Ushauri kwa Graduates wasio na kazi

Einsten

JF-Expert Member
Mar 15, 2013
919
774
Kuna wimbi la vijana wengi sana mtaani kuanzia dsm mpaka mikoani ambao kusema ukweli wanatia huruma sana ukikutana nao, ila nachojiuliza ni kitu kimoja unakuta kijana analalamika kuwa hana kazi wala mtaji lakini unaweza ukamkuta na vitu hvi either kimoja or vyote.

1. Smartphone ya ghali (iphone 6 ,7,8 nk au samsung ya ghali sana.

2. Laptop isiyo na manufaa kwake (anatumia kuangalia movie).

Ushauri wangu:
Kama huna kazi na mtaji na upo kwenye hayo makund ya kumiliki vitu hvyo uza alaf fanya yafuatayo.

1. Ukiuza ukapata ata 400k unaweza ukazama ndichi ukaenda kukod shamba kwa ata 30k kwa heka ukalima maharage au zao lolote lisilo ns gharama na ukwekeza nguvu zako kuminimize cost unaweza ukatumia 300k n ukanunua ata Tecno ya kuwasalimia wadau online ukiwa ndichi.

Najua wengne mtajiuliza mashamba ya bei hyo unapata wap but hyo bei ukienda mkoa wa ruvuma kuanzia namtumbo, songea, mbinga, madaba, peramiho kote huko unapata mpka kwa 20k.

Pia ata songwe unapata kwa 40 to 50k, sumbawanga ni 25-50k, chunya ni 30-50k, njombe (mavanga) kunakubaki sana maharage kule ni 40k.

2. Kuna jamaa aliuza simu yake kwa 250k baada ya kitaa kumweka sawa akaenda kununua hle mashine ya fingerprint Famoco na kutoa aibu nabkuingia kitaa kusajili line mpaka sasa anapata commision around 200-350k per month na alitumia miezi mitatu tu akanunua tena simu na life go on.

3. Unaweza ata ukaenda masokon ukanunua mitumba viatu au nguo na kuanza kuuza kwa kuwa una elimu utaweza ata kutumia platform za social media kutafuta customers. (but degree uiweke pembeni).

4.Ukasubiri msimu wa mavuno ukaenda vijijin haswaaa ukanunua mazao kwa bei ya kulangua ukifika tiwn kidogo ukala cha juu huku ukiwa unakuza mtaji wako ikifika kubwa unafkisha town kabisa au unaprocess mwenyewe.

5. Ukiona zotehazikufai unasubiri Uncle atangaze ajira karibu forex utrade ukiwa n stress uchome account alaf uanze tena kutia huruma mtaani.

NB: Achana na motivational speakers wanakugeuza wewe fursa. Kilimo sio lazima uwe na miliioni ndo uanze kuna maeneo unapewa mashamba alaf unalipa gunia either 1 au 2 ukivuna so hapo inakuwa ni nguvu yako tu.

# If you want to start move join agriculture but agr will not make you to be rich.
#If u want to be rich do business.

Wadau wengine wataongezea lengo letu sote ni kufanikiwa tukumbuke tupo uchum wakati.
 
Ingekua rahisi hivyo, kila mtu angekua huko
Kuna options nimetoa 4 hapo but haimaanishi kuwa ufanye hizo unaweza ukabuni ata njia yako nyingne kwa kutumia capital ndogo.

Mimi sifanyi kilimo kwenye pdf tang nlvyogradute 2016 nkaona sielew dsm nkazama ndich but Mungu ni mwema nlpata nlchokuwa nkitaka.
Tatizo ya vijana weng wanataka wafanye vitu kwa maelekezo wakat hun mtaji.

Naonaga kwenye social media watu wanadanganyana sana kwa kuexpect profit kubwa kuliko uhalisia ndo maana weng wanajikuta wameingia kwenye mitego ya PONZI SCHEMES but ukituliza kichwa kila kitu kinalipa, mtu huna mtaji wakat wengne wanauza karanga town kws mtaji wa elfu 15 tu sasa msomi unashndwaje kupack nakutumia social media vizur kuzitangaza then wewe unakuwa unafanya tu delivery huku unasubiri mambo yakae sawa??
 
mbona tunatishana Mkuu?!Inamaana Hali Ni ngumu mtaani kwa graduate wa course zote au baadhi tu?!
Kila mmoja ana bahati yake unaweza ukamaliza tu na ukapata ajira but ni 30% tu au chn ndio watapata hyo bahat weng wataungana na wenzao khesabu miezi.

But kwa mtu smart haiwez kukupa shda hyo opportuinities hazijawahi kuisha ata USA na kuendelea kote but bado watu wanagundua fursa itakuwa huku kwetu??
#Be smart achana na aibu utafanikiwa.
 
Kila mmoja ana bahati yake unaweza ukamaliza tu na ukapata ajira but ni 30% tu au chn ndio watapata hyo bahat weng wataungana na wenzao khesabu miezi.
But kwa mtu smart haiwez kukupa shda hyo opportuinities hazijawahi kuisha ata USA na kuendelea kote but bado watu wanagundua fursa itakuwa huku kwetu??
#Be smart achana na aibu utafanikiwa.
Ahsante bro! Nipo Chuo second year hapa
 
Kilimo Cha PDF Hicho .
Tatizo mmekariri nendani kuna sehem inaitwa matiri ipo mbinga ndio kunalimwa sana maharage ya njano alaf ukaulize shamba, kabla ujafka ukifka kigonsera au mkako bei ya juu na ni karibu na barabara ya lami kabsa utaambiwa 50elfu.

Kwa ndugu zangu wale wa mpunga usiende kapunga mbeya kule bila 200k ujaona shamba labda uzame ndani kwa wasukuma wanakupa mpaka ya kulima na kulipa magunia ila inategemea umeendaje but kwa mashamba ya ndani bei ni 100k.

Njoo kisaki kaulize mashamba bei ya mwisho ni 150k tena hayo ni yale yakiyopakana n mashamb ya waziri LUAGA MPINA. Hakuna sehem wanayokodi mashamb ya kulima msimu wa mvua ambayo sio ya mpunga inayofika 100k kuanzia moro mpaka nyanda za juu kusini ukibisha bisha ila wanaoelewa wanalitambua hyo hzo bei za juu labda Arusha na moshi coz sina uzoefu na kilimo cha huko.

Anaesema ni kilimo cha pdf karibu mbeya nikutembeze kwenye mashamb nitakufksha maeneo ambayo utalim mpaka uache mwenyew.
 
Kuna watu wakifanikiwa kazi ndogo tu basi huwaona wote wasio na kazi hawajui, hawana akili na hawapendwi na Mungu.
Beba wewe Famoco uingine kitaa usajili line!

Sio kila kazi nj sahihi kwa kila mtu, kazi zingine lazima ziachwe kwa kundi maalum la watu na ukiforce yatakayokukuta Mungu shahidi, utakuwa umeyataka.

Huwezi kuwa graduate ukaenda kubeba mizigo sokoni eti unatafuta maisha! Maisha hayapo hivyo kama tu kusema maisha sio popote bali yana pahala pake.....Namaanisha kuwa unapoona wewe yanakuendea hapo ndio penyewe na sio lazima kila mmoja aje hapo ndio yawe maisha kwake.
 
Kuna watu wakifanikiwa kazi ndogo tu basi huwaona wote wasio na kazi hawajui, hawana akili na hawapendwi na Mungu.
Beba wewe Famoco uingine kitaa usajili line!...
Unapokuwa umeenda shule lazma ufany kitu kipnekane impact yake kwa jamii ndo maana niliongezea sio lazm ufanye direct unaonaje ukitumia kama lak 3 ukanunua mazao kama karanga na kupack au kutangeneza peanut butter then ukawapa vijana wakauza kwa commision?? na bidhaa kama hizo zinauzwaga bei ndogo sana mfano karanga inauzwaga mpaka debe 4000 ya maganda (songwe na dom) au hyo nayo inahtaj mtaji mkubwa na aibu kufanya??

Alaf ukienda masokon wapo wasom weng sana wanauza bidhaa ndog ndog huku wanakuza mitaji yao ukiendekeza aibu ukumbuke UMRI NAO UNASOGEA miaka 5 mbele hutakuwa na miaka ukionayo sasa na miaka 5 sio mbali juzi juzi tu tulipga kura now ishafka aliekuwa n miaka 25 kpnd hicho now ana 30 na unakuta bado anatafuta ajira.
 
Kuna wimbi la vijana wengi sana mtaani kuanzia dsm mpaka mikoani ambao kusema ukweli wanatia huruma sana ukikutana nao, ila nachojiuliza ni kitu kimoja unakuta kijana analalamika kuwa hana kazi wala mtaji lakini unaweza ukamkuta na vitu hvi either kimoja or vyote.

1. Smartphone ya ghali (iphone 6 ,7,8 nk au samsung ya ghali sana...
Nipo nafanya biashara ambazo mates zangu hawamini nikikutanaga nao nilisajiri sana line za simu enzi za 2017. Biashara zenyewe nafanyia sehemu za barabarani kwahiyo wadau huwa nakutana nao sana hapa town.​

Wakicheki pia kwenye certification boards za professional wanakuta nimesajiriwa wanashangaa mbona huyu jamaa anapiga kazi hizi.​
Wakiniuliza jibu huwa moja tu nipo na kazi maalumu usinione nafanya hii biashara.​

Kuna laptop hapa nafuta mteja nikiiuza tu biashara ya mitumba inanihusu.​
 
Tatizo mmekariri nendani kuna sehem inaitwa matiri ipo mbinga ndio kunalimwa sana maharage ya njano alaf ukaulize shamba, kabla ujafka ukifka kigonsera au mkako bei ya juu na ni karibu na barabara ya lami kabsa utaambiwa 50elfu...
Kilimo kizuri ni cha mkataba kwamba unalima kampuni inakuja kuvuna na kukulipa chako straight away. Ila Kilimo chetu cha betting hio laki 4 utajuta kwanini ulipeleka shamba pengine ungebeti tatu mzuka ungewin
 
Kilimo kizuri ni cha mkataba kwamba unalima kampuni inakuja kuvuna na kukulipa chako straight away. Ila Kilimo chetu cha betting hio laki 4 utajuta kwanini ulipeleka shamba pengine ungebeti tatu mzuka ungewin
Ni sahihi but kama mtu hana mtaji sasa ndugu ndio anaanza ata wengne tumepitia challenge hizo ni kweli kabisa kilimo faida yake kwa mkulima mdogo ni ndogo lakn inatoa mtaji ila ukiingia kwenye horticulture na huna mtaji mkubwa unaweza ukajuta au ukacheka sana.

But kilimo cha kutegemea mvua kuna mikoa haijawah kukosa kabisa mfano ni ruvuma, katavi, rukwa, songwe, mbeya, njombe ukilima mikoa hyo ata kama watu wamepgka utarudsha japo mtaji ila ujarbu sana kuminimize cost.

Tatizo weng wanakujaga na mambo ya Risk management ya IFM wanataka kufanya analysis ya kila kitu mwishowe wnaona watapata loss wanaacha.

Kamaunaogopa kulima na una pesa kdogo nunua mazao na kuuza faida ndogo ukiaccumulate inakuzalishia kubwa.
 
Mbona tunatishana Mkuu?!Inamaana Hali ni ngumu mtaani kwa graduate wa course zote au baadhi tu?!
Mwaka juz nikutana na jamaa amemaliza Bsc. Petroleum eng UDOM anapga boda boda na sio kwamba amependa ila life ndo inamfanya apge alaf mbaya zaid mwenye bodaboda ni jamaa walisoma nae primary akaingia kitaa coz hakufanya vizur.

Siku hizi hakuna cha priority wote ni majanga ila wengne majanga yao makubwa zaid coz engineering kwa wahind bado zinaokoteka japo salary ndo wanawanyonya sana vjana wenzetu.
 
Back
Top Bottom