TCRA: Ukikutwa unatumia VPN Tanzania, faini milioni 5, kifungo mwaka mmoja

Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
8,943
25,284
Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) imewataka wananchi na makampuni kiujumla ambazo kwa asili ya kazi zao hawawezi kuepuka matumizi ya VPN kutoa taarifa juu ya VPN wanazotumia na taarifa muhimu kabla ya Oktoba 30 mwaka huu.

Aidha mamlaka hiyo imesema iwapo itabainika umetumia VPN kinyume na kanuni zilizowekwa basi adhabu itakayotolewa kwa kosa hilo ni faini ya shillingi milioni tano, au kifungo cha mwaka au vyote kwa pamoja.

20231013_211330.jpg
 
Mimi binafsi Huwa banatumia VPN ku access Baadhi ya pilau Sasa sijaelewa TCRA wanatakaje.

Kwamba ku download apple ya VPN na kupakua pirau ni kosa la jinai ama TCRA wanamaanisha nini?

Wakuu Aliyeelewa anifafanulie hususani watu wa huko TCRA ambao na hakika na wao Huwa wanaangalia pilau na mambo mengineyo.

View: https://www.instagram.com/p/CyWNNGXILY4/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
 
Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) imewataka wananchi na makampuni kiujumla ambazo kwa asili ya kazi zao hawawezi kuepuka matumizi ya VPN kutoa taarifa juu ya VPN wanazotumia na taarifa muhimu kabla ya Oktoba 30 mwaka huu.

Aidha mamlaka hiyo imesema iwapo itabainika umetumia VPN kinyume na kanuni zilizowekwa basi adhabu itakayotolewa kwa kosa hilo ni faini ya shillingi milioni tano, au kifungo cha mwaka au vyote kwa pamoja.

View attachment 2781209
Wapuuzi sana hao Washenzi,yaani tusitumie VPN kisa?
 
Back
Top Bottom