Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 33,543
- 96,716
Kama umefuatilia, generations mpya za Toyota kuanzia 2023 kuja mbele zimekua kama zinashare design language moja kwa mbele. Mfano:
Ata ukicheki baadhi ya crossovers/SUV kama nazo kwa mbele zinafanana design. Angalia mifano:
Zingatia design ya taa, front lip na placement ya badge ya mbele, sijui ndio maboss mnataka ivyo au.
Ila sio mbaya kwa muonekano nzuri, ila sijui kuhusu kufanana kama good thing au wengine mnapenda uniqueness.
Toyota Crown 2025
Lexus ES 350h 2025
Camry 2025
Prius 2025
Ata ukicheki baadhi ya crossovers/SUV kama nazo kwa mbele zinafanana design. Angalia mifano:
CH-R+ 2025
Urban Cruise 2025
Rav 4 GR 2025