Bunge, Serikali na Mahakama vyote havifanyi kazi vizuri 🤔

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,609
8,753
Bunge letu ni fake na halitoi majibu

Serikali haiko serious kutatua matatizo ya wananchi. Katiba ni mfano! Wamebaki kisiasa kila kitu. Hakuna maridhiano ya maana yenye nia ya kuendeleza nchi badala yake ni kufikiria ndugu na marafiki zao tu.

Mahakama haitoi haki ipasavyo na imejaa siasa. Kufungia mawakili na kucheza na haki za watu kisiasa. Kesi zinachukuwa miaka na miaka

Tanzania tuna matatizo kweli kweli sijui kama wananchi wanajua hili
 
Wengi wanajua. Ila pia wanajua utatuzi haupo kwa kuwa mhimili mmoja (wa serikali) umepoka mamlaka ya mihimili mingine, so checks and balances hakuna!
 
Bunge letu ni fake na halitoi majibu

Serikali haiko serious kutatua matatizo ya wananchi. Katiba ni mfano! Wamebaki kisiasa kila kitu. Hakuna maridhiano ya maana yenye nia ya kuendeleza nchi badala yake ni kufikiria ndugu na marafiki zao tu.

Mahakama haitoi haki ipasavyo na imejaa siasa. Kufungia mawakili na kucheza na haki za watu kisiasa. Kesi zinachukuwa miaka na miaka

Tanzania tuna matatizo kweli kweli sijui kama wananchi wanajua hili

Kosa kubwa lililofanyika kwenye nchi hii ni kuruhusu chama kimoja kukaa madarakani muda mrefu, tena kwa kukaa madarakani kwa shuruti. Na hapa ni Bado, hali itazidi kuwa mbaya zaidi.
 
Back
Top Bottom