hifadhi ya ngorongoro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    Wadai kuchangishwa Sh 10,000 kila mtu ili wasihamishwe Hifadhi ya Ngorongoro

    Baadhi ya wananchi wanaoishi eneo la Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) wamesema 'kiburi' walichonacho viongozi wa vijiji, wazee wa mila wa jamii ya wafugaji wa Kimasai na baadhi ya wanasiasa, kinatokana na kuachangisha fedha wakazi ili kwenda kuwatetea wasiondolewe hifadhini. Wamesema...
  2. Analogia Malenga

    Waziri Mkuu: Kama Mtu anataka kuhama Ngorongoro, Serikali itamuhudumia

    Picha: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema suala la idadi ya watu ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro ni kubwa, hivyo kama kuna watu watakaotaka kuhama kwa hiyari serikali itawahudumia. Pia amewataka wakazi wa Ngorongoro wasiwalazimishe watu watu kubaki kwa kuwa...
  3. PendoLyimo

    Peter Msigwa asema hali ni mbaya katika Hifadhi ya Ngorongoro na jitihada za haraka kuinusuru zinahitajika

    MCHUNGAJI MSIGWA AFUNGUKA SAKATA LA NGORONGORO:- WALIPWE FIDIA WAHAMISHWE, WANA HAKI ZAO Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA ambaye pia ni Mwenyekiti wa kanda ya Nyasa wa chama hicho, aliyewahi pia kuwa mbunge wa Iringa mjini na waziri kivuli wa Wizara ya Maliasili na utalii Mchungaji Peter...
  4. ACT Wazalendo

    Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro Ivunjwe

    TAARIFA JUU YA SUALA LA KUHAMISHA WAFUGAJI WA JAMII YA MAASAI KATIKA HIFADHI YA NGORONGORO UTANGULIZI Ndugu Wanahabari, Ngorongoro ni eneo la shughuli mtambuka. Kiutawala ni Tarafa mojawapo ya wilaya ya Ngorongoro yenye vijiji 25 na Kata 11. Kiuhifadhi, eneo hili linasimamiwa na Mamlaka ya...
  5. T

    Maandamano makubwa ya kunusuru Hifadhi ya Ngorongoro

    Rasmi naomba kutoa kusudio langu la kuitisha maandamano makubwa ya kunusuru hifadhi ya taifa ya Ngorongoro. Nimeanza mchakato wa kuomba kibali polisi na mamlaka zingine husika ili kuitisha maandamano makubwa yatakayofanyika hivi karibuni ili kuishinikiza serikali iwaondoe binadamu wote waliomo...
  6. J

    Wamasai wadai hawaondoki Ngorongoro kwa sababu wanalindwa na UTATU wa kikatiba yaani Wenyeji - Hifadhi - Utalii

    Wamasai waishio kwenye vijiji vya hifadhini Ngorongoro wamesema kamwe hawatahama kwani Ngorongoro ni mafiga matatu ya Wenyeji, Hifadhi na Watalii na ukiondoa figa moja Ngorongoro inakufa. Wamedai wao wanaishi vijiji vya hifadhini kwa mujibu wa sheria. === Wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa...
  7. JanguKamaJangu

    Mgogoro Hifadhi ya Ngorongoro kuna siri nzito. Nani wapo nyuma ya Wamasai?

    Mgogoro wa Hifadhi ya Ngorongoro kuhusu wakazi wanaoishi ndani ya eneo hilo umekuwepo kwa miaka mingi, kwa muda wote huo hakuna utatuzi rasmi wa nini kinatakiwa kifanyike. Juzikati baada ya bwana Maulidi Kitenge na wenzake kutembelea hifadhi hiyo, alitoa ushauri wa Serikali kufanya mpango wa...
  8. J

    Kilichojificha hifadhi ya Ngorongoro

    KILICHOJIFICHA HIFADHI YA NGORONGORO Katika hali isiyokuwa ya kawaida hivi karibuni kumeibuka mijadala mbalimbali kwa wale wanaojiita wanaharakati (Uchwara) wa kutetea haki za watu wa Jamii ya kimasai waishio Ngorongoro. Hapa kuna hoja kubwa inayozungumzwa na wanaharakati hao kuwa wanaotaka...
  9. J

    Madai ya watu kuishi Hifadhi ya Ngorongoro na wanyama pori kuwa ni kuvutia utalii ni ujinga

    Hivi karibuni kumezuka mijadala mingi juu ya uwepo wa zaidi ya watu zaidi ya laki Moja kuishi hifadhi ya Ngorongoro kuwa ni njia Moja wapo ya KUVUTIA UTALII ni ujinga na upuuzi usio vumilika hata kidogo. Tumeshudia Waandishi wa habari Maulid Kitenge na Oscar Oscar Mzee wa Kaliua wakiwa...
  10. pharao

    Tutajuta kwa suala linaloendelea Ngorongoro, tutake tusitake

    Mwaka 1960 Ngorongoro Ilikuwa na Tembo zaidi ya 2000! Ila leo hii Tembo waliobaki Ngorongoro ni 30! Moja ya utajiri wa kipekee duniani ni kuwa na wanyama Mwitu kama hawa ambao sisi wabongo tunawachukulia poa sana! Ila wana thamani kubwa katika ulimwengu huu! Dunia nzima kwa sasa inateigemea...
Back
Top Bottom