kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Jugado

    JamiiForums Tanzania Unahitaji kiasi gani cha pesa kuweza kuishi miaka 10 bila kufanya kazi ya kuingiza kipato?

    Miaka kumi ina miezi 120! Say: 3,000,000×120? = 360,000,000
  2. K

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kufanya interview nikiwa nimelewa nikapata ile kazi

    Ilikua mwaka flan bana, nikiwa niko tu jobless nikapokea call kutoka kwa recruitment agent kuwa kavutiwa na cv yangu hivyo anataka kusikia mawili matatu kutoka kwangu kabla ya kutuma cv yangu kwa client wao.well tulifanya nae fresh akanielewa then akaituma kwa client wake. Yule client wake...
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania Wahindi wafurika Israel kuchukua kazi zilizokua zinafanywa na Wapalestina

    Wapalestina takriban 90,000 walikua wameajiriwa Israel, ila baada ya HAMAS kuwaponza wakafurushwa, sasa hivi Wahindi wanafurika Israel kuchukua hizo nafasi. =================== ROHTAK, India -- When Israeli and Indian officials ran six days of skill tests for workers in the state of Haryana...
  4. Determinantor

    JamiiForums Tanzania KERO Huu mfumo wa Employee Self Service wa Utumishi haufanyi kazi

    Sioni sababu na nashangaa kwanini UTUMISHI wamekimbilia kutumia ESS na huku ukweli haufanyi kazi, unaingia Online wanakwambia wanashidnwa ku-retrieve taarifa zako, unaomba uhamisho, unajaza kila taarifa then unakuta hakuna kiytu chochote na hakuna mtu wa kukusadiai. Naupenda sana Mfumo wa NEST...
  5. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Wasimamishwa kazi kwa kumtoa mimba Mwanafunzi mwenye miaka 14

    MADAKTARI wawili ambao ni Dk. Obote Casto na Dk. Deus Chacha wa Hospitali ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, wamesimamishwa kazi kwa tuhuma za kumtoa mimba mwanafunzi mwenye umri wa miaka 14 (jina limehifadhiwa) jambo ambalo ni kinyume na maadili ya kazi zao. Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu...
  6. Brightly

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta kazi fundi bomba

    Habarii Wanajf, Mimi ni Mhitimu wa level 3 VETA mwaka 2023. Naomba msaada kwa yeyote anayeweza kunisaidia nikapata kazi inayoendana na fani yangu hapo juu!!! Nipo tayarii kufanya Kazi sehemu yeyote ndani ya Tanzania. Nb: Naweza kazi na nina uzoefu wa kutoshaa!!!
  7. The dumb Professor

    JamiiForums Tanzania Baada ya kupata kazi wanawake wengi wanajipendekeza kwangu

    Habari, Kipindi nipo jobless hapa mjini, wanawake wengi walikuwa wananiringia hata salamu tu. Mtaani hapa nilikuwa Kila nikitongoza wanatema nje. Lakini baada ya kuajiriwa nashangaa Kila mwanamke yupo humble, peaceful na anajituma. Wakija kunisalimia wanafua mashuka na kuosha vyombo na kufanya...
  8. Magical power

    JamiiForums Tanzania Nataka mwanaume mstaarabu, muaminifu, mwenye kazi asiwe kibenteni. Awe na mbinu za hela, awe handsome, mzuri

    1. Nataka mwanaume mstaarabu, muaminifu, mwenye kazi asiwe kibenteni. Awe na mbinu za hela, awe handsome, mzuri, awe anajiheshimu. Asuchepuke. Awe anawahi kurudi nyumbani. Ajue mahaba, asiwe MUONGEAJI, asiwe na maneno makali. Awe mpole. Anajua mahaba. Wanawake WANAOTAKA WANAUME hao PUNDA MIZANI...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania On be the first to know, could JF be ni funga kazi zaidi ya mainstream media zote? Shuhudia hapa

    Wanabodi, Mimi ni miongoni mwa waraibu wa JF, usingizi ukinikatika, huingia JF, Alfajiri ya leo, usingizi umekata mapema, ile swalaa swalaa imenikuta macho, hivyo baada ya yale ya msingi baada ya kuamka, nikashuka if, nikakutana na bandiko hili: LIVE - Ziara ya Rais Samia katika Ikulu ya...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ukimpata Kiongozi Mwaminifu Maendeleo ni Kazi Rahisi Sana: Mbunge wa Mbogwe, Maganga

    UKIMPATA KIONGOZI AMBAYE NI MWAMINIFU KATIKA MAJUKUMU YAKE MAENDELEO NI KAZI RAHISI SANA: MHE. NICODEMAS HENRY MAGANGA, MBUNGE WA JIMBO LA MBOGWE MKOANI GEITA "Mwanzoni kulikuwa na watu siyo waaminifu, wakipewa leseni za uchimbaji Madini walikuwa wanawafukuza kama wanyama. Mimi nilikuwa na upeo...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Baada ya maboresho kukamilika, Bandari ya Tanga imeanza kazi, shehena na meli zaongezeka

    Baada ya kukamilika miradi ya maboresho katika bandari ya Tanga, kumepelekea tija kubwa kuonekana katika nyanja tofauti ikiwemo kuongezeka kwa shehena na meli zinazohudumiwa katika bandari hiyo jambo ambalo linachangia ongezeko la mapato. Hayo yamesemwa Jumanne tarehe 23 Januari, 2024 na Meneja...
  12. mike2k

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Ualimu

    👨‍🏫👨‍🏫👨‍🏫👨‍🏫👨‍🏫👨‍🏫👨‍🏫👨‍🏫 NATAFUTA KAZI YA UALIMU Mimi ni mwalimu mwenye shahada ya elimu, nina uzoefu wa miaka minne wa kufundisha shule za msingi na sekondari. Ninafundisha masomo ya Kiingereza, Historia ya Tanzania, CME, Kiswahili, Jiografia na Mazingira, na Elimu ya Jamii kwa shule za...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Nimepata kazi ambayo inaniruhusu kuhamia USA nikitaka, lakini mshahara ni ule ule popote nitakapoamua kufanyia kazi

    Habari wakuu, Nahitaji ushauri kidogo hapa. Nimepata kazi ambayo inaniruhusu kufanyia kazi popote pale, na hata kuhamia yalipo makao makuu ya shirika kama nikitaka (Houston, Texas, USA), lakini pia nikitaka naweza kubaki hapa hata Tanzania nikaendelea kufanya kazi remotely, nikawa naenda USA...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Ramaphosa amfuta kazi Mshauri wa Uchumi baada ya kuibuka utata kuhusu Elimu yake

    AFRIKA KUSINI: Rais Cyril Ramaphosa amemuondoa kazini Dkt. Thabi Leoka ambaye ni mmoja kati ya Washauri wake katika masuala ya Uchumi kufuatia hoja zilizoanza kuibuliwa kuhusu uhalali wa sifa zake Kitaaluma. Kwa mujibu wake Dkt. Leoka anadai alipata 'PhD' yake kutoka Chuo Kikuu cha London...
  15. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Taa hii chumbani huwa na kazi gani?

    Wajuzi wa mambo mtu akiweka taa ya rangi kama hii huwa anaitumia kwa kazi gani?
  16. Championship

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tuweke ushabiki pembeni, ukweli ni kwamba Rais Samia ameshindwa kazi ya urais

    1. Mpaka sasa haieleweki dira yake hasa ni nini. Kila kitu ni kama kinajiendea tu. Hakuna concrete direction. 2. Nchi inakosa umeme kila mahali kwa zaidi ya miezi sita na wala hakuna kinachofanyika. Hapajawahi kutokea mgao mrefu hivi. 3. Kuna maeneo maji yanakatika hata wiki nne na hakuna...
  17. mahindi hayaoti mjini

    JamiiForums Tanzania Hivi wizi nayo ni kazi?

    Kwa sababu kuna wale ambao kila asubuhi wanapotoka nyumabni huaga kwamba wanaenda kazini, na kumbe huwenda kuiba Karibuni tujadili wizi na aina zake
  18. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Kwa waliooa tu, jambo gani au kazi za nyumbani,zinakupa shida pindi mkeo anapokuwa amesafiri na umebaki mwenyewe nyumbani mpaka zinafanya umkumbuke

    Habari, wajf. Kichwa habari kinaeleza. 1. Mimi kuosha vyombo. Hili tu. Wewe je ni jambo gani Hilo mpaka linafanya umkumbuke Mkeo sio mchepuko hapa nazungumzia WIFE MATERIAL. Tiririka
  19. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam sasa inafanya kazi 24/7

    Salaam Wakuu, Kumekuwa na malalamiko mizigo kichelewa kutoka Bandari ya Dar es Salaam. Hali hiyo imeboreshwa kwani hivi sasa Meli kubwa zinaingia Bandari ya Dar es Salaam hata kama usiku wa Manane. Wqnafanyakazi muda wote iwe Jumamosi au Jumapili. TPA imeelezwa kwamba, Mwezi wa 11 na 12...
  20. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Huu Mgao wa umeme Ukiendelea hiví kuna watu watapoteza kazi huko sekta Binafsi

    Great Thinkers. Hali ya upatikanaji wa umeme nchini inatisha na bahati mbaya Serikali na Tanesco wanatuficha ukweli uliopo. Dotto Hakuna lolote la maana alilolifanya toka aingie Hapo. Kwa kweli shuguli za watu zinaathirika Sana. Tuna Zaidí miezi sita ni kata kata tu na sababu zisizoluwa na...
Back
Top Bottom