Trump ameipa siku 45 TikTok iwe imeuzwa ama ifungiwe kufanya kazi Marekani

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,459
17,268
Bwana Donald Trump, Rais wa Marekani ametia saini sheria ama Executive Order ya kuipa kampuni ya ByteDance inayomiliki kampuni ya Tik Tok nchini Marekani kuuza hisa zake zote kwa kampuni ya Marekani ama ufungiwe kufanya kazi Marekani.

Trump anasema hiyo kampuni kuwa chini ya kampuni ya kichina kunahatarisha usalama wa taarifa za watumiaji wake.

TikTok ina watumiaji zaidi ya Billion moja na wengi wanatokea India na Marekani, India imeipiga marufuku TikTok.

Wachague moja, wajiuze ama wafungiwe.

 
Microsoft imeahidi kumaliza majadiliano ya kuinunua TikTok upande wa Marekani ifikapo Septemba 15. Maana yake ni kwamba, deal linatazamiwa kukamilika katika siku zisizopungua tano (5) kabla ya deadline ya siku 45.

Duh!
 
Back
Top Bottom