Kama hauwezi kujibu swali la dizaini hii basi haufai kufanya kazi Usalama wa TAIFA ( Intelligence Officer)

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,289
27,744
Huyu dogo ni Graduate wa Chuo Kikuu. Ndoto zake siku zote imekuwa ni kufanya kazi Usalama wa TAIFA.

Jana walikuwa kwenye msiba mtaani Mimi nilikuwa nje ya mji. Dogo anasema mahali walipo kuwa wamekaa Kuna Jamaa mmoja aliniponda Sana Mimi. Kwamba naringa Sana. Najisikia Sana kwa sababu nna vihela hela vigari na kinyumba. Nabagua misiba ya kuhudhuria etc.

Huyu dogo ni mgeni huku kitaa so hakuweza kujua jina la huyo MSENGENYAJI kwa sababu jina lake halikuweza kufahamika Mara moja.

Wasengenyaji wa mtaani kwetu wote nawafahamu so nilitaka kujua description za msengenyaji huyo ili nijue ni nani huyo but dogo huyu hakuweza kutoa description za msengenyaji huyo.

Mimi : Huyo Jamaa yupoje yupoje? UNAWEZA kumuelezea kidogo?

Dogo: Yupo kawaida Tu Kaka nashindwa hata nimuelezee vipi.

SWALI LA PILI NDIO KWENYE CONTENT YA UZI WANGU.

Nikataka kujua umri wa msengenyaji huyo. Kupitia umri wa msengenyaji huyo ningeweza kumtambua.

Mimi : Kwa kumuangalia Jamaa anaweza kuwa na umri gani ?

Dogo: haaa Kaka Sasa ntajuaje umri wa mtu Kaka kwa kumuangalia Tu ? SWALI gumu Sana Kaka .

..like serious? A graduate? Mwenye ndoto za kuwa Intelligence Officer huwezi kukisia umri wa mtu kwa kumtazama tu?

Hata kwa kukisia Tu kwa kutaja range kwamba kwa kumuangalia mtu huyo anaweza kuwa na umri Kati ya miaka 30 Hadi 35 ?

Kama hauwezi kujibu swali rahisi Kama hili basi wewe huna sifa ya kufanya Kama Intelligence Officer ?

Hutazami hata movie za mbele? Mtu kavamia benki Intelligence Officer wanawauliza Tellers kutoa descriptions za jambazi by the time Tellers wanamaliza kutoa maelezo jamaa tayari wamesha chora picha ya huyo jambazi . Hii ndio maana ya kuwa Intelligence Officer.

Lazima uwe sharp.

Wewe Bwana mdogo una ndoto za kuwa Intelligence Officer mtu anakuuliza unaishi wapi? Sinza.

Hivi Sinza maana yake nini ? Haa ni jina Tu ? Like seriously ???

Kuna vitu vya msingi ambavyo lazima uwe una vifahamu. Umri wa mtu hata kwa kumtazama tu.

UNAWEZA kujua hata kabila la mtu kwa kumuangalia Tu jinsi anavyo tembea hususani kwa watu wanao toka kwenye makabila maarufu Kama wahaya, wasukuma, wachaga etc.

Sasa Kama hauwezi kujua umri wa mtu kwa kumtazama ungewekwa kwenye mission ya King Herode kuua watoto wote wenye umri Kati ya miaka sifuri Hadi 3 si ungefeli wewe? Unge timiza vipi mission Kama hauwezi kujua umri wa mtu kwa kumtazama.
 
Aliekudanganya kua ili uwe intelligence officer lazima uwe na akili ni nani?

Mrema aliwahi kua intelligence officer kwa taarifa yako.

Sifa kuu ya kua intelligence officer nchi hii ni kua uvccm basi hayo mambo mengine watakuja wamarekani, waingereza, wachina, wajerumani kutoa mafunzo hivyo hata ukiwa taahira ukifundishwa utaelewa, utapewa bastola utaanza kutembea nayo na maisha yatakua hivyo.
 
Kuna maneno mawili huwa yanatumika vibaya watu wakiwa na maana ya neno jingine

Mfano: 1: Kuwa Intel Oficer INAPASWA uwe na akili sana
2:Kuwa Intel Oficer NI LAZIMA uwe na akili sana
 
Aliekudanganya kua ili uwe intelligence officer lazima uwe na akili ni nani?

Mrema aliwahi kua intelligence officer kwa taarifa yako.

Sifa kuu ya kua intelligence officer nchi hii ni kua uvccm basi hayo mambo mengine watakuja wamarekani, waingereza, wachina, wajerumani kutoa mafunzo hivyo hata ukiwa taahira ukifundishwa utaelewa, utapewa bastola utaanza kutembea nayo na maisha yatakua hivyo.
Ya kweli haya, basi ngoja nikachukue card ya chama jumatatu..
 
Totally wrong, like seriously?! Me from kanda maalum. Like seriously!

Kanda ya ziwa ndo kunakuwaga na watu wenye mitkasi ya kilugha lugha Kama wewe . Ur so much obsessed na mfumo dume . Wewe ni Aina ya mtu ambae huwezi Lia kwenye msiba wa baba ako, mama ako, MKE wako, au watoto wako ili usionekane " dhaifu" kama " wanawake" halafu unakuja kufa kwa stroke nine months later.

My soul is Free like Nelson Mandela.

Toka kwenye Hilo gereza la nafsi ulilo fungwa
 
Kutoka kwenye u Intelligence Officer mpaka kwenye kupiga ramli! 🙃 We kweli kiboko. 🙌 Na log off.
 
Huyu dogo ni Graduate wa Chuo Kikuu. Ndoto zake siku zote imekuwa ni kufanya kazi Usalama wa TAIFA.

Jana walikuwa kwenye msiba mtaani Mimi nilikuwa nje ya mji. Dogo anasema mahali walipo kuwa wamekaa Kuna Jamaa mmoja aliniponda Sana Mimi. Kwamba naringa Sana. Najisikia Sana kwa sababu nna vihela hela vigari na kinyumba. Nabagua misiba ya kuhudhuria etc.

Huyu dogo ni mgeni huku kitaa so hakuweza kujua jina la huyo MSENGENYAJI kwa sababu jina lake halikuweza kufahamika Mara moja.

Wasengenyaji wa mtaani kwetu wote nawafahamu so nilitaka kujua description za msengenyaji huyo ili nijue ni nani huyo but dogo huyu hakuweza kutoa description za msengenyaji huyo.

Mimi : Huyo Jamaa yupoje yupoje? UNAWEZA kumuelezea kidogo?

Dogo: Yupo kawaida Tu Kaka nashindwa hata nimuelezee vipi.

SWALI LA PILI NDIO KWENYE CONTENT YA UZI WANGU.

Nikataka kujua umri wa msengenyaji huyo. Kupitia umri wa msengenyaji huyo ningeweza kumtambua.

Mimi : Kwa kumuangalia Jamaa anaweza kuwa na umri gani ?

Dogo: haaa Kaka Sasa ntajuaje umri wa mtu Kaka kwa kumuangalia Tu ? SWALI gumu Sana Kaka .

..like serious? A graduate? Mwenye ndoto za kuwa Intelligence Officer huwezi kukisia umri wa mtu kwa kumtazama tu?

Hata kwa kukisia Tu kwa kutaja range kwamba kwa kumuangalia mtu huyo anaweza kuwa na umri Kati ya miaka 30 Hadi 35 ?

Kama hauwezi kujibu swali rahisi Kama hili basi wewe huna sifa ya kufanya Kama Intelligence Officer ?

Hutazami hata movie za mbele? Mtu kavamia benki Intelligence Officer wanawauliza Tellers kutoa descriptions za jambazi by the time Tellers wanamaliza kutoa maelezo jamaa tayari wamesha chora picha ya huyo jambazi . Hii ndio maana ya kuwa Intelligence Officer.

Lazima uwe sharp.

Wewe Bwana mdogo una ndoto za kuwa Intelligence Officer mtu anakuuliza unaishi wapi? Sinza.

Hivi Sinza maana yake nini ? Haa ni jina Tu ? Like seriously ???

Kuna vitu vya msingi ambavyo lazima uwe una vifahamu. Umri wa mtu hata kwa kumtazama tu.

UNAWEZA kujua hata kabila la mtu kwa kumuangalia Tu jinsi anavyo tembea hususani kwa watu wanao toka kwenye makabila maarufu Kama wahaya, wasukuma, wachaga etc.

Sasa Kama hauwezi kujua umri wa mtu kwa kumtazama ungewekwa kwenye mission ya King Herode kuua watoto wote wenye umri Kati ya miaka sifuri Hadi 3 si ungefeli wewe? Unge timiza vipi mission Kama hauwezi kujua umri wa mtu kwa kumtazama.
Mimi nayaangalia hayo mahusiano yako na majirani zako na jinsi unavyo strygle kutaka kujua what didi the gossip about you in your absence
 
Huo ni mfano chief..nimevaa nafsi ya kwanza ili nieleweke vizuri .Wewe pia hufai kuwa Intelligence Officer
 
Huyo dogo anafaa ,hapo aliamua kuficha utambulisho...ametembea na akili yako !
Huyo Dogo hafai km wewe usivo faa!! alimuuliza swali lile la nini km hakutaka msaada?? anamfichaje mharifu?? tena anae msema na kumuwazia vibaya? neno ''unalinga'' siyo zuri kwa mtu mwenye akili timamu muhusika ni mchawi anaweza kukuua any time!!!

Alivo mjinga hakujuwa kuwa alikuwa kwenye assesment na Boss wake?? Usalama wa Taifa hana alama hata Baba yako mzazi anaweza kuwa usalama wa Taifa japo amekuzaa!! mie hapa naweza kuwa MOSSAD Japo ni mbongo mkereketwa!!

Alie muuliza hayo maswali ndo alikuwa anampa interview hivo!! kifupi wewe na yeye mmefail interview vibaya sana!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom