Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 37,311
- 86,733
Habari za jumapili!
1. Wiki kadhaa zilizoisha taarifa za kuuawa mchina zilizagaa mitandaoni.
2. Mshukiwa wa mauaji hayo akiwa ni mtu mmoja ambaye jina lake halikutajwa isipokuwa kabila lake la maasai.
Hii ni kusema taarifa inaripotiwa mchina auawa na mmasai.
3. Wamasai ni moja ya Makabila makubwa, yenye nguvu hasa ya kimila na kidesturi, yenye mifumo mizuri ya kifamilia, KAZI, ulinzi,
4. Wamasai ni moja ya kabila ambalo wanaakili na wanaongozwa na kanuni ya Low key au low profile.
5. Mbinu kubwa waitumiayo wamasai katika Kanuni ya Low key ni kujifanya wajinga, wasioelewa mambo, washamba lakini kimsingi ni watu wanaoelewa mambo Sana kuliko watu wengi.
6. Umasai ni Kabila lakini hapohapo Umasai ni Dini. Watu wengi hasa waswahili hawajui hili. Umasai ni kabila lakini pia ni Dini kwa Wamasai.
7. Wamasai popote walipo ni ndugu. Tofauti na makabila mengine.
Wamasai huunganishwa na umasai wao kisha huonana ndugu wa damu moja kikoo.
8. Wamasai wengi hasa wa mjini hawana anuani rasmi. Unaweza kuwaona wakienda na kurudi huko mabarabarani lakini usijue wanapoishi.
9. Hata humu ndani, wapangaji unaweza kukuta tangu kuzaliwa hujawahi kupanga nyumba moja na wamasai.
10. Wamasai wengi hupanga nyumba moja. Wao kwa wao. Kwa hapa Dsm utakuwata hasa maeneo ya msasani kule kuanzia msasani macho. Huko utawakuta wamepanga nyumba na wanaishi huko.
11. Wamasai waliopo mjini nazungumzia Dar es salaam, wala sio Arusha maana huko ni kwao. Wengi hao hasa vijana taarifa zao hazijasajiliwa katika mifumo rasmi.
Sio ajabu ukamkuta hana NIDA wala Vote Id.
12. Wamasai wengi wanaumoja, wanashirikiana Sana. Wana ule moyo WA kuonana ni ndugu.
13. Wamasai wengi waliokuzwa umasaini wanafundishwa elimu za ulinzi, usalama na mambo ya kimedani.
Sio ajabu hata mbinu za kujifanya majinga yasiyoelewa kitu ikawa sehemu ya mkakati wao wenye kuzaa matunda.
14. Kwenye tukio la Mauaji kama hilo lililotokea huku mshukiwa mkuu akiwa huyo mmasai. Angekuwa mtu wa jamii nyingine ndani ya Siku Saba angekuwa ameshatiwa nguvuni. Lakini kwa masai tunaenda wiki ya pili tukiitafuta ya tatu.
15. Masai wengi hawana picha mitandaoni. Sio ajabu picha itakayotumika kumsaka ikawa ni Ile ambayo ni passport size aliyoombea kazi. Na kama aliomba zamani inamaana kwa sasa inaweza kuathiri ufuatiliaji wake.
16. Fikiria wewe ndiye mpelelezi wa kesi hiyo.
Mshukiwa amekimbia, mshukiwa hatumii simu,
Mshukiwa Hana picha mtandaoni,
Umepewa picha ya passport size labda ya zamani,
Wazazi wa mshukiwa ni wamasai ambao wanaule umoja na undugu, Rafiki zake nao ni wamasai na wanaule umoja.
17. Wewe ni mpelelezi, wiki mbili zimeisha sasa. Hapo bado kuna wamasai wa Kenya. Kwamba kama atakimbilia Kenya bila Mawasiliano ya simu upelelezi wako unazidi kuwa mgumu.
18. Binafsi hii kesi inanivutia Sana. Kwani nataka kuona umahiri wa jeshi letu kimedani katika mazingira kama haya.
Karibuni kwa mjadala
Taikonmaster
Kwa sasa Dar es salaam