kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Nsumba ntale tz

    JamiiForums Tanzania Kama una eneo Dodoma lipo tu hulifanyii kazi tuwasiliane tufuge nguruwe

    Habari wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza kama una eneo halina kazi naomba tukutane, ili tuone kama tunaweza kushirikiana tufuge nguruwe kama washirika mimi nina mtaji wewe eneo. Eneo lisiwe nje sana ya mjini Tafadhari tuwasiliane PM Mrejesho: Nimeshapata eneo tayari ahsante JF
  2. yuda75

    JamiiForums Tanzania Bora ubaki single kuliko kuoa nesi, maana anaaga anaingia night kumbe anakwenda kwa mwingine

    Nishakuwa na mke wa mtu alikuwa ni nesi katika hospital flani. Bwana bwana alikuwa anamuaga mumewe anaenda shift ya night kumbe anakuja kwangu anapika anapakua analiwa kesho yake asubuhi anarudi home kulala hiyo ni siku moja kabla hajaanza off au baada ya kuanza off. Alinipenda sana yule dada...
  3. safuher

    JamiiForums Tanzania Ajira sio utumwa ukiwa katika kazi ya ndoto yako unayoipenda

    Utumwa wa kweli ni kufanya usichokipenda katika maisha yako, utumwa ni kulazimishwa, kutokuridhika na kile unachofanya. Babu zetu walikuwa watumwa kwa sababu walilazimishwa kulima na kufanya kazi zingine bila hiari zao na kufungua nafsi. Lakini leo babu zetu wanalima pia ila hawalalamiki kuwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu baada ya kuiteka ngome ya Kanda ya Ziwa, una kazi moja tu ya kuiteka Dar es Salaam umalize biashara hii mapema

    No doubt Ngome ya kisiasa ya raisi Magufuli ya Kanda ya Ziwa imetikiswa sana na mashambulizi ya kampeni ya Lissu Hii kanda ndiyo iliyokuwa muhimu sana kumsaidia Magufuli kubalance nguvu za upinzani katika kanda ya kaskazini na miji mikubwa ya Dar na Mbeya, huku akitegemea mikoa loyal kwa CCM...
  5. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kazi nzuri sana viongozi wa CHADEMA majimboni, sasa mnashindana kuvunja rekodi na kesho tupo Tarime!

    Sasa viongozi wa CHADEMA majimboni wanashindana kutambiana rekodi. Kazi nzuri sana hii. Tulianzia Morogoro, tukaja Iringa, Njombe, Mbeya, Rukwa na sehemu ya Katavi ( Hapa tutarudi pamoja na Kyela, Tukuyu na Rungwe) Kote tulilopita tumeshuhudia hamasa ya wanachama na viongozi wa majimbo...
  6. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  7. Stay in school

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuwa kama hujapita advanced level hupati kazi Serikalini?

    Je, ni kweli kuwa Kama hujasoma form 5 na 6 hupati Kazi serikalini?
  8. lelulelu

    JamiiForums Tanzania Nafanya kazi hoteli,nataka demu wa kizungu,nitumie mbinu gani ?

    Wakuu mambo vipi inakuwaje? Mimi kwa kweli nimekuwa nikitamani kila siku kupata demu wa kizungu atoke nchi yeyote ile,juhudi zangu zinagonga mwamba kila siku. Nafanya kazi ya kutengeneza vitu vya samani hotelini ambakko wazsungu wako kedekede naonana nao naongea nao kiingereza cha kupapasa,ila...
  9. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Vijana Msijidanganye: Ukiamua kujiajiri ni lazima uwe na nidhamu ya kazi (Self-Discipline) mara kumi (10) zaidi ya ulivyoajiriwa ndio utafanikiwa

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu vijana msijidanganye; Ukiamua kujiajiri ni lazima uwe na nidhamu ya kazi (Self-Discipline) mara kumi (10) zaidi ya ulivyoajiriwa ndio utafanikiwa. Nimeamua kutoa ushauri huu kwa maana kwamba, juzi nilikuwa nimepanda daladala ya...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hai: Freeman Mbowe azindua kampeni kwa kishindo, apokelewa na Mabango, shangwe za Mwamba tuvushe zarindima

    Mwenyekiti wa Chadema ambaye pia ni mgombea ubunge wa Jimbo Hai Freeman Mbowe , amezindua rasmi kampeni za ubunge na kupokelewa na umati wa wananchi wenye mabango. Mbowe ambaye kampeni nzima hufanya mikutano mitatu tu ya kuomba kura kutokana na kuaminiwa na wananchi , ambao mara zote humtaka...
  11. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume afurumushwa IMMMA Advocates

  12. 2

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa connection ya kazi kwenye Bomba la Mafuta

    Habarini ndugu zangu, Naombeni connection ya kazi kwenye mradi mpya wa bomba la mafuta linalotoka Uganda kuja Tanga-Tanzania, elimu yangu ni Degree ya Information Technology ila kazi zozote zile nitafanya hata kama ni nje ya fani yangu. Mwenye connection naombeni anisaidie ndugu zangu nipo...
  13. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania China yatoa mchango mkubwa na kushiriki katika kazi mbalimbali za UM

    Katika miaka 49 iliyopita tangu China irejeshewe kiti chake halali kwenye Umoja wa Mataifa mwaka1971, imekuwa ikitoa msaada na mchango mkubwa na kuwa mshiriki hai kwenye shughuli mbalimbali za Umoja wa Mataifa. China imedumisha madhumuni na kanuni za Mkataba wa Umoja wa Mataifa, na kudumisha...
  14. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za Muda, NEC, Halmashauri ya Kaliua

  15. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za muda, NEC, Chamwino na Mvumi

  16. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za muda NEC, Halmashauri ya Hai

  17. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za muda NEC, Halmshauri ya Jiji la Mwanza

  18. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi za Muda NEC Halmashauri ya Bukoba

  19. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za Muda Halmashauri ya jiji la Arusha

  20. P

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya Ualimu katika Masomo ya Fizikia na Kemia

    Naitwa Mwl. Paulo Yamola Masanja Ni mhitimu wa shahada ya Ualimu wa sayansi katika masomo ya Physics na Chemistry. Lengo kuu ni kuomba nafasi ya kazi ya kufundisha kama Mwalimu katika sekondari yenye uhitaji. Kwa maswali na ufafanuzi zaidi, napatikana kupitia 0767582599 Email...
Back
Top Bottom