Vijana turidhike na kazi/nafasi tulizo nazo

Black BackUp

JF-Expert Member
Aug 5, 2019
631
1,000
Habari zenu Wana JF

Hivi karibuni nilimsikia Mhe. Rais akisema Vijana wanapashwa kuridhika na nafasi walizo nazo. Binafsi nilihisi analenga watendaji wake (viongozi) kumbe hapana hii kauli inalenga mpaka watu wa kawaida tu.

Ninaye jamaa namfahamu yeye ni mtumishi wa TBS lakini Cha kushangaza anaonekana mara kadhaa katika interview za mashirika mengine yaani mpaka private TBL anatafuta nafasi ya kazi Bado anafanya na part time katika taasis nyingine.

Sasa sijui hajalidhika na nafasi yake au ni tamaa au ndo anatafuta uzoefu (experience) wa interview yaani hasomeki kabisa, maana mtu Kama huyu anaziwazibia wengine nafasi ambao Wana uhitaji wa kweli.

Vipi wew ushawahi kukutana na mtu Kama huyu ? Ye hua ana mauzauza yapi?
 
Kisusi Mohammed

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
563
500
Kuridhika kwa kazi hizi za kitanzania ni ngumu kidogo. Ifuatayo ni orodha fupi ya yanayowafanya waajiriwa wasiridhike na ajira zao

1. Mshahara usiokidhi mahitaji
2. Majukumu/cheo kikubwa Vs mshahara kiduchu
3. Mwajiri mbaya
4. Boss mbaya
5. Mazingira mabaya ya kazi
6. Kutokuona uelekeo wa nafasi yako baada ya kuwepo kwa muda
7. Makato makubwa ya Kodi
8. Kuminywa kwa haki za mfanyakazi kupata pensheni
9. Ufinyu wa motisha kazini
10. Roho mbaya/husda/mazingara

Mengine watanisaidia wazalendo wenzangu
 
Lenie

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
3,649
2,000

👏👏
 
nshaaa

Member
May 19, 2013
52
125
Mkuu maslahi ni changamoto kiujumla kwa wengi, wazo langu vijana tusijione tuna muda, hata kama kazi tulizonazo zinakupa kipato kidogo tujitahidi kubadili mtazamo, tufanye kazi za ziada vibarua mbalimbali, tuache kutembea taratibu mtaani yaani tuko slow na earphone masikioni, tuwe faster tukamate fursa tusichague kazi, tupunguze muda wa kulala kifupi ni mwendo wa kuchapa kazi.. uzee unabisha hodi...
 
Los técnicos

JF-Expert Member
Sep 14, 2014
2,900
2,000
Acha ujinga wewe, hizo ni akili za kizandiki na ni transition za kuelekea kwenye uchawi. Unaonekana kuumizwa na hatua za maendeleo anazopiga mwenzako.

Na watu dizaini yako siku zote hupenda kuona mwenye mafanikio yanamkuta mabaya. Nadhani ni bora mtu kama ana muda wa ziada kupiga kazi, kazi ndiyo heshima kwa mwanaume.

Hata rais kama angeridhika basi leo angekuwa anafundisha huko Sengerema
 
Wee ni mpinzani... Mi siongelei Siasa hapa
 
Los técnicos

JF-Expert Member
Sep 14, 2014
2,900
2,000
Wee ni mpinzani... Mi siongelei Siasa hapa
Naongelea kazi, kuna mahala nimeongelea chama hapa?.

Kama anafanya ipasavyo kazini kwake na kufanya vya ziada hakuna shida.

Labda kama hafanyi kazi yake na kwingine kufanya zaidi.

Acha roho ya kichawi wewe. Umejaa ubaradhuli tu
 
Black BackUp

JF-Expert Member
Aug 5, 2019
631
1,000
Naongelea kazi, kuna mahala nimeongelea chama hapa?.

Kama anafanya ipasavyo kazini kwake na kufanya vya ziada hakuna shida.

Labda kama hafanyi kazi yake na kwingine kufanya zaidi.

Acha roho ya kichawi wewe. Umejaa ubaradhuli tu
Kwa akili ya kawaida unaweza ukaacha kazi tbs ukaenda TBL??
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
58,116
2,000
Habari zenu Wana JF

Hivi karibuni nilimsikia Mhe. Rais akisema Vijana wanapashwa kuridhika na nafasi walizo nazo. Binafsi nilihisi analenga watendaji wake (viongozi) kumbe hapana hii kauli inalenga mpaka watu wa kawaida tu.

Ninaye jamaa namfahamu yeye ni mtumishi wa TBS lakini Cha kushangaza anaonekana mara kadhaa katika interview za mashirika mengine yaani mpaka private TBL anatafuta nafasi ya kazi Bado anafanya na part time katika taasis nyingine.

Sasa sijui hajalidhika na nafasi yake au ni tamaa au ndo anatafuta uzoefu (experience) wa interview yaani hasomeki kabisa, maana mtu Kama huyu anaziwazibia wengine nafasi ambao Wana uhitaji wa kweli.

Vipi wew ushawahi kukutana na mtu Kama huyu ? Ye hua ana mauzauza yapi?
Huyo Mhe Rais aliyesema watu waridhike na kazi zao mbona yeye hakuridhika na kazi yake ya ualimu akagombea ubunge?

Mbona alivyoteuliwa uwaziri hakuridhika na ubunge, akakubali uwaziri?

Mbona hakuridhika na uwaziri, akatafuta urais?

Mbona hata baada ya kupata urais na ukuu wa majeshi, alitamani kuwa IGP?

Yeye mbona anawaambia watu waridhike na kazi zao, wakati hata baada ya kupata urais, hajaridhika na kazi yake?

Usiogope ushindani kwenye usaili. Waache watu wote washiriki.

Watu wenye kazi wanaruhusiwa kubadili kazi wanavyotaka. Yani mtu kuwa na kazi si sababu ya kukuachia wewe usiye na kazi uende kwenye usaili bila kupingwa.

Inawezekana yeye anakidhi vigezo na wewe hukidhi.

Jenga uwezo wa kushindana na mwingine yeyote bila woga.
 
Prince Kunta

JF-Expert Member
Mar 27, 2014
18,316
2,000
Uyo aliesema vijana waridhike na nafasi walizonazo huwa anaogopaa sana ushindani

Yeye mbona hakuridhika na ualimu akaenda kugombea ubunge mpaka leo hii kawa raisi!!!
 
andoza

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
2,170
2,000
Habari zenu Wana JF

Hivi karibuni nilimsikia Mhe. Rais akisema Vijana wanapashwa kuridhika na nafasi walizo nazo. Binafsi nilihisi analenga watendaji wake (viongozi) kumbe hapana hii kauli inalenga mpaka watu wa kawaida tu.

Ninaye jamaa namfahamu yeye ni mtumishi wa TBS lakini Cha kushangaza anaonekana mara kadhaa katika interview za mashirika mengine yaani mpaka private TBL anatafuta nafasi ya kazi Bado anafanya na part time katika taasis nyingine.

Sasa sijui hajalidhika na nafasi yake au ni tamaa au ndo anatafuta uzoefu (experience) wa interview yaani hasomeki kabisa, maana mtu Kama huyu anaziwazibia wengine nafasi ambao Wana uhitaji wa kweli.

Vipi wew ushawahi kukutana na mtu Kama huyu ? Ye hua ana mauzauza yapi?
Mkuu,kuridhika ni mwanzo wa kufa.....Maisha ni mapambano
 
Sosthenes Maendeleo

Verified Member
Oct 24, 2012
2,580
2,000
Kuridhika kwa kazi hizi za kitanzania ni ngumu kidogo. Ifuatayo ni orodha fupi ya yanayowafanya waajiriwa wasiridhike na ajira zao

1. Mshahara usiokidhi mahitaji
2. Majukumu/cheo kikubwa Vs mshahara kiduchu
3. Mwajiri mbaya
4. Boss mbaya
5. Mazingira mabaya ya kazi
6. Kutokuona uelekeo wa nafasi yako baada ya kuwepo kwa muda
7. Makato makubwa ya Kodi
8. Kuminywa kwa haki za mfanyakazi kupata pensheni
9. Ufinyu wa motisha kazini
10. Roho mbaya/husda/mazingara

Mengine watanisaidia wazalendo wenzangu
Uko vizuri sana boss
 
Proved

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
11,249
2,000
Ngumu kuridhika maana mahitaji ni mengi na kipato hakikidhi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom