Upacha mpyq wa mgao wa namba ya simu na mpango kazi wa maokoto

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,413
11,065
Wanawake Mungu anawaona unakuta kadada kana sura na muonekano wa kilokole, thubutu !!! Kachatishe Whatsapp au normal text ndio utajua wanawake ni mashetani yaliojificha kwenye miili ya watu.

Sasa msitulaumu tukiwanyanndua na kusepa nina hasira kuna pisi nilikuwa na mpango wa kukaa yenyewe inanifanya kama danga

Kila mtu ashinde mpango kazi wake maisha ndio haya.

Wads
Wads
Wads

Mashetani katika mambo ya wanadamu☺️☺️😊😊
 
Wanawake Mungu anawaona unakuta kadada kana sura na muonekano wa kilokole, thubutu !!! Kachatishe Whatsapp au normal text ndio utajua wanawake ni mashetani yaliojificha kwenye miili ya watu.

Sasa msitulaumu tukiwanyanndua na kusepa nina hasira kuna pisi nilikuwa na mpango wa kukaa yenyewe inanifanya kama danga

Kila mtu ashinde mpango kazi wake maisha ndio haya.

Wadiz

Kwa sasa njaa ni kali sana mjini

Kidemu kinaanza kukuomba mara simu, mara pesa wakati huo hamna hata siku mbili tangu mpeane namba
 
Hizo pisi za mjini kukaa nazo sio rahisi mkuu, wakukaa nao wapo huko kijijini tandahimba wanagaragazana vichakani mkuu.
 
sasa hivi jambo muhimu ni kusikilizia shoo kama vile hutapewa tena liwalo na liwe
 
Mods kindly isomeke upacha mpya kuna kosa la spelling kwenye thread 🙏🙏🙏
 
Kama huna pesa acha umalaya, vijana mnatamani kila mwanamke anayekatiza mbele yako na ndicho chanzo Cha malalamiko.

Hata Kama we ni Simba si kila swala anayekatiza unakula.

Tatizo ni tamaa, ishi na mwanamke wako mmoja kama uchumi ni tete, umalaya ni gharama, utajikuta hufanyi maendeleo yoyote kisa kuendekeza wanawake.

Kuna watu wanahonga range mbili, we kuombwa simu tu kelele.
 
Hunters never change once born a hunter and a jungler always a hunter
 
Back
Top Bottom