Kuna kampuni wanaitaji lab tech, text whatsap 0699256064..ntakutumia uapply huko, ujaribu bahati yakoHabari wakuu,
Mimi ni kijana wa kiume niliesoma Diploma ya Laboratory technician kutoka chuo cha DIT napatika Dar-es-salaam, natafuta kazi kwenye shule au viwanda mkoa wa wowote nchini.
Asanteni.
Aamin Mungu amsaidie!