faini

  1. C

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa Manispaa Hadi Kulipishwa Faini ya Kujenga Bila Kibali

    Wakuu heshima kwenu Nahitaji msaada kuhusu utaratibu wa Manispaa pale ambapo mhusika amegundulika kuwa ameanza ujenzi wa nyumba ya makazi ya kawaida isiyo ghorofa kwenye kiwanja chake halali kisicho na mgogoro wowote lakini bila ya kuwa na kibali cha ujenzi kuoka manispaa. Jee, ni sawa kama...
  2. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Kwani kuchaniwa faini ndiyo kunakufanya uwe na hasira?

    Jambo hili nimeliona sana kwa madereva wengi wa gari za abiria.Akichaniwa faini kwa makosa mbalimbali akitoka pale kama amekorofishana na mtu.Ndiyo nauliza kwanini hii tabia hutokea?
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Ni maadili gani aliyobomoa Zuchu katika shoo yake mpaka wamfungie kufanya mziki Zanzibar pamoja na kulipa faini?

    Wakuu, Watu tuache unafiki na ushabiki kwenye jambo hili. Zuchu kaharibu maadili gani kwenye shoo yake ya Zanzibar, ametukana tusi gani? Kipande alichoimba alisema hata ".... hata mumpe mku..." akaendelea zake kupiga shoo. Hiyo "Mku" ndio tusi? Tusi gani? Kuna anayeweza kuthibitisha kuwamba...
  4. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Ipo haja faini za barabarani zinazohusu speed kwenda automatic kwenye simu ya mmiliki

    Ili kuondoa mianya ya rushwa, mabishano nakadhalika. Polisi Usalama Barabarani wabaki kukagua mambo mengine, zitegwe speed detectors, ukizidisha mwendo message inakuja tu kwenye simu yako unapambana na hali yako, askari wapungue road wabaki vehicle inspectors tu na wakaguzi wa makosa mengine...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Ukichukua video ya ajali Dubai unaweza kutozwa faini ya Tsh. Milioni 100 au zaidi au kifungo cha miezi 6 au vyote kwa pamoja

    Kuchukua video ama picha ya matukio ya ajali si jambo la kiungwana, lakini pia linakiuka haki ya faragha yao kulindwa na kuvunja sheria ya taarifa binafsi na faragha. Picha au video zinazochukuliwa zinaweza kuwa za kudhalilisha na kushusha utu wa watu waliohusika kwenye ajali hiyo. Kwa upande...
  6. Kijana LOGICS

    JamiiForums Tanzania Wanaodharau na kukebehi elimu wadhibitiwe ikibidi walipe faini

    Kumetokea mtindo kwenye social media WA KAULI tata zinazo dharau elimu. Hii inapelekea watoto kuchukulia POA swala la elimu nakufeli mitihan South Korea Japan na China isingekua elimu ungekuta ni maskini. Miaka 60 iliyopita South Korea ilikua Sawa na Tanzania South Korea ikagundua bila elimu...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Madai ya Mlipuko wa Kipindupindu Simiyu, RC asema ‘Ni Ugonjwa wa Matumbo, tumewapiga faini Wananchi wasio na vyoo’

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda amezungumzia madai ya uwepo wa mlipuko wa maambukizi ya Kipindupindu katika Wilaya ya Bariadi Mkoani hapo akisema kuwa kilichotokea ni magonjwa ya tumbo na tayari Serikali inachukua hatua kisha akatoa ushauri kwa Wananchi. Amesema hayo siku chache...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Polisi, LATRA wapiga faini mabasi yaliyozidisha nauli Arusha

    Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) wamefanya ukaguzi wa kushtukiza ili kubaini kama Wananchi wanalipa nauli halali zilizotangazwa na Serikali mapema mwezi huu ambapo wamebaini baadhi ya wamiliki na mawakala...
  9. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Faini zitumike kununua Madawa

    Faini mbalimbali (ikiwemo makosa ya barabaran,) zitumike kununua Madawa hospital za Umma na sio kulipana posho
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wasafi FM Unguja yapigwa faini Milioni 5 kwa kuvunja masharti ya Leseni

    Tume ya Utangazaji imeitaka WASAFI FM Radio kulipa faini ya Tsh. Milioni 5 kwa kuvunja masharti ya leseni kwa kuidanganya Tume juu ya Studio zao za Unguja kutotumika kwa vipindi vya aina yoyote kwa karibu miezi mitatu sasa Tume imeitoza ZBC Faini Tsh. Milioni 1 kwa kipindi cha MICHAPO kuonyesha...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Shakira akubali kulipa Faini ya Tsh. Bilioni 20 ili kukwepa kifungo cha Miaka 8 Jela

    Nyota wa Muziki wa Pop raia wa Colombia, Shakira amefikia makubaliano na Waendesha Mashtaka wa Uhispania kutatua kesi ya kukwepa Kodi kwa kulipa Euro Milioni 7.5 (Tsh. Bilioni 20.4) muda mfupi kabla ya kesi yake ilipokaribia kuanza. Awali Shakira alikataa kulipa Faini hiyo alipoambiwa achague...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Wafungwa 4,068 walioshindwa kulipa faini waachiwa huru

    Serikali ya Nigeria imetangaza kuwaachia huru zaidi ya Wafungwa 4000 walioshindwa kulipa faini mbalimbali ikiwa ni mpango wa kupunguza msongamano gerezani Waziri wa Mambo ya Ndani wa Nigeria, Olubunmi Tunji-Ojo amesema jumla ya Wafungwa kabla ya msamaha huo ni 80,804 katika magereza 253. Hivi...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Yanga yagongwa faini ya Tsh. Milioni 5 kwa kuingiza Timu kwa mlango wa nyuma

    Kamati ya Usimamizi na Uendeshaji ya Bodi ya Ligi Kuu Soka Tanzania imevitoza faini Vilabu vya Simba na Yanga kwa kufanya makosa kadhaa katika mchezo dhidi yao uliyochezwa Novemba 5 2023 na Yanga kushinda 5-1. Kamati hiyo imeipiga Yanga faini ya Tsh. milioni 5 kwa kosa la kuingia uwanjani kwa...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Whozu afungiwa miezi 6, Mbosso na Billnass wafungiwa miezi 3. Wote wapigwa faini Tsh. Mil. 3. Wimbo wa 'Ameyatimba' umewaponza

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemtaka Msanii Whozu kushusha mara moja video ya wimbo wake wa ‘Ameyatimba’ kwenye digital platform zote, pia limemtoza faini ya Tsh. milioni 3 na limemfungia kujishughulisha na kazi za sanaa kwa muda wa miezi 6 kuanzia leo November 04, 2023 kutokana na wimbo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mudathir na Feitoto wametozwa tu Faini, ila kwa akina Chama na Aziz K walifungiwa Mechi 3 na Faini juu kwa Kosa la Kufanana?

    Njooni na Utetezi wote juu ya hili na hawa ila tulio karibu na Wachezaji wa Vilabu vikubwa Viwili hivi, Viongozi wao na hasa Wataalam ( Waganga Wao wa Kienyeji' ) tunajua kuwa kwa hawa Wachezaji Wawili Feisal Salum 'Feitoto' na Mudathir Yahya yuko Mmoja ambaye Nyota yake ndiyo kwa 99% inaibeba...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Ukikutwa unamiliki silaha kinyume cha Sheria Faini Milioni 10 au Jela miaka 15 au vyote

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linaendelea kuwakumbusha wananchi wote wanaomiliki silaha kinyume cha sheria kuendelea kutumia vizuri msamaha uliotolewa na Serikali ambapo atakaye salimisha kwa hiari hatachukuliwa hatua yeyote wala kuulizwa maswali. Silaha hizo ni pamoja na zile za wamiliki...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2019 Kamati ya Malalamiko ya TCRA iliitaka Vodacom imlipe mteja Faini ya Tsh. Milioni 1.2 kwa kufanya SIM swap kiholela

    Bahati Mekene alipeleka malalamiko katika kamati ya malalamiko ya TCRA kuhusu Vodacom kufanya swap ya laini yake ambapo ilimletea shida hata kwenye mahusiano yake kwani aliashindwa kuendelea na mpenzi wake baada ya mwenza wake huyo kupiga simu na kupokelewa na mwanaume. Tukio hili lilitokea...
  18. Grand Canyon

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nilipigwa faini ya over speeding. Deni limeongezeka Tsh 7,500 kutoka 30,000

    Niliambiwa nilipe kabla ya tarehe 15 Oktoba. Je ukipitisha siku deni linaongezeka? Je, ni kosa kuendesha gari lenye faini ya Polisi? Msaada please.
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waliojipatia Milioni 280 kwa njia ya Mtandao watozwa Faini ya Laki Tano

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, imewahukumu Amiry Luwiso na Ashirafu Awadh waliokuwa wakikabiliwa na mashtaka mawili ikiwemo ya kuongoza genge la uhalifu kwa njia ya mtandao na kujipatia zaidi ya Sh milioni 280 kwenda jela miezi sita au kulipa faini ya Sh 500,000 kila mmoja baada...
  20. Cannabis

    JamiiForums Tanzania TCRA: Ukikutwa unatumia VPN Tanzania, faini milioni 5, kifungo mwaka mmoja

    Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) imewataka wananchi na makampuni kiujumla ambazo kwa asili ya kazi zao hawawezi kuepuka matumizi ya VPN kutoa taarifa juu ya VPN wanazotumia na taarifa muhimu kabla ya Oktoba 30 mwaka huu. Aidha mamlaka hiyo imesema iwapo itabainika umetumia VPN kinyume na kanuni...
Back
Top Bottom