UPDATE: Ameshapatikana mdada mbarikiwe.
Anahitajika mdada wa kazi
Kazi ni Dar. Nyumba ya watu 2.
Anapewa kipaumbele anayetokea mazingira magumu au ambaye anaishi kwa manyanyaso kwa bosi wake wa sasa. Kwenye hii familia ataishi vizuri kwa uhuru na ushirikiano bila manyanyaso huku akisaidizana...
Habarini Wadau,
Nimesoma habari ya Mzee Ebrahim Yusuph Kazi mzaliwa wa Yemen, huyu Mzee alifungwa miaka ya 1979 na 1986 kwa makosa matano ya kuwaoa na kulala na watoto wenye chini ya miaka 13
Mwaka 2011 akiwa na miaka 67 yeye mwenyewe alikiri kumuoa mtoto wa miaka 8 na kulala nae ila kwa...
Habarini za majukumu wana JF,
Kuna ndugu yangu ni mwalimu alifanya mchakato wa kuhama kituo cha kazi kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine na kufanikiwa lakini uhamisho wake ni ule wa kimchakato zaidi sio ule wa kufuata procedure za step by step kwenye halimashauri. alipata barua ya uhamisho...
TBC redio ni shirika la umma kwa ajili ya kuhabarisha wananchi na hasa wa hali ya kawaida bila kujali itikadi zao za kisiasa. Aidha shirika linapaswa kutoa habari na burudani kwa nchi nzima.
Jambo la kusikitisha haki hii ya kupata habari na burudani haiwafikii Watanzania walio wengi kutokana na...
Nashindwa kuelewa hawa viongozi huwa wana tumia akili gani katika maamuzi yao.
Msidhani kila mtu anaishi mtumba hapo dodoma muwe mnafanya tafiti za kina kabla ya kuleta hiyo mifumo yenu kwanza.
Mfumo wenu unahitaji angalau 3G au H+ Internet speed ili angalau ufanye vizuri wakati huo kuna...
Rais Wa Jamhuri Samia Hassan, naomba umpangie kazi nyingine Mkuu wa Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu, Simon Simalenga sababu anakudhalilisha na kukuharibia. Anafanya watu wakuone kwamba huna maamuzi hata mteule wako anapoenda kinyume na maadili. Ni moja ya watu wanaoamini Mwanamke hawezi kuongoza...
Kichwa cha habari kinajieleza.
Nina mshauri Kwa moyo mkujufu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi , afuatilie utendaji kazi wa Katibu wa CCMwilaya ya Hai, huko Kilimanjaro.
"Utakuja kunikumbuka"
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi, ukimkuta...
• Asisitiza lengo ni kuboresha utendaji kazi
Na Happiness Shayo- Dar es Salaam
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amezindua vitendea kazi vya doria misituni vyenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 6, huku akiwataka Maafisa na Askari Uhifadhi kutumia vifaa hivyo kwa...
=============
Bodi ya Maabara Binafsi za Afya ni chombo chini ya Wizara ya Afya kilichoanzishwa kwa mujibu wa kifungu cha 4 cha Sheria ya Usimamizi wa Maabara Binafsi za Afya ya Mwaka 1997 (Sura 136) kwa lengo la kusajili na kusimamia Maabara binafsi za Afya nchini.
Ofisi ya Msajili Bodi ya...
Habari wapendwa.
Hivi kwenye interview Kuna swali la uzoefu wako katika kazi hiyo uloomba mfano muhasibu aidha wanakuambia wa mwaka au miaka mi2 swali hili naweza jibu vp ikiwa sijawahi ajiriwa toka kumaliza chuo na kazi naitaka?
1. Kuokota chupa za plastic za kupima kwa kilo.
Hii kazi inauhusiano wa moja kwa moja na ukichaa.
Katika tafiti yangu ndogo nimegundua wanaojihusisha na hii kazi lazima akili ziruke kidogo.
Kuna mmoja hapo External alikuwa mzima kabisa hadi alipoanza kuzunguka na mfuko huko barabarani kutafuta...
Habari za majukumu wapendwa,jambo hili linanitesa sana nafsi yangu,limeharibu maisha yangu yote kiujumla,sasa hata kuilea familia yangu yenye mke na watoto wanne imekuwa ni ngumu sana kutokana na kiongozi huyu wa dini kuchukua kitendea kazi changu kikuu katika ofisi yangu(ni mwaka takribani wa...
Ktk zama hizi ukimkuta mdada ni sekretari basi ujue ana tabia mbaya i.e alishindikana kimalezi na hata alipopelekwa shule hakuzingatia masomo.
Wengi wao walidanga na kudaka ujauzito wakiwa shule za msingi ama kidato cha 2 wakajifungua halafu wazazi wakawapitisha QT, kisha wakaenda kusoma...
Katika soka, mfungaji wa goli mara nyingi ndio humiminiwa sifa na kuonekana ni bora, ila ukweli wanaotoa assist mara nyingi ndio hufanya kazi kubwa kumfikishia mpira mfungaji ila anaesifiwa siku zote ni huyo mfungaji.
Swali ni je, wewe kwa mtazamo wako, nani hufanya kazi kubwa kati ya...
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko amewasimamisha kazi baadhi ya watumishi wa Kituo cha Afya cha Ugalla kilichopo Kata ya Ugalla Halmashauri ya Nsimbo mkoani Katavi baada ya kushindwa kufanya usafi katika maeneo ya hospitali.
Watumishi hao wamesimamishwa kazi leo Februari 16, 2024, ili...
Ni Marufuku mwanaume kuwa na mahusiano na mwanamke mnaeishi mtaa mmoja, mnafanya kazi office moja, mnasoma darasa moja, mnaishi nyumba moja, ni mbaya.
Ni sheria kutoka jandoni hio, hakikisha unarina asali ya mbali, hiyo ya maeneo yako iache watu wa mbali waifate.
Mbunge wa jimbo la moshi vijijini Profesa Patrick Ndakidemi licha ya kuwepo makundi hasi yanayopambana kuhakikisha yanakwamisha juhudi zake katika kuwaletea maendeleo wananchi wa jimbo lake,msomi huyo anaonekana mwaba kweli kweli,anapambana kuhakikisha anaziba masikio ili atekeleze ahadi zake...
Pumzika Lowassa Pumzika, Kazi Umekamilisha, Mwendo Umeumaliza, Pumzika!.
Toka kumetokea msiba wa Edward Lowassa hapa Jamiiforums tukimuita kwa jina maarufu la Mwamba wa Kaskazini, ile Jumamosi iliyopita, mpaka leo, akisubiri kupumzishwa kwenye makao yake ya milele, hapo kesho Jumamosi, mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.