Habari zenu ndugu zangu,
Mimi ni muhitimu wa chuo kikuu mwaka jana (2019) baada ya kukaa nyumbani kwa muda mrefu niliamua kuja kutafuta maisha hapa Dar, kwakweli niliteseka mno kwa muda zaidi ya miezi 8 nipo tu nakula na kulala kwa aunt, sina hili wala lile,, kiukweli nilikuwa naumia sana...
Natafuta kazi ya muda au ya kudumu Dodoma
My experience ni kuanzia kwenye Sales & marketing,consultation, supervisory roles kama sales supervisor, property manager, Team leader
Nina uzoefu wa miaka 4, na pia nina very valuable skills kama Hardworking, Multitasking, Teamwork, na Fast learning...
Habarini want bodi, ninaomba msaada kwa anayejua kinachoendelea juu ya ajira zilizotangazwa na TASAF ukizingatia leo ni wiki imeshapita toka deadline na walisema baada ya wiki mbili mchezo utakua umeisha sasa naomba tufahamiane mapema pliz Kujua status na mchakato unaendaje
Wanabodi,
Tunapoelekea kwenye hatua ya kwanza ya uchaguzi kwa uchukuaji wa fomu za kugombea kwenye vyama vya siasa, kumejitokeza, uwingi wa mkubwa, wa wagombea kupitia CCM.
Huu ni uthibitisho wa kazi kubwa na nzuri iliyofanywa na Rais, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na awamu yake ya 5, na...
Nakumbuka Polepole alitoa kauli akiwaonya wale wanaotaka kugombea ubunge huko wakiwa ni wateule kuwa huko ni kuwa na tamaa na akiwaonya juu ya kufanya hivyo huku akisema yeye aliongea kwa niaba ya anaaewateua.
Nadhani hata mteuaji mwenyewe alitoa onyo kama hilo hivi karibuni na wote mnajua...
Serikali imesema kuwa imeokoa na kurejesha mamilioni ya fedha kwa familia za marehemu Mzee Majuto pamoja na familia ya marehemu Steven Kanumba kupitia mikataba ya kazi walioingia wakiwa hai.
Hayo yameelezwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi...
Tangu serikali iamue kupeleka miradi ya maji ya vijiji kwa mtuwasa Mtwara vijiji tunapata taabu sana. Miradi ambayo siku zote ilikuwa inaenda vizuri siku hizi ni kero sana. Mfano mradi wa kata ya naumbu tangu uchukuliwe umekuwa haupati maji kwa hali ipasavyo. Maji yetu ambayo hupampiwa na...
Mimi si mtu mzima sana ingawa nami najongea miaka ya kuweza kugombea Urais wa Tanzania kwa mujibu wa Katiba yetu ya sasa(miaka 40). Hatahivyo, nimekuwa mfuatiliaji mkubwa wa siasa na mambo ya kinchi tangu nikiwa mdogo. Leo, nitalizungumzia Bunge kama Mhimili mmojawapo wa dola. Mingine, wengi...
Overview
Tanzania Printers Limited is looking to recruit a qualified and experienced individual to occupy the positions stated below:
1. Position: Sales and Marketing Officer
Working Station: Dar es Salaam
Qualifications:
Holder of Bachelor degree in sales & marketing, not less than 5 years...
Ndugu Bashiru Ally,
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi
Mimi ni mwananchi, raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nimeamua kuchukua wasaa huu kukuandikia haya yafuatayo, kwani kwa haya niyaandikayo naamini ni ya msingi sana katika kukuza umoja na mshikamano wa Taifa letu vitu ambavyo ni...
Habarini WAna Jf.
Mimi ni kijana wa miaka 25, elimu kidato cha 4 plus certificate/ Nna uzoefu wa miaka 5 kufanya kazi sehem mbalimbali (mostly kwenye kampuni za betting)
Natafuta ajira mwezenu nina nilikuwa kwenye kampuni hizi za betting ila korona ikasababisha watu wapunguzwe
Kwa mwenye...
Kazi moja kubwa ya TCRA toka wakiwa kitengo cha kudhibiti masafa ya kurusha mawimbi ya redio wakiwa Posta na Simu(TP &TC), ilikuwa kuangalia ni nani anarusha mawimbi yake katika masafa yepi.
Sasa hivi tuna TCRA ambao siyo siri wana mitambo mikubwa na makini zaidi lakini wasomi hapo na mainjinia...
Habari za muda huu wana jamvi,
Nimekuja mbele yenu kuomba nafasi ya kazi au fursa kwa majina naitwa Aderick Deogratias. Nina umri wa miaka 23, naishi mkoa wa Dar es Salaam, Mbagala nina elimu ya kidato cha sita nimesoma masomo ya uchumi.
Nina uzoefu katika kazi zifuatazo, Supervisor, Sales &...
Blogging
Forex
Affiliate marketing
Freelancers, n.k
Hata saa iliyoganda inaweza kuwa na msaada kama muda unaendana na pale ilipogandia lakini zaidi ya hapo ni hasara kubwa.
Kumekuwa na wimbi la vijana kujifungia ndani muda wote wakiwa wanatafuta pesa mtandaoni kwa niia nlizozitaja hapo juu...
Hello JF...
Nimeijibu hii katika one of the topics but nimeona tudiscuss.
Kuna changamoto kubwa sasa hivi kupata ajira kwa wanaohitimu vyuoni.
Hata humu tukiona graduates wakitafuta kazi yoyote itakayowafanya waishi.
MImi leo ningependa kupendekeza kuwe na Facilitator/ Agency katika...
Naomba niwatie moyo wote wanaotafuta kazi bila mafanikio .
Wakati nimemaliza degree yangu miaka ya nyuma kidogo, nilikaa kwa muda wa miaka miwili bila kupata kazi, Kila ninapopeleka application siitwi, ila nakumbuka niliitwa katika shirika moja kubwa tu lisilo la kiserikali kwa ajili ya...
Kuna tatizo la kufikiri kwa kutumia akili za kawaida ndani ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Sababu kwa akili za kawaida tu unaweza kupata uthubutu upi wa kupambana na rais kama Magufuli?
Chama Cha Mapinduzi kina misingi imara na thabiti ambayo kimekuwa kikiisimamia tokea kuanzishwa kwake...
Askari saba wa wanyamapori wa vijiji (VGS) wa jumuiya ya maliasili ya Mbarang’andu iliyoko Namtumbo mkoani Ruvuma wamefukuzwa kazi kwa tuhuma za kupokea rushwa na kuwaruhusu watu kulima kwenye hifadhi hiyo yenye wanyama mbalimbali wakiwemo Tembo.
Tamko la kufukuzwa kazi kwa askari hao...
MKUU wa Mkoa wa Arusha, Idd Hassan Kimanta amewasimamisha kazi Mtendaji Kijiji na kata ya Mwandeti na Afisa Tarafa ya Mukrati kuwa chini ya ungalizi ili kupisha uchunguzi zaidi na hatua kali zitachukuliwa baada ya uchunguzi kukamilika.
Maamuzi hayo yamefanyika katika kikao kazi kati ya Mkuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.