Msaada: Nilipigwa faini ya over speeding. Deni limeongezeka Tsh 7,500 kutoka 30,000

N

Nijuavyo si kosa kisheria. Ila likishafika 60,000,/- polisi wanaweza kukusumbua kwa kushikilia gari mpaka ukalipe deni kwa kuwa mpaka kufika 60,000 maana yake limekaa muda mrefu hivyo kwa maana nyingine unaonwa kama mkaidi wa adhabu.
Interval waliyoweka ni ndogo. Nilipigwa faini Tarehe 3 naambiwa nilipe kabla tarehe 15. Wangekuwa wanatoa siku 30 ingependeza. Nilikuwa na safari ya masafa marefu sikuwa na budi kukanyaga mafuta. Sasa ukiweka gharama za mafuta na safari Kwa ujumla Tena kulipa faini mpaka kusubiri salary.
 
Interval hawajaweka Polisi.
Iliwekwa na mbunge wako uliempigia kura, kule Bungeni na kuamuru Polisi aisimamie.
TII SHERIA BILA SHURUTI.
 
Interval waliyoweka ni ndogo. Nilipigwa faini Tarehe 3 naambiwa nilipe kabla tarehe 15. Wangekuwa wanatoa siku 30 ingependeza. Nilikuwa na safari ya masafa marefu sikuwa na budi kukanyaga mafuta. Sasa ukiweka gharama za mafuta na safari Kwa ujumla Tena kulipa faini mpaka kusubiri salary.
Kama interval ya Polisi ni ndogo, wakikudaka tena waambie wakupeleke mahakamani kule hawana mbambamba, ni dakika chache tu, utajua kama unaenda nyumbani au Herezani.
 
Back
Top Bottom