Miriam Migomba aacha kazi TBC

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Jinamizi la watangazaji kuacha kazi bado linaendelea kuitafuna TBC, Mtangazaji mwengine mkongwe Miriam Migomba ametangaza kuondoka Shirika la Utangazaji Tanzania TBC baada ya kuhudumu kwa muda mrefu.

Migomba anakuwa mtangazaji wa pili kuondoka kwenye Shirika hilo ndani ya mwezi mmoja baada ya Djaro Arungu kuondoka wiki iliyopita.

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1 ✍️
 
View attachment 2898427

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1 ✍️
Amelinda Heshima yake. Hongera sana.

Watu wenye akili wanasoma alama za Nyakati
 
Katika blunder ambayo Magufuli alifanya ni kuwapa vyeo vya kiutendaji academicians ndani ya Serikali the so called Ma doctors na Professors,hawa watu managerial skills ni zero.
Waachwe waendelee kufundisha na kuwafokea wanafunzi ndio level yao.
Nakubaliana na wewe, yaani hao ma VCs vyuo vyote ni vimeo inasemekana siku hizi kama shule za misingi au sekondari kuna jamaa yangu anasema no independent thinking nowdays, ukijifanya mbishi wanakuhamishia ka chuo ka ajabu ajabu hahaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom