Mwaka 2019 Kamati ya Malalamiko ya TCRA iliitaka Vodacom imlipe mteja Faini ya Tsh. Milioni 1.2 kwa kufanya SIM swap kiholela

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,014
9,883
Bahati Mekene alipeleka malalamiko katika kamati ya malalamiko ya TCRA kuhusu Vodacom kufanya swap ya laini yake ambapo ilimletea shida hata kwenye mahusiano yake kwani aliashindwa kuendelea na mpenzi wake baada ya mwenza wake huyo kupiga simu na kupokelewa na mwanaume.

Tukio hili lilitokea mwaka 2017 lakini malalamiko yalifika kwenye kamati 2019. Hoja zake zilikuwa kusababishiwa msongo wa mawazo na kushushiwa uaminifu. Baada ya laini yake kufanyiwa swap, mtu aliyekuwa na laini alionekana kuwa na uwezo wa kuingia kwenye account yake ya Facebook na hivyo faragha zake ziliingiliwa.

Vodacom alikiri tatizo hilo kutokea na alisema wakala aliyefanywa swap alishatimuliwa kazini, na pia wameshaweka sheria zaidi za kufanya swaping ili tatizo hilo lisijirudie. Bahati alidai fidia ya Tsh 30,000,000/= lakini alishindwa kutetea kwa nini apewe fedha hiyo.

Bahati anasema baada ya swap alipiga simu vodacom na walimwambia aende kwa wakala aliye jirani naye kutatua tatizo hilo lakini alikataa kwa sababu alikuwa na hasira. Vodacom walitaka kumrejeshea laini yake na kumpa kifurushi cha mwaka mzima lakini alikataa suala hilo alitaka fidia.

Kamati ya Malalamiko haikuwa na kazi kubwa kwa kuwa Vodacom alikiri makosa mengi. Kwa kuwa bahati alishindwa kutetea sababu ya kupewa milioni 30 kama fidia, kamati iliamua apewe milioni 1.2 kama fidia ndani ya siku 30 baada ya maamuzi hayo.
 
Attachments

  • Uamuzi wa Kamati ya malalamiko ya Mamlaka Ya Mawasiliano Tanzania, Kati ya Bahati Makene Vs Vo...pdf
    2.8 MB · Views: 4

Kumbe!
 
Inamtosha hiyo Mil 1.2
Kama mpenzi atapata mwingine.
 
Back
Top Bottom