Kazi: Mapokezi na Mhudumu katika Lodge

kanyagio

JF-Expert Member
Dec 10, 2009
1,019
1,500
Carepoint Lodge, ni lodge mpya ya kisasa inayotegemea kuanza biashara mwezi September 2020 maeneo ya Madale, Dar es salaam. Lodge itakuwa na vyumba takribani 15 ikikamilika. Tunahitaji wafanyakazi wafuatao:


1)Mapokezi (Front Office staff,): uwe na uwezo wa kuhudumia vema wateja (customer care), mtazamo mkubwa na nia ya kujifunza mambo mapya. Uwezo wa kutumia social media na tovuti kutangaza huduma zetu. Angalau uwe umepitia mafunzo ya hotel management au customer care. Utakuwa na kazi ya kuhudumia wateja, kupokea fedha, kuweka kumbukumbu na kufanya uangalizi wa biashara.


2)Mhudumu wa Usafi- Awe na uzoefu wa kufanya usafi wa kina hasa ndani ya vyumba vya wageni na pia maeneo ya umma (Public Areas). Uzoefu na uwezo wa kuzungumza Kiswahili vizuri,utayari wa kufanya kazi asubuhi mapema na usiku. Uwe mwaminifu.


Tuma maombi na CV kwa email iliyo chini.

Manager,
Carepoint Lodge
dar.carepoint@yandex.com
 

Lihove2

JF-Expert Member
Mar 23, 2018
1,000
2,000
Carepoint Lodge, ni lodge mpya inayotegemea kuanza biashara mwezi September 2020 maeneo ya Madale, Dar es salaam. Lodge itakuwa na vyumba takribani 15 ikikamilika. Tunahitaji wafanyakazi wafuatao:


1)Mapokezi (Front Office staff,): uwe na uwezo wa kuhudumia vema wateja (customer care), mtazamo mkubwa na nia ya kujifunza mambo mapya. Uwezo wa kutumia social media na tovuti kutangaza huduma zetu. Uwe tayari kuingia kazini shift zote usiku na mchana. Angalau uwe umepitia mafunzo ya hotel management au customer care.Darasa la saba kuendelea (uwezo wa kuongea Kiingereza ni sifa ya ziada). Utakuwa na kazi ya kuhudumia wateja, kupokea fedha, kuweka kumbukumbu na kufanya uangalizi wa biashara.


2)Mhudumu wa Usafi- Awe na uzoefu wa kufanya usafi wa kina hasa ndani ya vyumba vya wageni na pia maeneo ya umma (Public Areas). Uzoefu na uwezo wa kuzungumza Kiswahili vizuri,utayari wa kufanya kazi asubuhi mapema na usiku. Uwe mwaminifu.


Tuma maombi na CV kwa email iliyo chini. Usitume vyeti.

Manager,
Carepoint Lodge
dar.carepoint@yandex.com
Hiyo lodge kwa huko madale unategemea kupata wageni kutoka wapi? samahani lakini.
 

kanyagio

JF-Expert Member
Dec 10, 2009
1,019
1,500
Hiyo lodge kwa huko madale unategemea kupata wageni kutoka wapi? samahani lakini.
That is not the purpose of the advert. If you want to know our Customers attraction plan, I can email you our strategic, business and marketing plans....
 

Sivan

JF-Expert Member
Jul 17, 2020
903
1,000
That is not the purpose of the advert. If you want to know our Customers attraction plan, I can email you our strategic, business and marketing plans....
Nina weza hiyo kazi fanya nije unifanyie interview kazi simple kama hii mpaka ma Email na CV.
 

kanyagio

JF-Expert Member
Dec 10, 2009
1,019
1,500
kwa hiyo hilo tangazo la tanesco ndio linawakilisha matangazo yote ya duniani?
I gave u example. There is no standard on job advert. It all depends on organization policy. Our policy is to discuss salary matters as part of the interview
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom