Ni chuo gani hapa Tanzania naweza kusoma course ya National Examination Board in Occupational Safety and Health (NEBOSH)?

Ni chuo gani hapa Tanzania naweza kusoma course ya National Examination Board in Occupational Safety and Health (NEBOSH)?

Digital Ticha

Senior Member
Joined
Jun 16, 2023
Posts
180
Reaction score
250
Wadau natafuta taasisi ambayo inatoa course ya National Examination Board in Occupational Safety and Health (NEBOSH) kwa hapa Tanzania.

Ningependelea zaidi kusoma darasani sio online. Ila ikishindikana nitafanya hata online.
 
Back
Top Bottom