Uchaguzi 2020 Polepole: Watia nia wanaotoa rushwa kote Mikoani chama kina taarifa zao, hawatapata Uongozi

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,754
139,571
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama kinapokea taarifa za watia nia wanaotoa rushwa kutoka kote mikoani kila siku.

Polepole amesisitiza kuwa watu hao ambao majina yao yapo makao makuu hawatapewa fursa ya kugombea uongozi kamwe.

Chanzo: Channel ten.

Maendeleo hayana vyama!
 
Nauliza tu;
Na hawa taarifa zao anazo?
1.Mbunge wa Mbinga
2.Nkasi kaskazini
3.Sumbawanga mjini
4.Kishapu?
 
Polepole ni nani mbele ya wanaCCM asilia? Hatutishwi na WAKUJA. Rushwa tunatoa na majina yetu yatapita tu. Ole wenu muyakate, tutarudisha kadi na Kisha tutajiunga na kundi la kachero mbobezi, kamarada Bernad Kamilius Membe.
 
Usikariri bwashee!
 
Kule kilimanjaro unazo taarifa za mama Shaly Raymond kuwa alishamaliza kutoa mlungula zamani anasubiri kupitishwa tu awe mbunge wa viti maalum? Jimbo la Moshi mjini unazo taarifa za ibra line, shahibu , diwani wa Kata ya Kilimanjaro, Kule babati unazo taarifa za mbunge aliyehamia ccm ,Kule kibamba ,Arusha mjini wakili anayegombea, Jimbo la iramba, Jimbo la nzega, Jimbo la simanjiro Kuna katibu wa uwt anagombea Jimbo naye mlungula anatoa kila kona.polepole shughulika na Hawa watu .
 
Taarifa zote zipo.

Bwashee amini CCM ni chama kikubwa!
 
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama kinapokea taarifa za watia nia wanaotoa rushwa kutoka kote mikoani kila siku.

Polepole amesisitiza kuwa watu hao ambao majina yao yapo makao makuu hawatapewa fursa ya kugombea uongozi kamwe.

Chanzo: Channel ten.

Maendeleo hayana vyama!

Badala ya kuchukua hatua kuwapeleka mahakamani wanasema hawatawapa uongozi? Wale takukuru waliowatuma kupeleka siasa chafu kwenye ofisi za cdm, kwanini wasiwatume takukuru hao hao kuwachukulia hatua watoa rushwa wa ccm? Ccm hii mpya imekaa miaka mitano ikahadaa umma kuwa inapambana na rushwa.

Hao wanaotoa rushwa hivi sasa, ndio walikuwa wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa Magufuli kuwa
Kaidhibiti rushwa. Saa hii ukweli wa ile hadaa kuwa awamu hii inapambana na rushwa iko wazi. Halafu msemaji wa chama anaongea kwa sauti ya kurembua kama yuko chumbani, eti kuna watoa rushwa watawanyima nafasi bila kuwafikisha mahakamani!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom