Kazi ya bodaboda inaenda kuwa ni ya kihuni

LA7

JF-Expert Member
Aug 26, 2019
457
1,714
Kwanza kabisa ni kazi isiyokuwa na taaluma, mtu yoyote tu anaifanya.

Serikali haiitambui rasmi. Sehemu ya kwenda kwa buku tokea 2015 mpaka leo bei ni ile ile.

Ukimuacha abiria kiss anakupa 1000 sehemu ya kwenda kwa 2000, anapita mwenzako anambeba kwa hiyo hiyo 1000.

Ukiingiza 15000 kwa siku bado ni ndogo kulingana na Maisha ya sasa.

Usipo gonga utagongwa. La mwisho kabisa, majeraha kwenye hiyo kazi ni Jambo la kawaida, Kuna boda watano ni marafiki zangu ndani ya mwaka kila mmoja katoka damu kwa wakati tofauti tofauti mpaka kuvunjika kabisa mwingine.
 
Kwanza kabisa ni kazi isiyokuwa na taaluma, mtu yoyote tu anaifanya,

Serikali haiitambui rasmi,

Sehemu ya kwenda kwa buku tokea 2015 mpaka leo bei ni ile ile,

Ukimuacha abiria kiss anakupa 1000 sehemu ya kwenda kwa 2000, anapita mwenzako anambeba kwa hiyo hiyo 1000,

Ukiingiza 15000 kwa siku bado ni ndogo kulingana na Maisha ya Sasa,

Usipo gonga utagongwa,

La mwisho kabisa, majeraha kwenye hiyo kazi ni Jambo la kawaida, Kuna boda watano ni marafiki zangu ndani ya mwaka kila mmoja katoka damu kwa wakati tofauti tofauti mpaka kuvunjika kabisa mwingine.
Nabii Lema! Ile siyo kazi ni uhuni, akikupatia ambapo yuko salama anakuzuru!
 
Back
Top Bottom