Kwanza kabisa ni kazi isiyokuwa na taaluma, mtu yoyote tu anaifanya.
Serikali haiitambui rasmi. Sehemu ya kwenda kwa buku tokea 2015 mpaka leo bei ni ile ile.
Ukimuacha abiria kiss anakupa 1000 sehemu ya kwenda kwa 2000, anapita mwenzako anambeba kwa hiyo hiyo 1000.
Ukiingiza 15000 kwa siku...
Tangu Makonda arudi kwenye jukwaa la siasa imekuwa kama vile yeye ndio waziri mkuu, makamu wa rais au rais mwenyewe.
Sio kila mtu anafuria jambo hili na ndio maana hata Makonda mwenyewe tayari alishaanza kulalamika kuwa kuna watu wanamtafuta wamuue.
Makonda awe makini anaposafiri kwenda...
Habari wakuu,
Mimi ni kijana wa kiume niliesoma Diploma ya Laboratory technician kutoka chuo cha DIT napatika Dar-es-salaam, natafuta kazi kwenye shule au viwanda mkoa wa wowote nchini.
Asanteni.
Njoo Iringa kwenye machai. Tunza tiketi YA BASI nauli unarudishiwa ukifika.
1.nyumba bure
2.maji ya uhakika
Vigezo
1. Miaka 18+
2. Uwe na NIDA namba au cheti cha kuzaliwa au kadi ya mpiga kura au namba ya NSSF AU leseni ya udereva
Kazi ni kuchuma kipato ni kutokana na juhudi ya uvunaji lakni...
Wengi tumeenda vyuo tukasoma na kutunukiwa vyeti mbalimbali; ila ukiulizwa hiyo fani ulioisomea unatakiwa ufanye nini, unashindwa kujieleza au kuonyesha kwa vitendo namna elimu ulioipata huko vyuoni inavyoweza kutatua changamoto zilizopo.
Mwingine atasema nimesomea IT, Computer sayansi...
Dodoma, Dodoma
Kamati ya Bunge ya kudumu ya Mahesabu ya Serikali yaani PAC imeeleza kuridhishwa na kazi zinazofanywa na menejimenti ya Serikali Mtandao wakati walipodhuru kituo cha Ubunifu na Uendelezaji Vipaji jijini Dodoma. Wakizungumza baada ya kukagua kazi zinazofanywa na kituo hicho...
Kuna wakati mwingine unaweza ukawa unaandika report na ukatakiwa kuweka citation na references.
Lakini kwa kutokujua ukajikuta unaanza kufanya citation na references manually.
Kwa dunia ya sasa kila kitu kinafanyika automatically.
Kufanya citation na kuweka references manually kunakufanya...
Kama mada ilivyo hapo juu kwa kuwa inadaiwa kuna 4R (Reconciliation, Resilience, Reforms and Rebuilding)
kwamba zinatibu vidonda vya kuumizwa kiakili, kimwili, kiuchumi na kijamii basi nafasi hiyo ifunguliwe kwa mwandishi mkongwe Cyprian Musiba ili kuchangamsha zaidi myambuliko wa siasa za...
Leo nikiwa town katika mishemishe nakuta chuma ya serikali imepaki. Kucheki namba ni STN.
Nikajiuliza si ni juzi tu hapa STM ilianza? Ndio imejaa kwa kasi hivyo!
Serikali yetu inamiliki magari mengi na sasa usajili umefikia “STN” hii ni kasi zaidi ya 5G
Kama kichwa kinavyosema nahitaji mdada anaejua kazi za saloon (ya kike)
Kuosha wateja
Kuweka Dawa
Kusuka Misuko Tofauti
Make Up kwa wateja
Kubana styles tofauti
Na Nyingine nyingi ambazo atakua ana uelewa nazo.
Saloon ni MPYA imekamilika inahutaji tu mtu wa kazi.
OFISI/SALOON ipo MBEZI...
Jinamizi la watangazaji kuacha kazi bado linaendelea kuitafuna TBC, Mtangazaji mwengine mkongwe Miriam Migomba ametangaza kuondoka Shirika la Utangazaji Tanzania TBC baada ya kuhudumu kwa muda mrefu.
Migomba anakuwa mtangazaji wa pili kuondoka kwenye Shirika hilo ndani ya mwezi mmoja baada ya...
Wanawake Mungu anawaona unakuta kadada kana sura na muonekano wa kilokole, thubutu !!! Kachatishe Whatsapp au normal text ndio utajua wanawake ni mashetani yaliojificha kwenye miili ya watu.
Sasa msitulaumu tukiwanyanndua na kusepa nina hasira kuna pisi nilikuwa na mpango wa kukaa yenyewe...
Bunge letu ni fake na halitoi majibu
Serikali haiko serious kutatua matatizo ya wananchi. Katiba ni mfano! Wamebaki kisiasa kila kitu. Hakuna maridhiano ya maana yenye nia ya kuendeleza nchi badala yake ni kufikiria ndugu na marafiki zao tu.
Mahakama haitoi haki ipasavyo na imejaa siasa...
Unapozungumzia setelite tofauti na huduma zengine ambazo ni rahisi kuwekewa vikwazo mfano mfumo wa redio za sauti,mawasiliano ya simu na njia za waya au wireless zenye uwezo masafa yasio kwenda juu usawa wa bahari.
nimeleta mada kwenu sababu hiki kifaa nakitumia hapa tanzania na kwenye usajili...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30,nina diploma ya manunuzi na ugavi kutoka chuo cha utumishi wa umma.
Nina uzoefu wa kutosha kutokana na kufanya kazi sehemu tofauti ikiwemo halmashauri ya busokelo,tarura pamoja na tazara. Pia field nilizozifanya wakati ninasoma chuo.mazingira rahisi kwangu...
Wakuu naomba mnisaidie connection au sehemu ambayo naweza kupata kazi ya malipo ya kiasi cha shilingi elfu tano kwa siku MWANZA MJINI au ILEMELA kama ipo.
NB: Wakuu hata kazi ngumu za ujenzi pia kama zinapatika naomba mnielekeze nikaombe kazi.
Habari wana jamvi ,
Nina toyota crown nimekuwa nikiitumia kwa mda mrefu ,
Leo katika kuwasha gari asubuhi ,ghafla nakuta gauge /mshare wa mafuta haufanyi kazi vizuri ,yaani unashuka na kupanda mafuta yapo robo tatu tanki.
Vile vile odometer yaani kilometa za gari hazitembei kabisa ,yaani...
Gazeti kubwa marekani la WALLSTREET JOURNAL linadai Elon Musk ameshiriki kwenye matumizi ya madawa yasiyoruhusiwa kama vile LSD, cocaine, ecstasy na psychedelic mushrooms (Magic Mushroom) hasa hasa katika private parties. Matumizi hayo yanahusishwa na yeye kuboost uwezo wake wa kufanya kazi...
WENGI WANAOTAKA WAKE ZAO WASIFANYE KAZI WANAUPEO MDOGO WA KUFIKIRI ALAFU NI WABINAFSI
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Chizi sio lazima uokote Makopo, kuna Chizi Fresh ambao ndio wengi wapo kundi hili tena wengine wasomi. Alafu kuna ambao ni Chizi Maarifa hawa wengi ukiwaona kwa mbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.