gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Swali gani la darasani ukiulizwa hata ukiwa umeamka usingizini huwezi kukosa?

    Swali gani la darasani ukilizwa hata ukiwa usingizini huwezi kukosa hata ukiwa mzee?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naweza kufanya kazi/shughuli gani kwa DSM ikaniingizia 20K daily?

    Habari wana JF, Mi ni ke 24 yrs nina degree na nipo DSM. Naombeni mnisaidie mawazo na ushauri je, naweza kufanya mishe gani ya halali hapa DSM ambayo inaweza kuniingizia 20k daily? Uwinga saivi hali si shwari.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kuomba kwa bidii kama Eliya ni kuomba kwa namna gani

    Kuomba kwa bidii kama Eliya ni kuomba kwa namna gani Maandiko yanasema Eliya aliomba kwa bidii hadi akasimamisha mvua kunyesha kwa muda wa miaka 3 na nusu (Yakobo5:17) Je, kuomba kwa bidii ni kuomba kwa namna gani? Hebu tusome Yakobo 5: 17 “Eliya alikuwa mwanadamu mwenye tabia moja kama sisi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba kama hii inaweza kugharimu kiasi gani mpaka ikamilike? Pamoja na finishing

    Habari wakuu,
  5. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Mtu ameshasema anastaafu siasa sasa huo uanachama wa kazi gani? Kuachwa kunauma nyie acheni tu

    Kuna mambo yanafurahisa sana. Kuachwa kunauma hatari Mwamba alikuwa sawa kuleak ile barua hiyo jana vinginevyo leo wangemdhalilisha kwa kumfuta umakamu na kumtimua uanachama.
  6. Mr Matt

    JamiiForums Tanzania Utumishi wanaangalia vigezo gani kumpa mtu kazi?

    Mwaka huu toka uanze mpaka sasa nimepiga oral 3,ila mpaka sasa hakuna iliyo blue tick.kwa uelewa wangu hizo oral zote nimepiga fresh tu kama wadau wengine walivyopiga.changamoto ni kwamba hatuitwi kazini Nimepiga oral ya cooperative officer ii,Quality assurance officer ii na juzi nimepiga...
  7. Baba Rhobi

    JamiiForums Tanzania NI NJIA GANI BORA YA KUTOA FEDHA KUTOKA META (Facebook).

    Wakuu mimi ni mgeni katika sekta ya pesa mtandaoni, ila Meta kwa sasa wananitaka kuweka payout details, kwa uchunguzi mdogo nilioufanya nimegundua kuna mbinu 3 hivi 1-Kupitia Payoneer 2- PayPal 3-Direct kuja bank zetu hizi Lengo langu pia ni kutunza hivyo vijisenti vikiwa katika Dollar make...
  8. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Je inakupa tafsiri gani makamu wa rais wawili wanajiuzulu ndani ya miaka miwili ?!

    honest truth, no 1 ni .....
  9. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Ni MABADILIKO Gani Samia alitaka kuyafanya Nchimbi akawa kikwazo? Au ni kukataa kutoa katiba? Kuamulu Tundu Lissu auawe?

    Tuanzie kwenye kichwa cha habari hapo juu, ni MABADILIKO Gani alitaka kuyafanya mama na akuzuiliwa na Nchimbi? Kumteua mbowe kuwa waziri mkuu? Kumuuua Tundu Lissu? Kuamua yakuwa katiba mpya haitotokea kamwe hata akiuuwa? Ni yapi hayoo?
  10. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Kwa wazoefu wa masoko makubwa: Mteja akisikia msemo gani ajue hapo anapigwa kwenye bei?

    Wafanya biashara wana mbinu zao za kuwavuta na kuwauzia wateja bidhaa kwa bei ambazo si halisi na kubwa zaidi ila wanajifanya kama vile hawapati faida hata kidogo au wanatoa huduma tu ili nao waonekane wameuza au wakati mwingine hata kuuza kwa hasara japo huwa wanatupiga. Moja ya msemo ni "Leta...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ulipokwenda ugenini, tabia gani za watoto zilikushangaza?

    Nipo Ugenini huku Mikoa ya Kaskazini, nimekuta kwenye hii familia watoto wana tabia ambayo imenishangaza sana na wazazi wanachukulia poa tu, Jana tulikwenda sehemu wakanitembeze nione miazingira wakati tunataka kwenda watoto walitaka kwenda nasi, wazazi wakasema wababi wafanye kazi za shule...
  12. Waterloo

    JamiiForums Tanzania Rais Museveni hii leo akutana na Ujumbe wa Abdul Hafidh mtoto wa Samia ikulu ya Entembe. Hivi huyu dogo ana cheo Gani serikalini?

    Kuna maswali yanakuja kichwani kwangu bila majibu. Rais wa Uganda anampokea kwa itifiki ipi je ni ya kiserikali au huyo bwanamdogo ni mfanyabishara au mwanasiasa au balozi wa hii Serikali? Mwenye ufahamu tafadhali maana nachanganyikiwa.
  13. TUKUYU88

    JamiiForums Tanzania Bank gani Tanzania ina unafuu?

    Imekuwa kawaida siku hizi kukuta CRDB wamekata hela zangu kwenye account. nikiuliza maelezo yao yamejaa ubabaishaji tu. Hivi bank gan kibongo ina unafuu? maan NMB naona nao wanalia balaah
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sababu ambazo hupelekea wakati mwingine umeme kukatika katika

  15. Pumpkin girl

    JamiiForums Tanzania Kwetu wafanyabiashara wadogo: Je, ni kero gani unazokumbana nazo kutoka kwa wateja wako?

    Habarini za asubuhi wana jukwaa,, niende moja kwa moja kwenye mada yangu: Hivi ninyi watu au tuseme wateja mnao fika ofisini kwa mtu/dukani na kuanza kupepesa macho yako huku na kule kutafuta kitu flani na baadae kuondoka kwa kujisemea kwamba kitu hicho hakipo huwa mnajielewa kweli?, kwanini...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Ccm na mamayao kuzomewa kila kona hadi na Dr. Ndlozi wa Africa Kusaini kijana mdogo wa Julius Malema inatoa picha gani.

    Kwa mtazamo wangu Samia na genge lake la watekaji,wauwaji, mafisadi na ma-cartels ya mafuta nimegundua kuwa ccm ni genge ambalo limefikia damu ya kunguni kiasi kwamba hakuna mtu anayetaka kusogelewa nalo hadi Dr. Ndlozi amewaonya SADEC kutomruhusu Samia kukaa naye kama mkuu wa Nchi kwasababu...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kutunza pesa huwa ina maana gani katika utamaduni wa kibongo?

    Kuna clip nimeona Sheikh Walid anatoa daawa mi sikitini halafu wanainuka watu wanampa pesa kwa kumuwekea kwenye mifuko ya koti, kumshikisha mkononi na nyingine hadi kwenye bargashia! Huu utamaduni wa kutunza/kutunuku pesa bongo huwa una maana gani hasa ? Huwa naona nchi nyingine utunzaji...
  18. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Hawa wadada ambao ukiwatongoza tu wanakubali hapo hapo wanakuwa na sababu gani kati ya hizi?

    1. Wanakuwa na ugwadu wakati unawatongoza 2. Hawajatongozwa muda mrefu 3. Wanadaiwa kausha damu wanataka baada ya sex waombe hela 5. Wanaogopa kukupoteza Unaombwa mawazo yako huru ndugu mdau
  19. prenge

    JamiiForums Tanzania CHUO GANI RASMI KWA SASA KINATOA FANI YA UFUNDI WA PHOTOCOPI NA PRINTA

    Wale wajuvi wa mambo naomba msaada kama kuna chuo rasmi kama ilivyo kwa fani zingine zinazotolewa VETA.
  20. Isenye

    JamiiForums Tanzania Ni kiwango gani cha umalaya umewahi kukifanya mpaka leo ukikumbuka unajishangaa?

    Mimi mwaka juzi nilikua natoka kimapenzi na mdada flani hivi,sasa huyo mdada alikua na best yake,nikawa namzunguka namla na best yake,so kwa kifupi nikawa nawala marafiki walioshibana kwa wakati mmoja. Case ya pili mwaka 2019 niliwahi kuwala wadada wanne kwa siku moja,kila mtu nilimkaza kwa muda...
Back
Top Bottom