Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,043
- 3,490
Kama mada ilivyo hapo juu kwa kuwa inadaiwa kuna 4R (Reconciliation, Resilience, Reforms and Rebuilding)
kwamba zinatibu vidonda vya kuumizwa kiakili, kimwili, kiuchumi na kijamii basi nafasi hiyo ifunguliwe kwa mwandishi mkongwe Cyprian Musiba ili kuchangamsha zaidi myambuliko wa siasa za Tanzania nina imani atabadilisha namna ya uwasilishaji wa jumbe zake kitaalauma bila kuingilia uhuru wa watu wengine kwa kuzingatia sheria hivyo ni ombi langu mamlaka wamsaidie arejee kwenye jukwaa la habari tena.