kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Adhabu stahiki ya Luc Eymael ni kufukuzwa kazi?

    Swala la kocha Eymail Lina harufu ya figisu na mizengwe kwani CV ya Eymail haioneshi kuwa sifa anazodaiwa kufukuzwa nazo kazi Yanga. Kama angekuwa mbaguzi Yanga na GSM wangeigundua kabla ya kumpa kibarua. Mara nyingi mtu akutenda kosa lazima yaangaliwe mazingira yakiyosababisha kosa na dhamira...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Benjamin William Mkapa Rais aliyeamini katika Ujenzi wa mifumo

    Ndugu Watanzania wenzangu Kwa hakika Taifa letu limepoteza kichwa, kichwa makini sana kilichoacha alama katika nyumba hii ya maendeleo tunayoendelea kuijenga. Rais Benjamin William Mkapa amefanya mambo mazito sana kwa nchi hii. Kwa kweli nchi hii ina afadhali leo hii kwa sababu alikuwepo mtu...
  3. Sabryna

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kwenye supermarket, duka la nguo, vipodozi, usafi wa maofisini

    Naitwa Sabrina Nina miaka 22, Naishi Dar, Ukonga. Elimu yangu kidato cha 4 Naongea English na Kiswahili, Natafuta kazi ya duka la nguo, vipodozi, supermarket au usafi wa maofisini.
  4. Ndolezi

    JamiiForums Tanzania Kwenu wenye nafasi za kazi Serikalini au kwenye Mashirika Binafsi

    Mimi ni kijana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 26, elimu yangu ni shahada ya maendeleo vijijini kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine. Dhumuni la kuandika uzi huu ni kuomba nafasi ya kazi au Internship serikalini au kwenye mashirika binafsi, uzoefu wangu wa kazi ni kama ifuatavyo:-...
  5. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nimesoma Bachelor of Finance na uzoefu mwingi

    Hello wanaforum naitwa richard nimegraduate degree ya finance university of dsm natafuta nafasi ya kazi ya kujitolea kwenye kampuni yoyote nipate uzoefu Napatikana Dar Es Salaam Tanzania namba zangu 0657710078
  6. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Nina Shahada ya Sociology natafuta kazi

    Habari za leo wakuu, Life limekua gumu kitaa natafuta kazi nina shahada ya sociology. Sina uzoefu. Nina miaka 24 Mshahara uanzie laki 8 net baada ya makato. Natanguliza shukrani wakuu.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya civil technician

    Wakuu habari za jioni.Kama kichwa cha habari kinavyoeleza nmesoma civil engineering level ya diploma na nina uzoefu wa miaka2. Nimefanya kazi kwenye project za barabara na majengo. Mwenye connection au nafasi ya kazi anisaidie sitomwangusha.
  8. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Baada ya Rais kung'aka, Mkurugenzi TAKUKURU awang'ata watumishi 9 waliohusika ujenzi/usimamizi wa majengo 7 ya TAKUKURU

    TAKUKURU NG'ATA... Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Brigedia Jenerali John Mbung'o, amewasimamisha kazi watumishi 9, ambao walihusika katika ujenzi na usimamizi wa majengo Saba ya Taasisi hiyo yaliyojengwa Chamwino, Mpwapwa, Ngorongoro, Manyoni, Masasi, Namtumbo na Ruangwa. ===== Hapo jana...
  9. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Je, kuna hatari gani watumishi wa Umma kukimbilia Ubunge?

    Je, kuna hatari gani watumishi wa umma kukimbilia ubunge? Kwanza sheria inakataza watumishi wa umma kujiunga na vyama vya siasa. Lakini walio wengi wameingia kwenye mtego wa kuamini kuwa hata wasipopenya kwenye kupitishwa kugombea basi wanajua kwamba kuna nafasi nono za kuteuliwa watakuja...
  10. fasiliteta

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM mpitisheni Makonda amalizie kazi aloianza, Wananchi bado tunamuhitaji

    Sipendi kabisa ushabiki wa vyama vya siasa, Wengi wameshangilia kushindwa kwake katika Chama cha Mapinduzi. My behavioral psychanalysis is:- Kwa kauli za Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi: Makonda ana uwezo mkubwa wa kiuongozi na amekabiliana na tough times kuliko wakuu wote wa mikoa hapa...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kumkata Paul Makonda kwenye Kura za Maoni CCM, siyo maamuzi yenye akili

    KUMKATA MAKONDA SI MAAMUZI YENYE AKILI Na, Robert Heriel Ikiwa CCM itaamua kumkata Mhe. Paul Makonda itakuwa imefanya maamuzi yasiyo na busara. Yatakuwa ni maamuzi yasiyo na akili. Makonda ni moja vijana wachache muhimu kwa zama hizi katika taifa hili. Taifa la Tanzania linahitaji vijana mia...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda, Kigamboni na Kazi yake ya Ukuu wa Mkoa, Nini kitafuata au ndio amekuwa raia wa kawaida

    Haya ni mawazo yangu binafsi na kile ninacho hisi naomba nielekezwe au kukosolewa kwa hili, Kwanza, Swali ni Kwanini umati mkubwa sana wa watanzania nchi nzima walikuwa na shahuku ya kutaka kujua matokeo ya Kigamboni, majimbo mengine badae Kwa nini, Kwanini tena Kwanini. Pili, Alikuwa Mkuu wa...
  13. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Hakuna kazi ngumu kama kusoma shule

    Habari za leo wakuu, Leo nilikua nawaza jinsi kazi ya kusoma ilivyo ngumu. Nikikumbuka vijana wenzangu ambao nilisha waacha nyuma mara baada ya wao kushindwa kuelewa kinacho endelea darasani, ndipo nagundua jinsi kazi ya kusoma ilivyo ngumu. Just imagine mkuu unaanza chekechea unasoma mpaka...
  14. Ndokeji

    JamiiForums Tanzania Tangazo: Wauguzi wasio na leseni mpya kufutwa kazi

    Baraza la wauguzi na wakunga TNMC la Tangaza kufuta kwenye daftari la usajili, wauguzi wasiokuwa na lesseni zilizohuhishwa na kukoswa kazi ndani na nje ya nchi. Hayo yametanganzwa na Agnes Mtawa, Msajili wa Wauguzi TNMC
  15. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu kujizolea zaidi ya kura milioni 16.7, ni za wanavyuo vikuu, graduates na wafanya kazi

    Hakika mambo yanazidi kunoga. Wakati uko upande wa Lissu. Namba pia ziko upande wake. Lissu amejipambanua kuwa mkombozi wa Wanavyuo vikuu, waliomaliza vyuo vikuu na wafanya kazi kwani anania ya dhati ya kuwakomboa makundi haya muhimu ktk taifa letu. Akitangaza nia ya kugombea Kiti cha urais...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Dada wa saluni ya kike anatafuta kazi

    Habari wapendwa poleni na kazi. Dada wa saluni anatafuta kazi anapatikana Dar Ukonga. Anaweza kufanya kazi zote za saluni ya kike na ana uzoefu wa kutosha. Kwa atakayemuhitaji aje PM nimpe mawasiliano.
  17. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa walimu kufundisha masomo ya ziada

    Natafuta walimu kwa ajili ya kuwafundisha wanafunzi masomo ya ziada katika kituo (Kinondoni Manyanya) au kwa kuwafuata nyumbani (maeneo mbalimbali Dar es salaam). Vigezo kwa muombaji: - Awe amesomea diploma, cheti, au degree ya ualimu kwa masomo yoyote. (Mwalimu Amudu vizuri lugha ya...
  18. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Hivi kuwa Mlinzi wa Viongozi ni kibali cha kutishia watu kuwaua tu?! Inakera sana!

    Yaani hii tabia ya vijana hasa wenye umri mdogo walinzi wa viongozi ya kutishia kuwapiga watu na risasi si ya haki kabisa. Mchana huu hapa maeneo ya Ihumwa Dodoma karibu na makazi ya mkubwa mmoja mstaafu bwana mdogo mmoja akiwa na ndani ya v8 nyeusi yenye vioo vya giza amemtishia msukuma toroli...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Wataalamu kuacha kazi zao kukimbilia ubunge, tumeyataka wenyewe

    Kupanga ni kuchagua. Wote ni tumeshuhudia wateule, watumishi mbalimbali, wafanyabiashara viongozi was dini na hata wastaafu wakikimbilia fomu za kuwania ubunge. Hatujiulizi ni vipi mtu uache ukuu wa mkoa eti uka- beti ubunge? Kuna mahala tumefanya kosa Kazi ya ubunge, ya kuwatumikia wananchi...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Walioacha nafasi zao za uteuzi kugombea Ubunge, wakishindwa wakakaa mitaani bila kazi, wanaweza kuwa mwiba kwa JPM

    Hawa jamaa bila shaka walitarajia kwamba watapewa likizo wakagombee, wakishindwa basi warudi kwenye nafasi zao za zamani. JPM ni chuma, ukitema nafasi yako leo, kesho anaweka mtu mwingine, ukishindwa huko ndio nimekula kwako unarudi kijiweni. Wasiwasi wangu ni kwamba hawa jamaa wanajua mambo...
Back
Top Bottom