Habari wadau..!
Maisha kweli ni fumbo, mpaka leo sijapata kujua undani wa familia ile ya kifahari pale Magomeni Mwembechai.
Kuna siku nilikuwa na project maeneo yale ya Magomeni nilifika site lakini nikajikuta kuna baadhi ya vifaa vya kufanyia kazi sikubeba. Hivyo nikaona sio kesi ngoja...
Nimemaliza mwaka huu 2021 PCM division 2.12 na matokeo yafutayo:
Physics D
Chemistry S
Advance mathematics B
Naombeni ushauri ni course gani itafaa kwa ufaulu huo.
Ndugu Mashabiki wa OPPO nipo katika savey ya simu tajwa. Ninalinganisha bei nipate uelewa. Je, kwa sasa simu hizi zikiwa mpyaa, OG zinacheza shilingi ngapi hapo mjini kwenu? Wale mliopo jirani na maduka makubwa tafadhali ninaomba msaada kufahamu.
Shukrani
Ndugu wanajamvi salam kwenu nyote. Jamani nina kijana wangu wa kike amemaliza four mwaka jana na kupata div 4.
Katika kihangaika kutafuta pahala pa kumpeka kuna jamaa yangu kanielekeza hapo Nyerere memorial.
Kweli nimeperuzi nikaona anazo sifa za kupata cource pale na nimependa aanze na basic...
Wakuu hii mada naomba tuijadili hapa.
Binafsi kama sioni fyucha ya vijana wa PCM Tanzania.
Haijalishi kapiga one kali au ya kawaida.
Mada ni hii hapa mezani.
Je, Wanaohitimu PCM wanafyucha kwenye kozi gani?
Wadau, wiki iliyopita nimekuwa nikitazama hii kesi ya Jacob Zuma. Zuma alifungwa kifungo cha miezi 15. Alikamatwa usiku wa kuamkia Alhamisi. Wafuasi wake wakaanza kuandamana. Usiku wa kuamkia juma mosi walichoma trucks (Ukipenda trela yaani yale malorry makubwa) zaidi ya 30.
Baada ya kuchoma...
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza, bwana Anthony Diallo amewaomba radhi watanzania kwa kauli zake alizozitoa kuwa viongozi wa Serikali waliopita walikuwa na mafaili mirembe.
========
Diallo: Mimi nadhani ufafanuzi unatosha, nawataka radhi wale ambao walinielewa vibaya, kuna kunielewa...
Natarajia mko salama wakuu na wanajamii forum. Niko na swali ambalo natarajia hapa ni pahari pazuri pa kupata jibu, sasa nataka kuwekeza kiwanda au viwanda vya kutengeneza juices, toka mananasi.
Maembe na machunga na pia matunda mengine kama passion fruits and mapapai, sasa swali langu ni hili...
Hizi Kauli mbii hazitokei tu. Zina kuwa na maana. Wakati mwingine ni surface meaning na deep meaning.
Kuna kilipindi kazi zilisimama.sivyo?
Sasa Rais anasema ziendeleeee.
Swali ni kazi zipi na zilisimama kwa kipindi gani?
Tushauriane hapa ili kumsaidia Mh. Rais.
Dhana ya utumishi wa Uma inaanzia pale mtu anapewa dhamana kusimamia Jambo kwa masilahi mapana ya jamii au wananchi kwa ujumla wake.
Dhamana hii huundiwa taratibu na kanuni kwa misingi ya kurahisisha na kusimamia utendaji wa mtumishi kwa ukaribu zaidi. Mheshimiwa mbunge ni mwajiriwa wa wananchi...
Salaam wana jukwaa.
Kama kichwa cha mada kinavyouliza, Je tendo la ndoa linafaa wakati gani?Je linafaa kabla ya ndoa au baada ya ndoa? Tukiachana na Imani za dini, Je mila na desturi zetu kama Waafrika au Watanzania zinasemaje?
Haya mambo ya kutikisa kabla ya kutumia huko mbeleni kutakuwa na...
Naona juice za ceres na sambusa za ikulu ni tamu sana ndio maana ndugu zetu wnaChadema wanakomaa waitwe ikulu wakaonane na rais Samia. Maana hata kama kutinga ikulu ni dili sio hivi sasa.
Mnakomaa kuwa eti kuna muafaka mnataka upatikane sasa mnataka upatikane ili kutatua mgogoro upi?
Zuio la...
Kwa wasiwasi wangu, koo lilipokwaruza tu, nikajua COVID-19 hiyo. Nikabugia chupa langu. Hapa nilipo niko hoi kwa kuharisha usiku kucha. Ni uchafu gani tunauziwa na taasisi za serikali? Watu wa SUA bado munacheza na afya zetu kama enzi iliyopita?
Ni kweli hiki ndo kiwango cha utaalamu wa chuo...
Mimi nina apps mbili tu Tuu ambazo Ninamiliki kwenye simu yangu nazo ni Twitter na WhatsApp. Facebook niliiacha kitambo kwa sababu ya kuwa na limited number of friends
Kule Vichwa vipanga ni wachache mno kumejaa utopolo tuu. Hata ukiwa na followers Labda uwe unaandika kuhusu mapenzi, udaku...
Kwema wakubwa?
Wife alisafiri kama week hivi imepita..home akaniacha mimi na dada wa kazi. Sasa me toka juzi nilikuwa silali home, nilikuwa nalala kwa mchepuko wangu flani hivi hapa mtaani. Nilikuwa narudi home asubuhi, so kumbe nahisi wife ni kama alikuwa kaweka mtego.
Leo karudi asubuhi...
Habari wakuu.
Hivi mliwezaje kumove on, mimi nashindwa kabisa kumsahau huyu EX mpenzi niliyetokea kumpenda sana ila kutokana na sababu kadhaa hatukuweza kuendelea na mahusiano, ni muda sasa umepita tangu alivoniacha ila bado namfikiria sana na nilijipa muda huenda angeweza kurudi ila ndiyo...
Kama Kumbukumbu zangu hazijakosea katika wale Champions wa Kudai Katiba Mpya nchini Tanzania Profesa Shivji nae yupo au alikuwepo bila kuwasahau na Waandamizi wenzake kama akina Mzee Warioba ( Jaji na Waziri Mkuu Mstaafu ) na Mzee Butiku ( Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Mwalimu Nyerere ) na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.