Maafisa wa Manispaa Morogoro wanatukamata Bajaj kisha wanataka faini laki moja au utoe Rushwa 50,000
Sisi madereva na wamiliki wa Bajaj Morogoro tumechoshwa na usumbufu wa makundi ya watu wa manispaa. Wanakamata Bajaj bila mipangilio wakidai kuna makosa mbalimbali na faini inaanzia shilingi...
Anonymous
Thread
bajaj
faini
laki moja
maafisa
manispaa
moja
morogoro
rushwa
wanataka
Hapo vip!
Ukitazama kwa jicho latatu unaona kabisa hizi faini wanazopigwa Simba sio haki,ila nikwasababu wanajua club ya Simba inapesa hivyo wanatengeza faini za kijanja ili hiyo bodi inayongozwa na viongozi maskini wapate mkate wa chai.
Ni wazi bodi inaibeba Yanga katika vitu vingi ila Simba...
Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limewasimamisha wachezaji wawili wa timu ya Taifa ya Morocco, Achraf Hakimi (mechi mbili) na Ismaël Saibari (mechi tatu) baada ya kuonesha tabia isiyo ya kiungwana wakati wa fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya...
Wafanyabiashara wa Kariakoo, Dar es Salaam wameiomba serikali kuangalia upya suala la raia wa kigeni kuendelea kufanya biashara ambazo zinapaswa kufanywa na wazawa licha ya hatua kuwahi kuchukuliwa na serikali kuahidi kuongeza usimamizi.
Mbali na malalamiko hayo, wafanyabiashara hao pia...
Rais wa Shirikisho la Soka la Cameroon (FECAFOOT), Samuel Eto’o, amefungiwa kuhudhuria uwanjani kwa mechi nne na kutozwa faini ya dola 20,000 za Marekani (Sh49.6 milioni), akidaiwa kufanya utovu wa nidhamu wakati wa mechi ya robo fainali ambayo Cameroon ilipoteza dhidi ya Morocco kwenye Kombe la...
Hili swala la askari wa barabarani kumpiga faini dereva haliko sawa kwani anakuwa amemhukumu dereva wakati yawezekana mahakamani angeshinda kesi.
Ni vyema sasa mtu afikishwe mahakamani aitwe ajitete kwanza ndipo mahakama itoe adhabu kinyume na hapo ni wizi serikali inafanya kwani makosa mengi...
Klabu ya Simba Sports Club imekumbana na adhabu mpya kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) huku ikijiandaa kucheza mechi ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Gaborone United Jumapili, Septemba 28, 2025, bila mashabiki na faini ya Dola 50,000 (takriban Sh123 milioni)...
Bodi ya Nidhamu ya CAF imefungulia mashitaka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kuvunja masharti ya Usalama na Ulinzi kama yalivyoainishwa katika Kanuni za Nidhamu za CAF, Ibara ya 82 na 83, pamoja na Ibara ya 24 na 28 za Kanuni za Usalama na Ulinzi za CAF.
Mashitaka hayo...
Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni inawataarifu wamiliki wa viwanja vya matumizi mbalimbali ndani ya Manispaa hiyo kufanya usafi kwwenye viwanja vyao ndani ya siku saba (7) tangu leo Agosti 07, 2025.
Taarifa iliyotolewa na Kaimu Mkuu Kitengo cha Mawasiliano wa Manispaa imesema kwamba baada...
Mahakama ya Wilaya ya Kahama imemhukumu Mchungaji Shaniel Sosoa kulipa faini ya Sh5 milioni au kwenda Jela miaka mitatu kwa kosa la la uonevu mitandaoni (Cyber Bullying).
Akizungumzia hukumu hiyo, Katibu wa Kanda ya Serengeti ya CHADEMA, Jackson Mnyawami, amesema Mchungaji Sosoa alikuwa...
Mlishawahi baini wahamiaji haramu wakitaka kujihusisha na uchaguzi au amsuala ya kiasisa kiujumla mnafanyaje kwenye hili??
Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji Mkoa wa Iringa, Richard Nzagi, akifanya mahojiano na Kituo cha Shamba FM Radio anajibu...
Pia soma ~ Richard Nzagi: Mafinga ina Watoto wengi...
Zuberi Nkoko (59), Mkazi wa Misuna, Manispaa ya Singida amehukumiwa kwenda jela miaka mitatu au kulipa faini ya TZS milioni 5 pamoja na simu yake ya mkononi kutaifishwa kwa kosa la kutoa taarifa za uongo kinyume cha sheria.
Mahakama ya Wilaya ya Singida imeeleza kuwa Juni 02, 2025, mshtakiwa...
• Kulingana na Kifungu cha 91(1) cha Sheria ya Kodi ya Mapato ya mwaka 2004, pamoja na kifungu cha 39 na 48 ya Sheria ya Usimamizi wa Kodi ya mwaka 2015, kila kampuni iliyosajiliwa, biashara ya ubia, na biashara binafsi yenye mauzo ya kuanzia TZS milioni 100 kwa mwaka, inatakiwa kuandaa na...
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa baadhi ya madereva kusimama kwa muda katika maeneo ya Mlimani City na barabara ya Survey, wakidai kufuatiliwa, kusumbuliwa, na wakati mwingine kutishiwa na watu wanaodai kuwa maafisa kutoka Manispaa ya Kinondoni.
Ingawa udhibiti...
Anonymous
Thread
changamoto
faini
katika
madai
maegesho
maeneo
magari
mlimani
mlimani city
parking
rasmi
survey
ufuatiliaji
Aisee hivi inakuwaje ama natakiwa kufanyaje gari yangu ina faini na namba ya leseni iliyomo kwenye faini siijui na sijui imekuwaje mpaka leseni namba hiyo ambayo siijui imeandikiwa faini kwenye gari yangu ambayo kimsingi sijawahi kumuazimisha mtu wala huko inakoonyesha gari ilipigwa faini ya...
“Ukitumia mitandao vibaya sheria ipo na mamlaka na vyombo vipo vitakupata, sasa wakati mwingine unaona vikampeni havina mbele wala nyuma nikisema mnasema Msigwa ametusemea maneno makali, lakini ninachosema ni kwamba vijana tutumie mitandao kwa njia za kimanufaa kwasababu ukifanya makosa...
Kampuni nyingi zimekuwa zikitaabika sababu ya malimbikizo ya kodi toka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), malimbikizo ya madeni hayo yanatokana na faini zitokanazo na kushindwa kuwasilisha taarifa ya mapato ya biashara zao kwa wakati. Ili kufahamu nini unatakiwa kufanya …Basi soma mpaka mwisho…...
Kampuni nyingi zimekuwa zikitaabika sababu ya malimbikizo ya kodi toka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), malimbikizo ya madeni hayo yanatokana na faini zitokanazo na kushindwa kuwasilisha taarifa ya mapato ya biashara zao kwa wakati. Ili kufahamu nini unatakiwa kufanya …Basi soma mpaka mwisho…...
Klabu ya Simba imeadhibiwa kwa kutozwa faini ya Sh. 5,000,000 (milioni tano) kwa kosa la mashabiki wake kurusha chupa za maji uwanjani wakati wa mchezo tajwa hapo juu kwenye uwanja wa KMC Complex Mei 28, 2025.
Adhabu hii ni kwa mujibu wa kanuni ya 47:1 ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti wa Klabu...
wakuu, wakuu samahani naomba ushauri sina ela kwa sasa
Leo wife Aliitwa ofisini akaenda akakuta mashitaka kua sijafyeka majani kuzungukia nyumba, nyumba ni ya urithi kuna wapangaji kadhaa, namwambia wapangaji tulipe wamegoma kulipa wanadai huo ni mzigo wangu,
tupo hapa manispaa ya nyanda za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.