Tutakua na kazi ya kufanya installation ya softwares za kufanya citation na kuweka references kwenye report

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,331
8,254
Kuna wakati mwingine unaweza ukawa unaandika report na ukatakiwa kuweka citation na references.

Lakini kwa kutokujua ukajikuta unaanza kufanya citation na references manually.

Kwa dunia ya sasa kila kitu kinafanyika automatically.

Kufanya citation na kuweka references manually kunakufanya utumie muda mwingi.

Lakini pia kunakufanya uziweke references zako katika mpangilio mbaya.

Lakini pia kunafanya report yako isionekane smart

Ndio maana baada ya kulitambua hili kwa wale wote wanaohitaji kuzifanya report zao zionekane smart tutakua na program ya kusaidia kufanya installation ya softwares za kufanya citation na kuweka references.

Kazi hii tutaifanya mahali popote pale ulipo katika mikoa yote Tanzania na muda wowote.

Karibuni tufanye tafiti
Mawasiliano yetu:
Bright and Genius Editors
www.bgeditors.com
bandg.editors@gmail.com
+255687746471
 
Back
Top Bottom