,000 kwa mwekezaji yoyote wa kilimo aje. Pembeni limepakana n mto ambao haujawahi kukauka maji. Nauza TSH 1,000,000 Kwa Heka 1...
Back
Top Bottom