gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Half american

    JamiiForums Tanzania Huu utaratibu wa CR7 kwenye kufunga ndoa yake ni mzuri sana, ni wa kuigwa. Una maoni gani mdau?

    Mke wa Cristiano Ronaldo, Georgina Rodríguez amesema ndoa yake na Mumewe ilifungwa katika sebule ya nyumba yao Cascais, Ureno huku ikihudhuriwa na Watu saba tu. Kauli ya Georgina inakuja ikiwa ni takribani wiki moja tangu kufungwa kwa ndoa hiyo ambapo katika mahojiano maalum na Vogue, amesema...
  2. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Tamasha la Kizimkazi lina umuhimu gani kwa Watanganyika?

    Nataka kujua umuhimu wa hili tamasha kwa Watanganyika ambao hadi leo taifa lao limepotezwa. Hawana uhakika wa maji salama, barabara ni tatizo kubwa vijijini na mijini. Watanganyika wapo zaidi ya mil 60. Ndio wanaolipa kodi na kuendesha maisha ya Wazanzibari mil 1+ Tamasha kama hili...
  3. X

    JamiiForums Tanzania Dunia ya AI Yaanza Kugawanyika Katika Mifumo Miwili: Marekani 🇺🇸 au China 🇨🇳 — Tanzania Itaegemea Upande Gani?

    China imezidi kuikalia kooni Marekani kwenye vita ya teknolojia ya AI hivi kwamba Marekani imeanza kuhofia kukosa ushawaishi na kuanza kuyapiga mikwara mataifa mengine duniani Iko hivi: Kwa mujibu wa Reuters, Marekani inaandaa kuishinikiza takribani nchi 35 zinazohusishwa na mpango wake wa Pax...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Bi Ayi Dham'bin' Kut'lat kwa kosa gani umeuwawa

  5. mlinzi mlalafofofo

    JamiiForums Tanzania Sofa hii ina matumizi gani?

    Wakuu hii sofa ina kazi gani?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kazi gani ya kiwandani kila ukienda kuomba unapata ila unaweza kukimbia kabla ya kulipwa

    Kuna jamaa yangu alikwenda kutafuta kazi kwenye kiwanda cha nondo akapata anasema ile shuruba ya mle ndani alitamani atoroke kabla hajalipwa kwa ugumu wa kazi amalipo madogo, anasema wakikutajia malipo kwa siku unakuwa bado hujajua ugumu wa kazi unajipa moyo nitakomaa ila anadai mateso yaliyoko...
  7. KanyeWest_Tz

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania tuko hivi? Ni laana gani?

    Ila aisee kwanini sisi watanzania tuko hivi? Ni laana gani tuliyo nayo sisi? Katika pita pita mitandaoni nimejikuta nashangaa why! Watu wana make fun of juma jux. Ndo hao hao walomcheka akiwa haijawa na ndoa, ila leo kaingia kwenye ndo kawa kituko tena? Hii ndo sababu watu hawakai kwenye ndoa...
  8. nadiegirlie

    JamiiForums Tanzania Kama kusingekuwa na madhara kitu gani ungependa kufanya?

    Kuna kile kitu unatamani kukifanya ila unaogopa matokeo baada ya kitendo,ni kitu gani hicho?
  9. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Seriously, hivi Samia ni Rais kwa mujibu wa uchaguzi gani?

    Hivi huyu Samia ni Rais kwa mujibu wa uchaguzi gani? Wote tunajua Oktoba 29 hakukufanyika uchaguzi. Wote tunajua tume ya uchaguzi ilitangaza matokeo ya uongo. Wote tunajua Samia hakupigiwa kura na watu milioni 31 kati ya milioni 32 waliodaiwa na tume kuwa walijitokeza kupiga kura. Wote...
  10. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Sijali CCM itakaa madarakani muda gani

    Kwangu mimi binafsi sijali CCM itakaa madarakani muda gani. Nimefika hatua sioni namna CCM itatoka madarakani kwa njia ya amani itakuwa njia mbaya sana wao kutolewa madarakani. Sasa kama hawawezi kutolewa madarakani basi bado wanacho chumba cha kujifanyia reforms. Sisi sio nchi ya kwanza...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mafanikio yako hayategemei umezaliwa katika mazingira gani.

    Mafanikio yako hayategemei umezaliwa katika mazingira gani. Leo nataka tupitie habari ya Isaya Yunge na Yeftha Habari ya Yeftha tunaipata katika kitabu cha waamuzi mara baada ya Gidion na kizazi chake kuondoka tunakutana na habari hii Yeftha historia yake hiko wazi alikuwa ni mtoto wa mama...
  12. Etwege

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya kifo kwa Rais wa Syria inatuma ujumbe gani kwa wahusika wa October 29?

    #HABARI: Wakazi wa mji wa Idlib nchini Syria wamekusanyika kusherehekea baada ya mahakama kumhukumu kifo Rais wa zamani wa nchi hiyo, Bashar al Assad. Mahakama moja nchini Syria imemhukumu kifo kwa kutokuwepo rais wa zamani wa nchi hiyo, Bashar al-Assad, kwa makosa yanayohusiana na uhalifu...
  13. My mee

    JamiiForums Tanzania TTCL FIBE wanachukua mda gani mpaka kuja kufunga?

    Na je kifurushi cha 70,000 unlimited unaweza connect watu wangapi?? Nataka kufanya MAOMBI. Maana hawa Savanna eneo nilipo huduma bado haijafika
  14. E

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kufanya jambo gani kwa dhalula likageuka tabia?

    Member, Nimekumbuka changamoto iliyonikuta ikaibua tabia addiction,, Ni hivi niliwai kusafiri kwa treni kwenda Kigoma kufwatilia kazi ya tenda,, sasa kufika pale Tabora nakagundua begi la nguo halipo, niliweka juu kwenye zile kelia za mabegi ndani ya treni hata kwenye mabasi zipo,, Nikapekua...
  15. M

    JamiiForums Tanzania X wako ana hali gani huko alipokwenda baada ya kukusaliti?

    X wako ana hali gani huko alipokwenda baada ya kukusaliti? Usaliti wake umemlipa au yuko hoi anajutia anatamani kurudi tena kwako?
  16. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Ni kozi gani ukimuona mtu anasoma chuo unabaki unasikitika?

    Wakuu, Kuna kipindi Nilikuwa nataka kusoma kozi ya Basic Records & Archives Management. Wiki chache kabla ya ku-apply nikakutana na mjomba angu mmoja kasoma soma kidogo. Nikamuelezea nilichokuwa nataka kusoma Badala ya kunipa support akainama akaniuliza "Kwa jinsi internet inavyoshika kasi...
  17. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Ulikua na mawazo Gani kuhusu watumiaji wa JF ulivyojiunga??

    Mimi kipindi hicho najiunga nilikua JF ni mtandao wa wafanyakazi wa serikalini tuu, sikujua kama ni mtandao kwa wowote. Nilivyoingia sikuamin, baada ya kuona post za watu hapa JF nilihisi kila mtu ana nyumba Kali na gari na ana degree. Wewe ulifukiria Nini kuhusu watumiaji wa JF
  18. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Project mbalimbali za kuibomoa CHADEMA zimefanikiwa kiasi gani?

    Mkakati au "project" mbalimbali za kisiasa zenye lengo la kuibomoa, kuidhoofisha au kuigawa CHADEMA zimefeli kwa kiasi kikubwa, kwani chama hicho bado kimesimama imara kama nguzo kuu ya upinzani hapa Tanganyika. Hata hivyo, mikakati hiyo imefanikiwa kwa kiasi kidogo kuongeza presha ya kisheria...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Damu ni nzito kuliko maji: Baba wa kambo hata uwajali watoto, wakikua wataanza kutafuta asili za baba zao, hata kama mama zao waliwasingizia mabaya

    N:B: Uzi huu kwa namna yoyote ile haushinikizi kukataa watoto wa nje wala kuoa wanawake wenye watoto, bali unaeleza nature ya mwanadamu kwenye kutaka kuwa karibu na asili yake kadri anavyokua. Nimewahi kuona familia kadhaa ambazo ndani yake kuna watoto waliozaliwa nje ya ndoa, na baadaye...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tunda gani ulikuwa unalitamani kutokana na kusifiwa ila baada ya kulionja hulitaki tena?

    Nilikuwa nikisikia sifa zinazopewa kwenye tunda linaitwa embe ng'ong'o nilikuwa natamani sana kulionja kwa kuwa huku kwetu kanda ya magharibi halipo na kama lipo mie sijwahi kukutana nalo. Nikawa natamani sana kulionja, ila siku niliyolionja nikasema chaaa nini hiki, sitaki hata kulisikia tena...
Back
Top Bottom