Hivi wauza magari wa JF wanaishi dunia gani?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
368,192
Reaction score
851,764
Ukiingia kwenye jukwaa la JF Garage katika JamiiForums, utadhani wauza magari wa kule wanaishi kwenye ulimwengu wa njozi au uchumi wa nchi ya kufikirika.

Malalamiko kuhusu bei zisizo na uhalisia za magari ya JamiiForums (JF) ni ya muda mrefu, na wateja wengi wanahisi wauzaji hao wanakadiria bei kwa kuangalia "hadhi" ya jukwaa badala ya thamani halisi ya soko na hali ya gari lenyewe..!
 
Yaani Niache kumchukua fundi wangu mzuri Kisha tukalenge magari pale magomeni mapipa badala yake nianze kuhangaika na wauzaju wa humu wenye mibei ya ajabu ajabu nimerogwa au !?
Unajua inategemea maana hata kariakoo sio wote wanaojua machimbo.. Sometimes unapelekwa kwenye chimbo kumbe nalo ni la kati
 
Tanzania siku hizi kununua gari, nyumba au kiwanja unaweza kuwa unapatana na dalali tano kutoka juu kwa dalali wa kwanza ambaye naye anamwakilisha jirani wa mwenye mali. Na hapo kila mtu ameweka ''cha juu''. Siku ikitokea mjasiria mali akaanzisha website ambayo inaunganisha mwenye mali na mnunuzi na yeye anachukuwa commission ndogo tu basi ataleta mageuzi kwenye biashara.
 
Kutakua na vigezo gani kuthibitisha kwamba huyu ni mwenye mali na sio dalali?
 
Ukiingia kwenye jukwaa la JF Garage katika JamiiForums, utadhani wauza magari wa kule wanaishi kwenye ulimwengu wa njozi au uchumi wa nchi ya kufikirika.

Malalamiko kuhusu bei zisizo na uhalisia za magari ya JamiiForums (JF) ni ya muda mrefu, na wateja wengi wanahisi wauzaji hao wanakadiria bei kwa kuangalia "hadhi" ya jukwaa badala ya thamani halisi ya soko na hali ya gari lenyewe..!
Siku nikitoka Gari ya mkononi ntakutafuta bro
 
Kutakua na vigezo gani kuthibitisha kwamba huyu ni mwenye mali na sio dalali?
Mwenye website ndiyo itakuwa kazi yake kuhakiki. Tuseme unauza kiwanja, unawasiliana naye. Yeye anakuja mpaka ''site'' na anajihakikishia kuwa documents zote unazo ndiyo anaweka tangazo lako. Hata aki-charge fee kubwa lakini mnunuaji awe na uhakika kuwa anakwenda kununua mali ya uhakika na siyo kutoka kwa matapeli. NB: mwenye website anatakiwa awe na connection kubwa ya watu kufuatilia na kuhakiki kila sehemu eg Ardhi etc..
 
Ukiingia kwenye jukwaa la JF Garage katika JamiiForums, utadhani wauza magari wa kule wanaishi kwenye ulimwengu wa njozi au uchumi wa nchi ya kufikirika.

Malalamiko kuhusu bei zisizo na uhalisia za magari ya JamiiForums (JF) ni ya muda mrefu, na wateja wengi wanahisi wauzaji hao wanakadiria bei kwa kuangalia "hadhi" ya jukwaa badala ya thamani halisi ya soko na hali ya gari lenyewe..!
Madalali huwa wanapiga bei yoyote hata mara nyingine mara mbili ya bei bila kujua kanuni za angalau 5%, 7% na ikienda sana 10%
 
Back
Top Bottom