Tofauti na Kiswahili, unafahamu lugha gani nyingine?

Tofauti na Kiswahili, unafahamu lugha gani nyingine?

Mawele

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
766
Reaction score
2,500
Kuna baadhi yetu hatukupata bahati ya kufahamu lugha za asili, na hatujui lugha za nje tunajua kiswahili pekee kwa sababu wazazi hawakuwa wakizutumia kwa sababu walikuwa wa kutoka kabila tofauti, na shule pia tulisoma Kayumba so kipengele.

Je, wewe unafahamu lugha gani nyingine za ndani na nje ya nchi? Elezea kero inayokukabili kisha tutafsirie
 
Back
Top Bottom