gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ukipata mtoko ya dharura inakuchukua muda gani kuwa umeshajiandaa?

    Linapokuja suala la kujiandaa kama kupata nguo ya kuvaa, viatu nk. kwa wanaume huwa sio shida sana japo wapo wenye vipingele lakini huwa nafuu ila kwa jinsia Ke, ndio pata shika japo wapo wanaojitahidi. Wanawake mpaka akapate nguo ya kuvaa ni muda hata kama ana kabati 2 za nguo na zote zimejaa...
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ni eneo gani la kazi kwa maoni yako linaongoza kwa kuona warembo/watu wapya kila siku mpaka mtu anaingia kazini na furaha ya ajabu?

    Kuna baadhi ya maeneo ya kazi ukiajiriwa tu unaanza kuamini dunia bado ina furaha. Sio kwa mshahara kwanza… bali mazingira yenyewe yanakuwa kama series isiyoisha kuhusu “uhamiaji wa viumbe wazuri” Mfano maeneo ya vyuo vikuu… aisee huku ni kama Serengeti migration. Kila mwaka linaingia...
  3. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Ni tukio/kituko gani ambacho alifanya dada yako wa kazi hapo nyumbani hutosahau?

    Salute! Nafahamu kwa sababu mbalimbali watu wengi tunapenda kuishi na dada wa kazi majumbani mwetu Wapo watu wengi ambao wamekutana na Mikasa mbalimbali kutokana na dada hawa wa kazi. Je ,ni kituko gani uliwahi kukutana nacho kutoka kwa dada wa kazi?
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Trump kavurugwa. Vitu gani anapost bila caption?

    Nani anamchanganya huyu mzee? Ni AI generated lakini hadi rais wa nchi kubwa hivi anapost? Tf? Source: https://truthsocial.com/@realDonaldTrump/posts/116591901587847680
  5. BigTall

    JamiiForums Tanzania Ukim-beep mwenza wako, atachukua muda gani kabla ya kukupigia?

    Credit ya Video: Jimbo Media
  6. Joseph midimu

    JamiiForums Tanzania AJIRA

    Hivi kuna kitu gani behind ajira.? unakuta mtu analipwa 800k kwa mwezi lakini anamaisha magumu ndy nn sasa.? Alie na ufafanuzi mzuri anieleweshe... si kwa miezi miwili tu hapo unakua na 1.6M + kwa 10 miezi = 9.6M kwa mwaka😀
  7. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Beside Tanzania, ni nchi gani Africa ungechagua kuweka makazi ya muda mrefu?

    Mimi ningechagua Botswana, Kuna demokrasia, kuna utulivu, hakuna mfumuko wa bei, lakini pia ni nchi inayoongoza kuwa na wadada wenye makebo makubwa.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Hii ni kitu gani wakuu?

    Habari wana jamvi, Takribani wiki mbili zilizopita nilikuwa nasumbuliwa na muwasho sehemu za siri; dhakari, maliwato na sehemu katikati ya mapaja na mbupu. Sikuota vipele isipokuwa tu sehemu ya kichwa cha dhakari ndio nilikuwa na vipele viwili tu ambavyo haviwashi wala kutoa uchafu. Nikajaribu...
  9. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Natafuta Ajira , je una una maoni Gani kuhusu hili swala?

    Maoni yako , tafadhari. Je ni sahihi kumkimbia mwanamke ambaye ushamlipia mahari na ukamuachia na ujauzito au kwa jina maarufu Mimba .?.. Natafuta Ajira
  10. Breaking bad

    JamiiForums Tanzania Wavutiwa na siasa za nchi gani kana kwamba ungependa nchi yetu iwe kama wao ?

    Eti wadau tiririkeni hapa. Kwa malalamiko yetu ya kila siku dhidi ya ccm na siasa zetu, ungependa nchi yetu iwe na siasa kama za nchi gani duniani na kwa sababu zipi?
  11. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Video Editors na Content Creators: Una edit video zako kwa kutumia software gani?

    Wanaopenda kuedit video, for fun au kwa biashara. Unatumia software gani? Free, paid au cracked? Natumia Windows Laptop sio Mac. 16 GB RAM inatosha au nipande juu? Kwa sasa najifunza color grading, Natumia CapCut na LUT za watu najaribu kufanya mwenye mdogo mdogo, inafaa kwa kufanya manual...
  12. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Kuna haja gani ya kuchafuana baada mahusiano kuvunjika?

    Mmeamua kuachana si kila mmoja aondoke kimyakimya...ishu za kuchafuana zina umuhimu wowote? eti wakuu🤔
  13. M

    JamiiForums Tanzania Vitu gani vinasababisha Injini za magari kufa haraka?

    Wakuu, ni makosa gani mtu akiyafanya yatashusha umri wa injini ya gari yake yaani itawahi kufa kwa haraka? Kagari kangu haka ka mkopo nataka kukalinda kwa namna sahihi ili injini isiwahi kufa maana ikifa sina namna ya kuweka injini mpya kwa haraka hivyo naomba mnipe kabisa tahadhari ya vitu vya...
  14. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mganga gani anaweza Baki na Maini na Kichwa cha mtu siku zote hizo Huku akijua wenzake Wamekamatwa ? Hakuogopa kutajwa? Kukimbia ? Kuvifukia?

    Kuna Movie inachezwa na "Mfumo" kuhakikisha wananipa Nguvu Ripoti Uchwara ya CHANDE !!. Watanzania Shtukeni !!.
  15. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Gen Z, Kitu gani mnawashangaa Millennials?

    Kumekuwa na hali ya kila kizazi kukishangaa kizazi kingine, mfano Millennials wengi wanawashangaa namna Gen Z wanavyochukulia mambo, wanaona kama wanayachukulia kwa wepesi hata kama yanaonekana mazito na namna hawakubali kupelekeshwa ili akusikilize inabidi umpe sababu yenye mashiko haijilishi...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Hivi ni tabia/ mazoea gani umeshindwa kuacha?

    Habari wanajamii Hivi ni tabia gani au mazoea ambayo umeshindwa kabisa kuacha? Mfano kwa upande wangu huwa siwezi kujisaidia haja kwenye Choo ambacho hakuna ndoo ya maji na lazima nimwage maji nisafishe choo na nijaze maji tena kwenye ndoo kabla ya kujisaidia hata kama hotel hiyo ina uhakika...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kilifanya uache kuhangaika na urembo na vipodozi?

    Zamani nilikua nahangaika sana na vipodozi, mie kutwa napambana na urembo yaani nikisikia hiki ninacho kile natafuta ili tu nisipitwe na fasheni ya urembo mjini. Siku moja nikaambiwa mafuta fulani yanafanya ngozi iwe na mnga'ao wa kuvutia sana nikayatafuta nikayatumia kilichonikuta yale mafuta...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Lamar Fishcrab auliza swali moja tu Kuhoji ubora wa S2Kizzy Kamtoa msanii gani undergeround?

    Je, producer mkali hapimwi kwa kutengeneza hits za wasanii wakubwa pekee wenye mashabiki na nguvu ya kusambaza kazi zao, bali pia unapimwa kwa uwezo wa kumtoa msanii underground mpaka kuwa star. https://www.youtube.com/watch?v=BQqztrwJQP8
  19. M

    JamiiForums Tanzania Serikali inatoa tamko gani juu ya kupanda kwa gharama za gesi na mafuta ya petrol na dizeli? Maisha ya Mtanzania yanazidi kuwa magumu kila kukicha

    Hii post naielekeza moja kwa moja kwa Mheshimiwa Rais, Dr Mama Samia Suluhu Hassan na waziri wa Nishati na Madini. Jamani wakuu maisha yetu watanzania wa hali ya chini yanazidi kuwa magumu. Bei hizi za gesi tunazotangaziwa kuwa zimepanda kufikia 62000 kwa mtungi wa kg 15 na 27000 kwa mtungi wa...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Umewai kutumia kiasi gani kikubwa cha pesa kwenye burudani ndani ya siku moja?

    kiasi gani cha pesa amnacho umewahi kukimaliza kwa siku moja kwenye burudani fulani? Binafsi weekend iliyopita nimetumia arround 1800usd, hapo tunaongelea zaidi ya 4M kuitumia kwa siku moja!
Back
Top Bottom