Nidhamu yako ya pesa huwa inarudi ukibakiza kuanzia kiasi gani?

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,408
Reaction score
4,986
Wakuu, kuna ile ukiwa na pesa ni kama kiwango cha nidhamu ya matumizi huwa kinapotea au kushuka unakuwa unatumia tu.

Na baada ya kubaki na kiwango kidogo nidhamu inarudi wakati unasubiri michongo itiki tena au mshahara uingine.

Wewe nidhamu huwa inarudi ukibaki na kiasi gani? Mimi nikibaki na 50000 naanza kuwa na adabu kabisa
 
Ikibaki teni naweza kuishi nayo siku 10
 
Wakuu, kuna ile ukiwa na pesa ni kama kiwango cha nidhamu ya matumizi huwa kinapotea au kushuka unakuwa unatumia tu.

Na baada ya kubaki na kiwango kidogo nidhamu inarudi wakati unasubiri michongo itiki tena au mshahara uingine.

Wewe nidhamu huwa inarudi ukibaki na kiasi gani? Mimi nikibaki na 50000 naanza kuwa na adabu kabisa
Halafu ikishabaki hela kidogo ndo mahitaji yale muhimu ambayo lazima yafanywe ndo yanapoanza kujitokeza mfululizo
 
Ukweli siku hizi ndio nimeanza kuwa na nidhamu ya pesa, nilikuwa na ule mtindo wa maisha kuna kesho, namaliza hadi cent ya mwisho.. asubuhi unaanza piga simu ila siku hizi hakuna kitu kinauma kama kutoa hela yangu mfukoni aisee
 
Na baada ya kubaki na kiwango kidogo nidhamu inarudi wakati unasubiri michongo itiki tena au mshahara uingine.

Wewe nidhamu huwa inarudi ukibaki na kiasi gani? Mimi nikibaki na 50000 naanza kuwa na adabu kabisa
Kitaalamu.

Hicho kiwango kidogo ambacho ukiwa nacho unakuwa na nidhamu, basi hio ndio THAMANI yako halisi.

Yaaani kila binadamu ana thamani yake in terms of handling Pesa, kile kiwango unachokuwa unakimudu basi hiko ndio THAMANI yako kifedha.

Kuna mtu akipewa 1m hawezi imudu hadi ifike 200k ndio anatulia, yupo wa 10m, yupo 100m, 1B+.
Jitahidi sana kuwa mtulivu unapopata hela nyingi zaidi ya ulivyozoea, Thamani yako itapanda kutokana na utulivu wako ukiwa na Pesa fulani na sio kiasi cha Pesa unachoshika.
 
Kitaalamu.

Hicho kiwango kidogo ambacho ukiwa nacho unakuwa na nidhamu, basi hio ndio THAMANI yako halisi.

Yaaani kila binadamu ana thamani yake in terms of handling Pesa, kile kiwango unachokuwa unakimudu basi hiko ndio THAMANI yako kifedha.

Kuna mtu akipewa 1m hawezi imudu hadi ifike 200k ndio anatulia, yupo wa 10m, yupo 100m, 1B+. Jitahidi sana kuwa mtulivu unapopata hela nyingi zaidi ya ulivyozoea, Thamani yako itapanda kwa utulivu ukiwa na Pesa na sio kiasi cha Pesa unachoshika.
Na huu ndo ukweli
 
aisee ni shida sana hasa kwa sie wapend mbusususyaani unaweza kuwa umejipangia mambo vizuri tuu ila sasa shetani nae anapitisha mrembo mwenye msambwanda wake hapo mele na titi embe dodod lazima tuu mipango ivurgike
 
Kitaalamu.

Hicho kiwango kidogo ambacho ukiwa nacho unakuwa na nidhamu, basi hio ndio THAMANI yako halisi.

Yaaani kila binadamu ana thamani yake in terms of handling Pesa, kile kiwango unachokuwa unakimudu basi hiko ndio THAMANI yako kifedha.

Kuna mtu akipewa 1m hawezi imudu hadi ifike 200k ndio anatulia, yupo wa 10m, yupo 100m, 1B+. Jitahidi sana kuwa mtulivu unapopata hela nyingi zaidi ya ulivyozoea, Thamani yako itapanda kwa utulivu ukiwa na Pesa na sio kiasi cha Pesa unachoshika.
That's true.
 
Back
Top Bottom