Wakuu habari iwe nanyi!
Ukisoma kitabu cha Mathayo kwenye biblia kuna hadithi ambayo Yesu Kristo alikuwa akizungumza na wanafunzi wake juu ya Bwana moja aliyetaka kusafiri kisha agawa mali zake (talanta) kwa watumwa wake ili wazisimamie . Lengo la Bwana yule ilikuwa wale watumwa wasimamie zile...
Yani lolote litakalofanyika kuzuia hivi vyombo vya habari vya kienyeji kama vile magazeti, TV, radio katika kipind hiki cha uchaguzi ni sawasawa na bure kwani kutokana na mageuzi ya sayansi na tekinolojia zinajulikana kama traditional media haitasaidia.
Social media zina nguvu kuliko hizi...
MGANGA Mfawidhi wa Zahanati ya Kijiji cha Kibena wilayani Iringa, Hope Mwale ametoroka katika kituo chake cha kazi baada ya kutuhumiwa kuiba Sh milioni 25 za ujenzi wa choo cha jengo la wagonjwa wa nje la Kituo cha Afya cha Kibena unaoendelea kijijini hapo.
Taarifa ya kuibwa kwa fedha hizo na...
Job Position : Declaration Clark in a Clearing and Forwarding Company
Location : City Center, Daresaalaam
Qualification : Form IV Certificate and Clearing and Forwarding Certificate
Gender : Female
send CV to email : careers@dnh.co.tz
Moja kwa moja kwenye mada maana naona Tundu Lissu anajimwambafwai na hata sasa anaanza kuwachokoza watu wa kawaida kabisa hadi wasafisha viatu wa mjini Dar-es-Salaam.
Niliamua kujivinjari maeneo ya mjini Dar na nikapata nafasi ya kusafisha viatu vyangu kwa kuweka Kiwi.
Kwa kawaida mimi ni...
Nimekuwa nafuatilia mwenendo wa utendaji kazi kwa watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma.
Watumishi wengi wanakaa nyumbani bila kwenda Kazini au wanaenda kuripoti asubuhi na kuingia mitaani kufanya shughuli zao binafsi.
Nampongeza JPM kwa kutokutoa vibali vya kuajiri watumishi wapya...
Ndio dalili zote zinavyoonyesha, hata kamati za ufundi zimeshawaambia viongozi waandamizi wa CCM watafute la kufanya.
Baadhi ya habari ni kuwa kuna kundi kubwa sana sana ndani ya CCM ambao ni wanachama wa kawaida hawa wanaonekana kuwa mstari wa mbele ndani ya CCM tena wanashangilia kwa nguvu...
Mapenzi ni kitu kingine, huwezi kufananisha na kitu chochote kile;
Kwa wale waliofanikiwa kupendwa ni vigumu kuamini kuwa, kuna wengine mapenzi yamewagharimu maisha yao yote au yamepoteza dira ya maisha ya watu wengine.
Wapo ambao mapenzi yamewachapa mpaka kupoteza mwelekeo na hawatamani tena...
Ofisi za umma/serikali zinatumia OPras kama kipimo cha utendaji kazi ambapo mtumishi anakubaliana na kiongozi wake majukumu atakayotekeleza jambo ambalo ni zuri, mtumishi anaetekeleza majukumu yake anapaswa kupewa motisha mbalimbali kama kupandishwa cheo na motisha zingine, ila cha kusikitisha...
Habari wakuu.! Kama kichwa cha habari kinavyosema, tunashonea seat za magari zilizoharibika, dashboard zilizoharibika, roof za magari aina zote, kwenye milango ya magari.
Tunapatikana salasala-Mbezi beach. Unaweza ukatucheki what's up au kutupigia moja kwa moja. 0679478758
Serikali ya Lebanon imejiuzulu takriban wiki moja baada ya kutokea mlipuko mkubwa mjini Beirut, huku Waziri Mkuu Hassan Diab akilaumu ufisadi kama chanzo cha ajali hiyo
Katika hotuba yake, Diab amesema kilichotokea ni matokeo ya ufisadi ulio mkubwa kuliko taifa lenyewe na kwamba anaachia...
Overview
The Agriculture Markets Development Trust (AMDT) has been established by the Governments of Denmark, Ireland, Sweden and Switzerland in 2014 and the current Trustee is KPMG. The Trust has been established as a long term facility with the overall objective of increasing incomes and...
UDSM mlitangaza nafasi kwa watumishi wa umma kuhamia, na katika tangazo lenu mliweka mpaka scale za mishahara kwa ambao watafanikiwa kupata nafasi hizo.
Mdogo wangu ni mmoja wa watu waliofanikiwa kuomba nafasi hizo na kufanikiwa kupata! ana siku kadhaa sasa toka ameanza kazi hapo...
Jamani wanaJF, nimepenyezewa ubuyu hapa na source yangu moja hivi kwamba ktk matukio 2 ya chadema; mkutano mkuu na uchukuaji fomu kule Dodoma. Polepole na mwenzake Hassan Abbas wamekuwa wakivipigia vyombo vya habari simu ili kuvikataza kurusha hotuba za Lisu
Kuna audio ya Polepole...
BREAKING NEWS : Tume iliyoundwa na Brig Jen John Mbungo kuchunguza ujenzi wa majengo 7 ya ofisi za taasisi hiyo katika wilaya 7, imekamilisha uchunguzi na kugundua kuwepo ubadhirifu na migongano ya kimaslahi. Amesema wahusika watachukuliwa hatua ikiwemo kufikishwa mahakamani.
NOTE: Hapo kwenye...
Umewasha wahi kuona kwenye movie .Timu ya SWAT au kikosi chochote cha kijeshi inapovamia kwenye nyumba ya kikundi cha wahalifu. Afisa mmoja hutupa kitu ndani ya chumba, na hulipuka kinatoa mwanga mkali na kelele kubwa. Wahalifu hao waneshtushwa na kuonekana kama kuzubaa muda mwingine kuziba...
Umewasha wahi kuona kwenye movie .Timu ya SWAT au kikosi chochote cha kijeshi inapovamia kwenye nyumba ya kikundi cha wahalifu. Afisa mmoja hutupa kitu ndani ya chumba, na hulipuka kinatoa mwanga mkali na kelele kubwa. Wahalifu hao waneshtushwa na kuonekana kama kuzubaa muda mwingine kuziba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.