Nafasi za kazi shambani Mufindi iringa. Mashamba ya Chai

Spartacus boy

JF-Expert Member
Sep 22, 2020
1,574
3,133
Njoo Iringa kwenye machai. Tunza tiketi YA BASI nauli unarudishiwa ukifika.
1.nyumba bure
2.maji ya uhakika

Vigezo
1. Miaka 18+
2. Uwe na NIDA namba au cheti cha kuzaliwa au kadi ya mpiga kura au namba ya NSSF AU leseni ya udereva

Kazi ni kuchuma kipato ni kutokana na juhudi ya uvunaji lakni kuna kazi zingine za utunzaji wa mashamba ambazo ni sh 7,000/= kwa siku. Kazi ni saa moja kamili hadi saa nane mchana.

Kima cha chini cha mshahara ni 179,000/= kwa mwezi ila ukizidisha juhudi basi utapata zaidi ya hapo. Mimi mwenyewe ni shahidi maana nipo humuhumu shambani.
Hakuna rushwa yoyote na kazi uhakika.

Kampuni inaitwa Lipton teas and Infusion zamani Unilever.

Pm me na karibu sana.

Wanahitajika wafanyakazi kwa idadi yoyote hata mkiwa 20 nauli mnarudishiwa.
 
Dah!

Ila nchi yetu bado life ni gumu sana, imagine unakaa kwenye jua, baridi, mvua kwa ujira wa 7000 tu kwa masaa 6 hadi 7...wastani wa buku kwa saa...0.4c USD/hr
 
Yaani wachuma chai wa hayo maeneo ndiyo wamekuwa adimu kiasi cha kuja kutafuta wachuma chai wengine humu jukwaani!!

Au mtakuwa mnanyonya sana wachuma chai wazawa wa hayo maeneo, ambao miaka nenda wamekuwa wakifanya hiyo shughuli kwa uaminifu mkubwa! Na hivyo wameona bora wafanye shughuli zao binafsi!
 
Jamani jamani!!!! Mbona tunakatishana tamaa. Mwezenyu ametuma Tangazo la Ajira ya Mashambani. Anao uhakika kua Hapa jukwani kuna watu wanasaka ajira na wapo tayari kufanya kazi yoyote. Kwa nini tunakatishana tamaa za mapema?
 
Njoo Iringa kwenye machai. Tunza tiketi YA BASI nauli unarudishiwa ukifika.
1.nyumba bure
2.maji ya uhakika

Vigezo
1. Miaka 18+
2. Uwe na NIDA namba au cheti cha kuzaliwa au kadi ya mpiga kura au namba ya NSSF AU leseni ya udereva

Kazi ni kuchuma kipato ni kutokana na juhudi ya uvunaji lakni kuna kazi zingine za utunzaji wa mashamba ambazo ni sh 7,000/= kwa siku. Kazi ni saa moja kamili hadi saa nane mchana.

Kima cha chini cha mshahara ni 179,000/= ila ukizidisha juhudi basi utapata zaidi ya hapo. Mimi mwenyewe ni shahidi maana nipo humuhumu shambani.
Hakuna rushwa yoyote na kazi uhakika.

Kampuni inaitwa Lipton teas and Infusion zamani Unilever.

Pm me na karibu sana.

Wanahitajika wafanyakazi kwa idadi yoyote hata mkiwa 20 nauli mnarudishiwa.
Mbona kima Cha chini mashambani ni tzs 15,000!?
 
Dah!

Ila nchi yetu bado life ni gumu sana, imagine unakaa kwenye jua, baridi, mbua kwa ujira wa 7000 tu kwa masaa 6 hadi 7...wastani buku kwa saa...0.4c USD/hr
Na hili ndio tatizo la watanzania sio kila kazi ni ya kukutoa kimaisha mkuu nyingine ni za kuanzia maisha koneksheni utapata hko hko mkuu ya kazi ya ndoto yako hata Elon musk Jack ma barack Obama na jeff Bezos walianza na kazi za kawaida mkuu kabla ya kutoboa kimaisha wake up mkuu.
 
Daily payment, Kuna viwango vinaratibiwa na labor department
Daily ni 7,000/= mshahara unapewa mwisho wa mwezi au katikati ya mwezi(kama advance ila kama ukitaka). Ila kwa mtu anayechuma kwa juhudi rahisi kuingiza elfu 25 kwa siku maana kuchuma unalipwa kwa kilo zako kulingana na jedwali la bei ya chai kwa kila msimu.

Serikali huwa inapitia kucheki haki za wafanyakazi kama zinatekelezwa ndio maana hata vigezo nilivyoainisha hapo juu hutolewa na mamlaka za serikali
 
Daily payment, Kuna viwango vinaratibiwa na labor department
Daily ni 7,000/= mshahara unapewa mwisho wa mwezi au katikatia ya mwezi. Serikali huwa inapitia kucheki haki za wafanyakazi kama zinatekelezwa ndio maana hata vigezo nilivyoainisha hapo juu hutolewa na mamlaka za n
Na hili ndio tatizo la watanzania sio kila kazi ni ya kukutoa kimaisha mkuu nyingine ni za kuanzia maisha koneksheni utapata hko hko mkuu ya kazi ya ndoto yako hata Elon musk Jack ma barack Obama na jeff Bezos walianza na kazi za kawaida mkuu kabla ya kutoboa kimaisha wake up mkuu.
 
Njoo Iringa kwenye machai. Tunza tiketi YA BASI nauli unarudishiwa ukifika.
1.nyumba bure
2.maji ya uhakika

Vigezo
1. Miaka 18+
2. Uwe na NIDA namba au cheti cha kuzaliwa au kadi ya mpiga kura au namba ya NSSF AU leseni ya udereva

Kazi ni kuchuma kipato ni kutokana na juhudi ya uvunaji lakni kuna kazi zingine za utunzaji wa mashamba ambazo ni sh 7,000/= kwa siku. Kazi ni saa moja kamili hadi saa nane mchana.

Kima cha chini cha mshahara ni 179,000/= kwa mwezi ila ukizidisha juhudi basi utapata zaidi ya hapo. Mimi mwenyewe ni shahidi maana nipo humuhumu shambani.
Hakuna rushwa yoyote na kazi uhakika.

Kampuni inaitwa Lipton teas and Infusion zamani Unilever.

Pm me na karibu sana.

Wanahitajika wafanyakazi kwa idadi yoyote hata mkiwa 20 nauli mnarudishiwa.
Mkuu ushukuriwe, umeweka mambo wazi kabisa na kuna watu wengi wanahitaji hii fursa.

Usikatishwe tamaa na watu wenye nyuzi hasi humu. Watu kama hawa hawakosekani ulimwenguni. Hata ungewaambia kuna pesa za kumwaga huku njooni mchukue bado wangeleta udhuru kuwa mpaka wafate huko kwa nini huwaletei nyumbani?
Tenda wema, malipo ni kwa Mola.
 
Ahsante mkuu. Naeleewa ahida ya nyakati hizi kuhusu kupata mkate wa kila siku. Hapa ni sehemu salama pa kupatia kipato.
 
Mkuu samahani kwa msaada ungeweka namba yako hapa ili mawasiliano yawepo.wengne wanatoka maeneo ya mbali na wanahitaji na hyo kazi.tunashukuru kwa moyo wa upendo wakusaidia watu.
 
Back
Top Bottom