Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,040
- 35,906
sio wageni na logo hii kwenye huduma za hospital.Ila kuna sehemu nimegusiwa hawa viumbe kwa ujumla jamii ya reptile zote wana siri kubwa ya dawa ambazo kama tukiwagundua basi leo tunaweza kukichezea kifo mfano ukaweza kuota kiungo kama kimekatika,ukapona hata kama umekufa.Kuna sehemu nyingi sitaweza kutaja na inasadikiwa wapo wamejivisha ubinadamu.
Lile neno kwenye vitabu kizazi cha nyoka kilikuwa kinaeleza kizazi cha maarifa na ujuzi